Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

Unfortunately kuna kikundi cha watu haswa upinzani hua wanajiona wamepatia maisha na kuita wengine wajinga! wao wanadhan sku CCM itatoka CCM basi yaisha yao yataboreka, wapuuzi wa mwisho kabisa hawa!

Mtu anasema chanzo cha umaskini tanzania ni ccm kuwepo madarkani apo apo hajiamini kama anaweza kwenda kufanya kazi nje ya nchi yeye serikali ndo mwisho wa kilio chake, WTF!
CCM ndiyo Sumu ya maendeleo Tanzania kwani pesa nyingi ya walipa kodi hutumia kudhoofisha upinzani badala ya maendeleo, mfano sasa wanatumia TRA kufunga Account biashara kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani, CCM inadumaza maendeleo kwa watanzania wengi wamehamishia pesa zao kwenye mabenk ya kenya Uganda Zambia na kwingineko Duniani
 
WanaJF, Salaam!

Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani, maridhiano ya kitaifa Zanzibar nk nk.

Kwa hayo na mengine mengi ukitokea hadharani na kuyasifia ukweli ni kwamba hawa jamaa wa CDM wanaudhika kweli - wanajaa gesi na hapo unashushiwa dhihaka kibao kama:

(i). Lumumba buku saba - sasa Je, wao wanaposifia Tundu Lissu au Mbowe huwa mmepewa Ufipa kiloba?

(ii). Weka namba ya simu chini ili uteuliwe (as if Serikali ina nafasi ya kuteua kila mtanzania mwenye hisia na mawazo chanya) - Je, ninyi mnaposifia CHADEMA huwa mnafanya hivyo ili chama cha Mbowe kiwateue?

(iii). Wauaji, watekaji na wakandamizaji wa haki za binadamu - hivi huwa mnasahau kwamba ukandamizaji mmeuasisi huko CHADEMA - CCM tumebadili wenyeviti wa taifa mara kadhaa, CHADEMA mmebadili mara ngapi? Mmeshajiuliza kwa nini Silinde, Waitara, Katambi, Dkt Kaburou, Zitto, Dkt. Slaa, Dkt Mashinji, Lijualikali na wengine wengi waliamua kuwaacha?

Nihitimishe kwa kusema kwamba si kwamba Paskali Mayyala, Msakila Kabende nk kuunga mkono jitihada za Serikali ni kutaka teuzi "NO". Things are always clear kwamba Serikali ya JPM iko makini sehemu zote na imeweza kujibu maswali mengi ya upinzani kama dhana ya ufisadi, uwajibikaji, matumizi ya fedha za umma nk

Asubuhi njema wanachadema, ACT-Wazalendo, CUF, NLD, UDP, NCCR nk.

Msakila M Kabende
Kigoma
Tanzania
CCM ndiyo Sumu ya maendeleo Tanzania bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani lakini chini ya CCM Taifa linazidi kurudi nyuma
 
sasa shida iko wap apo, kufunga account za wafanya biashara ipo mikononi mwa nguvu ya serikali hata kutaifisha mali zako iko mikononi mwao! back to the point, nan anafanya biashara legite biashara yake ikafungwa? lipa kodi yako fanya biashara kwa kanuni za nchi hakuna anaekusumbua
 
Kodi wanalipa wana kila kitu lakini CCM wakitaka kumkomoa mfanyabiashara huwatuma TRA kuwabambikia kodi kubwa hewa wapate kisingizio cha kufunga Account kisha kuziathiri Benk kwa kukosa imani na wateja wengi, kwani sasa Benk siyo mahala salama pa kuweka pesa kwani CCM mda wote wanazinyemelea kwa njia haramu za kishetani
 
Chadema wanalia sana, Trump analia , tuungane na Trump na Robert Armsterdam tuumalize huu mchezo wa kuibiwa kura kuanzia Amerika hadi Tanzania.

Bob Amsterdam tumsaidie Trump na Lissu kuwapeleka Democratic Party, CCM, Magufuli na Biden mahakama ya The Haque. Naona 2025 tuta washinda tuu hao wezi wa kura.
CCM wamewanunua covid 19 ambao ni mashahidi kwenye kesi hizo, kesi inakuwa ngumu kutokana na CCM kutumia pesa nyingi kupoteza ushahidi ndiyo maana Tanzania hakuna maendeleo kwa sababu pesa za maendeleo yote inatumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Nchi ina zaidi ya miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, mda huu Tanzania ilipaswa kuwa kama marekani China German UK India Canada france Japan na wengineo Nchi tajiri Duniani kutokana na kujaliwa kuwa na kila kitu, lakini chini ya CCM pesa zote zinapotelea matumboni mwa wachache huku maendeleo yakizidi kudumaa zaidi na zaidi, CCM ni Sumu ya maendeleo Tanzania kwa kugeuza pesa za walipa kodi kutumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa taifa
 
Kodi wanalipa wana kila kitu lakini CCM wakitaka kumkomoa mfanyabiashara huwatuma TRA kuwabambikia kodi kubwa hewa wapate kisingizio cha kufunga Account kisha kuziathiri Benk kwa kukosa imani na wateja wengi, kwani sasa Benk siyo mahala salama pa kuweka pesa kwani CCM mda wote wanazinyemelea kwa njia haramu za kishetani

naomba nitajie mfanya biashara mmoja ambae amefanya biashara kwa kufuata sheria zote na akalipa kodi vizuri wakachukua pesa zake??
 
Usariti upi? Wapi? Kupinga kila kitu ni haki kwa wapinzani kwani hakuna kizuri hufanywa na CCM pasipokuwa na ufisadi mkubwa, miradi yote mikubwa ina 10% kuna ufisadi wa kutisha alafu unataka wapinzani wasipinge? CCM ni ukoo wa panya kila mmoja hutumia fursa zake kupiga pesa ndiyo maana wapinzani hupinga kila kitu cha CCM pasipo kuacha hata kimoja
Ndiyo maana umejiita minyoo 😅😅
 
WanaJF, Salaam!

Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani, maridhiano ya kitaifa Zanzibar nk nk.

Kwa hayo na mengine mengi ukitokea hadharani na kuyasifia ukweli ni kwamba hawa jamaa wa CDM wanaudhika kweli - wanajaa gesi na hapo unashushiwa dhihaka kibao kama:

(i). Lumumba buku saba - sasa Je, wao wanaposifia Tundu Lissu au Mbowe huwa mmepewa Ufipa kiloba?

(ii). Weka namba ya simu chini ili uteuliwe (as if Serikali ina nafasi ya kuteua kila mtanzania mwenye hisia na mawazo chanya) - Je, ninyi mnaposifia CHADEMA huwa mnafanya hivyo ili chama cha Mbowe kiwateue?

(iii). Wauaji, watekaji na wakandamizaji wa haki za binadamu - hivi huwa mnasahau kwamba ukandamizaji mmeuasisi huko CHADEMA - CCM tumebadili wenyeviti wa taifa mara kadhaa, CHADEMA mmebadili mara ngapi? Mmeshajiuliza kwa nini Silinde, Waitara, Katambi, Dkt Kaburou, Zitto, Dkt. Slaa, Dkt Mashinji, Lijualikali na wengine wengi waliamua kuwaacha?

Nihitimishe kwa kusema kwamba si kwamba Paskali Mayyala, Msakila Kabende nk kuunga mkono jitihada za Serikali ni kutaka teuzi "NO". Things are always clear kwamba Serikali ya JPM iko makini sehemu zote na imeweza kujibu maswali mengi ya upinzani kama dhana ya ufisadi, uwajibikaji, matumizi ya fedha za umma nk

Asubuhi njema wanachadema, ACT-Wazalendo, CUF, NLD, UDP, NCCR nk.

Msakila M Kabende
Kigoma
Tanzania
Kwa kupeleka miradi chato
 
CCM ndiyo Sumu ya maendeleo Tanzania bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani lakini chini ya CCM Taifa linazidi kurudi nyuma
Sasa tusemeje kuhusu vyama vya upinzani hususan CDM ambayo pamoja na kupata ruzuku kubwa kwa miaka 15 iliyopita wakiwa na wabunge wengi lkn wameshindwa hata kujenga Ofisi ya chama?

Mngetumia miujiza gani?
 
Mkuu, acha hiyo ya kujenga, hata kiwanja tu cha kujenga hiyo ofisi yenyewe hawana !😢😢
 
WanaJF, Salaam!

Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani, maridhiano ya kitaifa Zanzibar nk nk.

Kwa hayo na mengine mengi ukitokea hadharani na kuyasifia ukweli ni kwamba hawa jamaa wa CDM wanaudhika kweli - wanajaa gesi na hapo unashushiwa dhihaka kibao kama:

(i). Lumumba buku saba - sasa Je, wao wanaposifia Tundu Lissu au Mbowe huwa mmepewa Ufipa kiloba?

(ii). Weka namba ya simu chini ili uteuliwe (as if Serikali ina nafasi ya kuteua kila mtanzania mwenye hisia na mawazo chanya) - Je, ninyi mnaposifia CHADEMA huwa mnafanya hivyo ili chama cha Mbowe kiwateue?

(iii). Wauaji, watekaji na wakandamizaji wa haki za binadamu - hivi huwa mnasahau kwamba ukandamizaji mmeuasisi huko CHADEMA - CCM tumebadili wenyeviti wa taifa mara kadhaa, CHADEMA mmebadili mara ngapi? Mmeshajiuliza kwa nini Silinde, Waitara, Katambi, Dkt Kaburou, Zitto, Dkt. Slaa, Dkt Mashinji, Lijualikali na wengine wengi waliamua kuwaacha?

Nihitimishe kwa kusema kwamba si kwamba Paskali Mayyala, Msakila Kabende nk kuunga mkono jitihada za Serikali ni kutaka teuzi "NO". Things are always clear kwamba Serikali ya JPM iko makini sehemu zote na imeweza kujibu maswali mengi ya upinzani kama dhana ya ufisadi, uwajibikaji, matumizi ya fedha za umma nk

Asubuhi njema wanachadema, ACT-Wazalendo, CUF, NLD, UDP, NCCR nk.

Msakila M Kabende
Kigoma
Tanzania
Wacha uongo,wewe umesikia wapi? Mumebaki wenyewe sasa fanyeni kazi,mumezoea kuisingizia Chadema Kwa kila jambo. Tunataka Tanzania iwe kama uraya na Arusha yetu kuwa kama karufonyia.
 
Back
Top Bottom