mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
- Thread starter
- #421
ShukraniWala sibishani na wewe Rafiki [emoji2]
lakini ujumbe wako umefika
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
ShukraniWala sibishani na wewe Rafiki [emoji2]
lakini ujumbe wako umefika
Niliweza kugundua kwa kuona irreconcilable contradictions.Uliwezaje kugundua?
Ulitumia nini kugundua?
Nini kilikuongoza kugundua?
Which aspects did you use to come to the conclusion that source of evil is result of absence of LORD?
Ulitumia methodologies gani kugundua? njia zipi za kitaalamu? Na uliweza kuprove VP jambo hili?
Labda nakua kimya kwa ajili ya usalama wake mkuu.Huwezi kumkuta Muislamu hata akiwa haendi msikitini ,haswali na mfanya maasi akijianika na kujisifia kuwa haendi msikitini ,labda huyo awe ameachana na imani ya mara nyingi huwa ujasiri huo hana kwani nafsi yake itakuwa inamsuta.
Misingi ya Uislamu ni haitakiwi mtu kutangaza uovu wake ikiwa Mwenyezi Mungu amemsitiri kwani ni uovu mkubwa mtu kufanya kibri katika maasi na kujisifia kuliko hata uovu wa kosa lenyewe.Na kuna uwezekano mkubwa asitubie kwa kuona ni kitu kizuri ila yule mwenye hofu na akaficha aibu zake kuna uwezekano mkubwa wa kupata rehma akatubu au kusamehewa.
Ila nashangaa upande wenu kila mtu anafunguka bila wasiwasi kama amefanya jambo ambalo zuri , huu sio uzi wa kwanza upo uzi mwingine watu wakijisifia masiku ambayo wasiyoenda Kanisani wakijiona watabe . Unakuta na mtu humu anahubiri neno la biblia lakini u amkuta kesho anapost uzi jinsi anavyogegeda watoto wa watu tena wakati mwingine akijisifu bila aibu.
sita
Relaaaaaaaxxxxxusihofu huwa napenda sana kukusoma
Pole sanasita
Tena lijariiii haswaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba eti wewe Coca ni dume la mbegu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Abeeeeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic crush wa Mukurungwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Coca huenda nimeshawahi kukuona ila sijajua kama ni wewe. Anyways leo nimetana na J Lokole akiwa kwenye ile range yake...! Anavimba balaaRelaaaaaaaxxxxx
Hahahahahah ila wewe aisee ni zaidi ya CIA... yaani humu hakuna hata anayekujua.Abeeeeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rhabhekhaaaaaaa
Twende church basi[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rhabhekhaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo mie.Halafu coca wewe ndiyo mimiamadiwenani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo mie.
Ndyooo ni yanguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaziii ipooooJf watu wana stress na sisi tupo kuwaongezea stress zaidi wavurugike kabisaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Waache kuchukulia maisha serious watakufwaaaa
Kmmaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawavuruga watu humuNdyooo ni yanguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usitukane unanitia nyegeKmmaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawavuruga watu humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa watu kusema ukweli wao ni vibaya? Toto lako kuwa shoga ni ujinga wake na si wa wewe mzazi. Kwani halina akili? Kwani lina miaka 4? Si lina 18+ huko?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app