Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

nilipoona wahubiri wanafundisha na kukemea vitu kutokana experience za maisha yao, na mitazamo yao isiyo sadiki ukweli wa maisha nitazamavyo mimi. nikala nduki
Experience na mitazamo binafsi hazitakiwi kutumika kama misingi ya mafundisho.
Mafundisho yanapaswa kubaki yaleyale kama yalivyoandikwa na mitume na manabii.Hata ushuhuda wa kufanikiwa kiuchumi baada ya kumjua Mungu hakupaswi kutumika kwani kutawavuta watu kufuata vitu vinavyoharibika badala ya vitu vya milele ambavyo vinahitaji tu kumuamini Yesu na kutembea kulingana na imani yetu juu ya Yesu.
Focus ya Ukristo ni juu ya Kifo na ufufuo wa Yesu ambao umetupa sisi nguvu ya kusimama kwa kujiamini tukiwa tumehesabiwa haki kwa imani na tuna uzima wa milele kwa dhabihu aliyoitoa Yesu kwa ajili yetu.
Nje ya Yesu hakuna jipya bali mateso,wasiwasi,mashaka ya kwamba huna uhakika wa maisha yajayo na una wasiwasi muda wote kwamba ukifa hujui unaenda wapi.
 
Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.

Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Mungu hakuumba dhambi wala shida.
Dhambi na shida ni matokeo ya mwanadamu kuchagua ambacho alishapewa maelekezo asichague.
Mungu mwenye uwezo wote aliwapa uhuru wanadamu,hakuwa dikteta.Alimpa mwanadamu uhuru kuchagua achague uzima au kifo..Na ukisema Mungu hana upendo bado turudi kwenye biblia kwamba baada ya kutomtii Mungu kwa mara ya kwanza anatoa tena nafasi nyingine ya kuchagua kumwamini au kutomwamini,ukiamini unapata uzima wa milele yohana 3:16-18 ila usipoamini umeshahukumiwa tayari.
Kiufupi kama hauamini biblia ni ngumu kuelewa.Kuamini /kutoamini baada ya kupata maelezo yanayojitosheleza ni juu yako.
 
Mungu aliweza au hakuweza kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na dhambi wala shida?

Unaposema dhambi na shida ni matokeo ya mwanadamu kuchagua alichoambiwa asichague, huyo Mungu hakujua mwanadamu atachagua alichochagua?
 
Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.

Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
pole ndugu yangu ufahamu wako umefungwa siku ukifunguliwa huo ufahamu utapata majibu ya maswali yako yote Jitahidi usome kitabu chote cha Mwanzo (Genesis) kirudie tena na tena kuna siku ufahamu wako utafunguka.
 
Huu uzi kama wewe ni Low mind (uwezo wa matumizi ya akili zako ni mdogo) usichangie maana utajidhalilisha tu.
 
pole ndugu yangu ufahamu wako umefungwa siku ukifunguliwa huo ufahamu utapata majibu ya maswali yako yote Jitahidi usome kitabu chote cha Mwanzo (Genesis) kirudie tena na tena kuna siku ufahamu wako utafunguka.
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao ufahamu wa mtu yeyote unaweza kufungwa?

Huoni contradiction hapo?

Unaelewa contradiction ni nini?
 
Mkuu hiki ulichoandika kimeandikwa pia kwenye Bible? kama kipo naomba reference ila nakufunulia kidogo Mungu sio kiumbe mmoja Mungu ni MFUMO - (Trinity System) - Baba, Mwana na Roho na unachopaswa kujua na kukifahamu kuanzia leo ni kwamba huu ulimwengu tuliopo si mahala tulipopaswa kuwapo (Refer makosa ya adam na eve) na Mungu ametuweka huku ili tupate nafasi ya kujifikiria ili turudi tunapotakiwa kuwa (Peponi) na mwisho Mbinguni. Soma kitabu cha mwanzo chote kisha kirudie kuna siku Mungu atakufunulia.
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao inawezekana watu wakakosea, ikiwa aliweza kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kukosea?

Ina maana kabla hajatuumba, Mungu hakujua kuwa tutakosea?

Kama hakujua, kweli Mungu huyo ni mjuzi wa yote?

Au kabla hajatuumba alijua kuwa tutakosea akaachia tu tukosee?

Kama alijua tutakosea akaacha tu tukosee, je, huyo Mungu kweli ana upendo wote? Itakuwaje ajue tutakosea, yeye mwenye uwezo wote na ujuzi wote, halafu atuache tu tukosee?

Huoni contradiction tu hapo?
 
Ngoja tumsubiri

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu,

Kwenye hizi zama za internet, ujinga ni uchaguzi wa mtu mwenyewe.

Yani kuna watu bado hawaelewi kuwa Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu tu, chenye makosa yanayoonesha hilo?

Kwa nini hili somo rahisi linafanywa kuwa gumu sana?

How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Mungu aliweza au hakuweza kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na dhambi wala shida?

Unaposema dhambi na shida ni matokeo ya mwanadamu kuchagua alichoambiwa asichague, huyo Mungu hakujua mwanadamu atachagua alichochagua?
Hakuumba dhambi/shida.
Unapopewa maelekezo ambayo ni ya faida kwako alafu ukayakiuka na ukapata matokeo mabaya ya chaguo lako ,aliyeweka machaguo hayo mawili ndiye wa kulaumiwa au ni yule aliyechagua chaguo baya akijua kabisa hapaswi kufanya hivyo?
 
Niliweza kugundua kwa kuona irreconcilable contradictions.

Nilitumia mantiki kujua.

Mantiki iliniongoza kujua, logical consistency.

A world that has an omnipotent, omniscient and omnibenevolent God, cannot have evil without creating an irreconcilable contradiction.

Mantiki, logic, logical consistency.

Soma hiki kitabu.

"Philosophy of Religion: An Anthology.

Naki attach hapa, soma "PART IV The Problem of Evil 276"

Halafu angalia Epicurean Paradox hapo chini.

View attachment 2669670
Nimeyasoma maelezo yako..!

Nimeona umeegemea kwenye vitu viwili, 1)logic na 2)evil

1) logic kwa maana ukweli unaoitwa ukweli wa kwamba Mwenyezi Mungu ni mkuu na muweza wa yote haiendani na uhalisia uliopo Duniani

2)Evil, madhambi, matukio mabaya na matatizo yanayoikumba Dunia kwanini yapo na Mwenyezi MUNGU haingilii kuyazuia.

Ok, sasa tuje kwenye maswali yafuatayo.

Unahisi kutokana na hoja namba moja kwamba The Lord God that is stated that is so powerful, omnipotent and omniscient has failed to intervene this situation, vipi kama ameamua kukaa kimya kutulia na kuwaacha kuwaingilia wanadamu kwa kipindi alichojiwekea?

Because he is omniscient he can do anything to redo or remake anything he want.

Hauoni kama statement inayosema he is omniscient na principle zako za logic zinajicontradict?

Don't you see if something is omnipotent and omniscient can revoke all principles including logical principles that you are using to ignore him?

Don't you see If The LORD is omniscient and omnipotent can do anything at any moment to any one as HE (LORD) wish?

Dont you see logically describing power of someone WHO is omniscient and omnipotent can lead to contradiction and Dialetheism or both?

Kwa mujibu wa maelezo yako ya hoja namba mbili umegusia evil and all bad things happen in this Earth including diseases, war, disasters deaths and all others bad things.

Ok, nakubaliana na wewe let's assume chanzo cha hayo yoote mabaya yanayotokea yanasababishwa na mwanadamu ignore all natural events kama tsunami, earthquakes n.k let's assume hayo yote yanasababishwa na mwanadamu and lets put the god (imaginary god) at human level kwamba his power has limit and he is not omnipotent and omniscient and he cannot intervene those issues that's why evil inatokea duniani.

Ok, sasa tujiulize....

What about the an infinity Universe?

Who made this gigantic vast limitless universe?

Who control and arrange our solar system, our galaxy and our universe in mystical ways as it is?

Where is everything come from?

Can logical principles apply this?

Can you explain the source, operation and control capability of all of these mystiries in the universe in human power level?

Labda kama una hoja zingine zinazoweza kumpinga uwepo wa Mwenyezi Mungu but those are contradicting themselves
 
Nimeyasoma maelezo yako..!

Nimeona umeegemea kwenye vitu viwili, 1)logic na 2)evil

1) logic kwa maana ukweli unaoitwa ukweli wa kwamba Mwenyezi Mungu ni mkuu na muweza wa yote haiendani na uhalisia uliopo Duniani

2)Evil, madhambi, matukio mabaya na matatizo yanayoikumba Dunia kwanini yapo na Mwenyezi MUNGU haingilii kuyazuia.

Ok, sasa tuje kwenye maswali yafuatayo.

Unahisi kutokana na hoja namba moja kwamba The Lord God that is stated that is so powerful, omnipotent and omniscient has failed to intervene this situation, vipi kama ameamua kukaa kimya kutulia na kuwaacha kuwaingilia wanadamu kwa kipindi alichojiwekea?

Because he is omniscient he can do anything to redo or remake anything he want.

Hauni kama statement inayosema he is omniscient na principle zako za logic zinajicontradict?

Don't you see if something is omnipotent and omniscient can revoke all principles including logical principles that you are using to ignore him?

Don't you see If The LORD is omniscient and omnipotent can do anything at any moment to any one as HE (LORD) wish?

Dont you see logically describing power of someone WHO is omniscient and omnipotent can lead to contradiction and Dialetheism or both?

Kwa mujibu wa maelezo yako ya hoja namba mbili umegusia evil and all bad things happen in this Earth including diseases, war, disasters deaths and all others bad things.

Ok, nakubaliana na wewe let's assume chanzo cha hayo yoote mabaya yanayotokea yanasababishwa na mwanadamu ignore all natural events kama tsunami, earthquakes n.k let's assume hayo yote yanasababishwa na mwanadamu and lets put the god (imaginary god) at human level kwamba his power has limit and he is not omnipotent and omniscient and he cannot intervene those issues that's why evil inatokea duniani.

Ok, sasa tujiulize....

What about the an infinity Universe?

Who made this gigantic vast limitless universe?

Who control and arrange our solar system, our galaxy and our universe in mystical ways as it is?

Where is everything come from?

Can logical principles apply this?

Can you explain the source, operation and control capability of all of these mystiries in the universe in human power level?
Ukikataa logic pia umemkataa Mungu.

Kwa sababu umekubali ulimwengu wa chaos ambao ni wa anything goes ambao haumuhitaji Mungu.
 
Can you explain to me what is omnipotent and omniscient?

Omnipotent = one with ability to do all.

Omniscient = one with ability to know all.

These are abstract concepts, like a square that is simultaneously round.

The fact that you can say "round square" does not mean there is such a thing.

Omnipotence and omniscience does not exist, these are just made up stories, abstract concepts.
 
Kama ni just made up stories,

Please explain hoja yangu ya pili kuhusu swala la universe.

Nilifafanua kuhusu logic ambapo ww uliegemea, umepinga. Okay sasa tufafanulie kuhusu ulimwengu

Kama Mwenyezi Mungu sio omnipotent and omniscient basi tueleze nani aliepelekea huu ulimwengu kutokea na kuendelea kuwepo.

Let's assume all evils and bad things that are happening in this world LORD can not intervene because HE is not exist,

Okay, explaine to us how the vast limitless, trillions of stars, galaxies, earth and everything exist.

How do they formulate, na ni nani ameziunda? Don't you see logic principles can't fit here?

Scientists have proven that the universe is extremely huge and is made up from nothing. Remember those are scientists and physicists who use logic, scientific and mathematics principles to explain things. They are saying the universe is "made up" from nothing but "a bing bang" from nowhere pop ulimwengu ukatokeza.

Can't you see whoever did these is omniscient and omnipotent to the extent that comparing HIM to those tiny problems on Earth is close to nothing?

Can't you see from point of view comparing LORD'S power to those tiny issues happening in this earth is like comparing a cup of sand and the sand that appearing at the beach?

Vipi kama MWENYEZI MUNGU baada ya kuiumba Dunia aliamua kuamisha concentration yake sehemu zingine akaicha Dunia iende itakavyo yenyewe? Na sio kwamba kashindwa kuintervene?

Tafakari..
 
Kwa nini swali lako linauliza "nani"? Unajuaje jibu sahihi linatokana na swali la "nani"?

Huoni swali lako lina bias?
 
Back
Top Bottom