Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,838
Oooow' sorry,Thank you
Kwanza ulitakiwa kujibu Amen
Naona kama tunaongea lugha moja now.
Kwenda kanisani kunatakiwa kuwe na maandalizi ya kimwili na kiroho. Watu hao wanaona wakienda kanisani watamiss maandalizi ya kiroho na mwisho wa siku wanakua wamefanya kazi bure.
Ndo maana wanaona watumie muda huo kusali nyumbani au kwenye jumuiya.
Asante
A huge Amen to that...!!
Mimi na wewe hapa tunaelewana vizuri kabisa kuwa kwenda ibadani ni suala la kujiandaa kimwili na kiroho, I second you on this..!!
Ila ninachopingana na wadau hapa ni suala la 'kuacha kabisa', siyo kwamba hawaendi this Sunday sababu hawajajiandaa hell nuh'.. Differentiate the two, ni kuwa wao na kanisa ni mbingu na ardhi, na wanataka kulifanyia justification hilo kuwa wapo sahihi..!
Bado kusali nyumbani ama kwa jumuiya haileti uzito kama wa kuhudhuria ibada Bio...!!