BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,472
- 21,464
Mabwaku![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wa maticha
Mabwaku![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wa maticha
Kanisa siku zote limekuwa ni biashara ya kuuziwa Mungu ambaye hayupo.Sababu ni nyingi ila nimegundua kanisa la sasa ni biashara kama zilivyo biashara zingine.
Wizo hujawai kuwa serious 😂😂😂Mabwaku!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] huwezi amini hapa nilipo niko serious balaaa kila mtu ananiamkia shkamooWizo hujawai kuwa serious [emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuwa hawakujui huku jf unachokifanya wallahi!! 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] huwezi amini hapa nilipo niko serious balaaa kila mtu ananiamkia shkamoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] sijui utaambia nini watuuuuuWatakuwa hawakujui huku jf unachokifanya wallahi!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nawazaga hivi ikitokea siku mtu wangu wa karibu kashika simu yangu kaingia jf sijui nitaweka wapi uso wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tu nawazaga sana 🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] sijui utaambia nini watuuuuu
Kwa hiyo unasali peke yako?Sababu ni nyingi ila nimegundua kanisa la sasa ni biashara kama zilivyo biashara zingine.
Bichwa Mokwee.! Lecturer hapa UD[emoji28]Mabwaku!
Bichwa Mokwee aisee wangeona anachofanya jf sipati picha[emoji2][emoji2][emoji2] eti anasema mbona mnatukanana mnatudindisha bhanaWatakuwa hawakujui huku jf unachokifanya wallahi!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nawazaga hivi ikitokea siku mtu wangu wa karibu kashika simu yangu kaingia jf sijui nitaweka wapi uso wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahah utajibebaaaaaaAcha tu nawazaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui baba paroko atanichukuliaje?!!
Halafu Kiranga unaonekana ulikuwa church boy mno wewe.Kanisa siku zote limekuwa ni biashara ya kuuziwa Mungu ambaye hayupo.
Ila, kadiri siku zinavyozidi ndivyo uroho wa waongoza kanisa unavyozidi, na macho ya waumini yanavyozidi kufunguka, ndiyo maana unaona kanisa la sasa ni biashara.
Bichwa Mokwee aisee wangeona anachofanya jf sipati picha[emoji2][emoji2][emoji2] eti anasema mbona mnatukanana mnatudindisha bhana
Hahahahah utajibebaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bichwa Mokwee.! Lecturer hapa UD[emoji28]
Watoto ndo watamu wizo [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Na unakuta anaowaambia hayo maneno ni watoto wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta huyu ni DED manispaa fulani na ni mzee wa kanisa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na unakuta anaowaambia hayo maneno ni watoto wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtego kivipi?[emoji23][emoji23][emoji23] ila nawe si unafaidika kwa viposho au?Kule kusema amen amen kila kila wakisoma andiko kulinishinda!
Utitiri wa michango sijalipa huu Kuna huu mingine hata naisahau
Pale usharikani ukiwa unaenda ibada zote wanakupa kitengo[emoji1787][emoji1787]unakua manamba wa kanisa, ukishapewa kitengo ni mtego huo
Ngoja nikutimbie ofisini kwako one day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]