Kama umeacha kwenda na unamwabudu Mungu kwa roho na kweli basi Mungu akubariki. Lakini maandiko yanasema " .....msiache kukutanika ..." Kanisa linapaswa kujiendesha lenyewe ni lazima lijengwe na waumini, na sio muda wote panakuwa na michango mingi.Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
Hatupaswi kuwahukumu watumishi wa Mungu maana hukumu ni juu yake yeye mwenyewe. Jukumu letu ni kuwaombea watende kazi zao vizuri, usiinue kinywa chako kuhukumuMtu kama Sylvester Gamanywa anakuwaje kiongozi wangu!


...watu kuanguka..kushikwa vichwa...mchungAji anasema mtaa huu unawachawi Sana...NK..Kuna kipindi nilikuwa namtazama mzee wa upako nikawa nakubali sana zile nyimbo zake basi tukashauriana twende tukawe tunasali huko... Mara ikawa siku akitoka nyumbani ana stress anaanza kumsema mke wake hata dakika 40 jukwaani, mind you mke wake sikuwahi kuona akihudhulia pale kanisani. Akawa anamsema vibaya sijui nini. Siku nyingine akawa anamsema Ngwajima.Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
Kwaiyo wewe usienadhambi ndo unatakiwa huko kanisani?Mm niliacha pale niposhuhudia kuna bibi mmoja mchawi huyo usipime lkn kanisan anaingia tena anakaa siti ya mbele kabisa anaimba na kusifu dah ivumilivu ulinishinda
Ule wimbo Ney wa mitego -Mungu upo wapi namuelewa kiaina japo kuna baadh ya mistar hakuwa sawa
Matendo mabovu ya baadhi ya watu wa dini...haifanyi dini kuwa mbaya....Kila nikiwawaza Alshaabab na Bokoharam Uislamu unazidi kunisukuma mbaali sana.
Hamna Jambo lilinishangaza Kama hili...Aisee.Unakuta Msanii ambae Ni KIOO Cha jamii,
Mlevi wa sigara na pombe wa kupindukia, anaimba matusi kibao kwenye nyimbo zake, anachezesha wanawake uchi kwny video zake.
anatuharibia VIJANA wetu.
Akishapata pesa kutoka kwenye iyo kazi yake haramu, Anaituma mkoani kujengea nyumba ya ibada.
Siku moja kabla uzinduzi,
Anapanda usafiri wa Umma, anawalipia nauli watu wote na pombe za bure.
Alfajiri,
Watu wanafika wamelewa mpk wamejinyea.
Saa 3 asbuhi,
anaenda kuzindua nyumba ya ibada.
Viongoz wa dini wanampokea na kumlaki Kama shujaa.
Saa 8 mchana,
Anapiga show kwenye uwanja wa mpira, wamama,wababa, VIJANA, na watoto wanalewa pombe,wanacheza nyimbo za ngono.
Viongozi wa dini wako kimya
Ww ndio una vuruga kabisa kwaio ww wataka kusema wenye midhambi pale kanisan ndo wanahitajikaKwaiyo wewe usienadhambi ndo unatakiwa huko kanisani?
Wao pia hutoa sema labda hujajua wanatoajeWalimu hawa hawa wanaohimiza sadaka huku wao hawatoi senti tano au wengine?
10. Tegemeza jimbo.Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
kweli...ila ubaya unakuja pale matendo yao yako justified na dini yaoMatendo mabovu ya baadhi ya watu wa dini...haifanyi dini kuwa mbaya....
21. Sabuni ya kufulia nguo za padri. Pumbaaav kabisa tec10. Tegemeza jimbo.
11. UWAKA
12. Ujenzi was Goroto/Gloto
13. Ulinzi
14. Padri anaenda masomoni
15. Mchango wa mfuko wa Papa wa uinjilisti
16. Mfuko wa kusaidiana wana jumuiya
17. Mchango wa kwenda hija
......
20. The list goes on ...
Dah! umepiga kwenye mshonoUnakuta Msanii ambae Ni KIOO Cha jamii,
Mlevi wa sigara na pombe wa kupindukia, anaimba matusi kibao kwenye nyimbo zake, anachezesha wanawake uchi kwny video zake.
anatuharibia VIJANA wetu.
Akishapata pesa kutoka kwenye iyo kazi yake haramu, Anaituma mkoani kujengea nyumba ya ibada.
Siku moja kabla uzinduzi,
Anapanda usafiri wa Umma, anawalipia nauli watu wote na pombe za bure.
Alfajiri,
Watu wanafika wamelewa mpk wamejinyea.
Saa 3 asbuhi,
anaenda kuzindua nyumba ya ibada.
Viongoz wa dini wanampokea na kumlaki Kama shujaa.
Saa 8 mchana,
Anapiga show kwenye uwanja wa mpira, wamama,wababa, VIJANA, na watoto wanalewa pombe,wanacheza nyimbo za ngono.
Viongozi wa dini wako kimya
Wewe mzinifu..na kuwashika wadada Bila idhini yao...ndo unajiona unasifa za kumuomba huyo mungu...na Kuhubiliwa na mchungaji?Ww ndio una vuruga kabisa kwaio ww wataka kusema wenye midhambi pale kanisan ndo wanahitajika
Mchungaji yupo madhabaun anaomba chawi liko apo apo