Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

Hili linahitaji mjadala kwa watu wenye mawazo huru. Kwa nini pia ukimkosoa ccm wananuna? Kwa sababu hata Kama mtu amefanya mazuri kiasi gani mapungufu lazima yawepo maana huo ndiyo ubinadamu. Sasa unapomkosoa unamuimarisha zaidi. Yeye mwenyewe Alisha tamka anahitaji constructive criticism.
 
Kwanini Magufuli akikosolewa tu kidogo anakimbilia kubambikizia watu kesi za uchochezi???
Siyo sahihi - hata kama itakuwa sahihi basi huenda mkosoaji hatumii busara ktk kufikisha ujumbe

Magufuli hupenda kushauriwa - ndiyo maana mmeona maridhiano Zanzibar
 
BAELEZEE....TENA BA VICHAA HAWA chama kisicho na nidhamu asilimia kubwa wafuasi wao ni watukanaji kuanzia mgombea lissu hadi askofu wake mwamakula
 
Kwa nn ukimsifia Tundu Lissu maccm yananuna kutwa nzima hadi ndoa zao zinavunjika kwa hasira?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa kama mgombea urais wao aliuza sera za "miradi yote ya serikali ni upumbavu sababu ni maendeleo ya vitu" usishangae sana BAVICHA kupinga maendeleo, wamedanganyika hivyo!

Alafu cha ajabu wakati mgombea wao wa urais ana ponda maendeleo ya Tanzania kupitia miradi mbalimbali, ilani yake ya uchaguzi imejaa ahadi kibao za "maendeleo ya vitu"!!
 
Subiri wakuongeze mengine. Huwa wanajiita wanademokrasia ila si unajua hakuna kitu kama demokrasia popote pale ulimwenguni. Hawa makamanda ikiisifia tu serikali wanakupitia. Hakuna demokrasia, ni domokrasia.
 
Wamechanganyikiwa ni wa kuwasamehe tu
Walijua magu ni wa kuchezea tu
Watamtukana wanavyotaka
Sasa wamekuta kisikiii akili zimewaruka

Hao wasikuumize kichwa
 
Siyo sahihi - hata kama itakuwa sahihi basi huenda mkosoaji hatumii busara ktk kufikisha ujumbe

Magufuli hupenda kushauriwa - ndiyo maana mmeona maridhiano Zanzibar
Maridhiano ya Zanzibar ni Katiba yao inaruhusu kufanya hivyo lakini ingekuwa sheria hiyo inatumika kwetu yeye kama yeye na ngenge lake la akina ndugai wangetupilia mbali maana wao wenyewe ndiyo sheria kuliko sheria zilizotungwa na Bunge kabla ya utawala wake.
 
Wapumbavu huwa wanamsifia MPUMBAVU MWENZAO.

MTU HANA UWEZO WA KUTUNGA HATA SENTENSI MOJA YA KIINGEREZA ALAFU NIMSIFIE.

# umesahau namba yako ya simu
shame.
Sawa. Wewe mtunga sentensi ya Kiingereza soma maelezo haya hapa chini. Na ujipime kama unazo sifa za kuitwa ' mwelevu, mwenye hekima na busara ' mbele ya jamii.
====
THE UTMOST STUPIDITY NORMALIZED BY AFRICANS:

When a French national cannot speak English, Africans respect him

When a Spanish can't speak English, Africans respect him.

When a Chinese can't speak English, Africans respect him

When a Russian can't speak English, Africans respect him.

When a Portuguese can't speak English Africans respect him.

But when an African can't speak English Africans consider him a joke, unintelligent, illiterate, dumb and stupid

That's the level or extent of damage we have suffered as a people. We use English as a yardstick to measure the intelligence of our people, including children

In our schools, children are made to believe they're stupid just because they cannot speak a language alien to their ancestral route.

Dear Africans put an end to this mental slavery. Teach your children their mother tongue and allow the locals to feel free in speaking their native languages without any stigma.

Do not help the oppressors to extend their oppression.

If you come across this post, Share widely to Spread this message and enlighten an African. The people around you need to hear this. It's a collective effort. Don't break the chain of mental revolution. Thanks!
===
Courtesy: Anonymous Instagram and Whatapps friendly user.
 
Swali kwako mleta mada,
Kwani hao wanaosifu na kuabudu humu au live kwenye TV na Radio, ushawahi kuwaona au kusikia wakimkosoa either humu au kwenye TV au Radio???
Sababu raisi sio malaika anamapungufu yake..
 
Back
Top Bottom