4G LTE
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,777
- 10,533
Ndio unakwenda mpesa?
Sasa iv washafunga.... Nawahi kukuandikia chequeNdio unakwenda mpesa?
Hapa kuna pointaisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,**** and forget]
Nyie ndio chanzo cha kuharibika kwa dunia. Wanaume tuna/wanayumba kwa sababu yenu ninyi.Miaka ijayo sijui tutakuwa na kizazi cha aina gani ikiwa hawa ndio wazazi.
Anapima hicho hapo ☝️ tu.kupima uzima wa mfuko wako.
Mwenza acha tu, Yesu arudi tuMiaka ijayo sijui tutakuwa na kizazi cha aina gani ikiwa hawa ndio wazazi.
Duuh, ataila hiyo home theatre ?au, ndyo atakua anaenjoy good music huku anakuomba hadi hela ya vocha tena aisee, wkt angepata huo mtaji akafanya biashara faida akaja kununua hiyo home theatre, ale magoma wee mpk aseme basii huku biashara inaendeleaUmeolewa? Mwanamke wangu yuko radhi nimnunulie home theatre ya laki saba kuliko kumpa laki tisa ya mtaji
Me nakataaa buda huo sio uvumulivuAnakupima unampenda kiasi gani, anapima uvumilivu wako n.k
Shemela VP dadaangu madam S amechota mpunga alafu amekuacha nn, mbona sielew elew
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua nikishampa ya home theatre baadae akiniomba ya mtaji nitatoa wakati now mambo yamebana kidogo, anajua project nilizokuwa nazo ambazo zinamaliza pesa.Duuh, ataila hiyo home theatre ?au, ndyo atakua anaenjoy good music huku anakuomba hadi hela ya vocha tena aisee, wkt angepata huo mtaji akafanya biashara faida akaja kununua hiyo home theatre, ale magoma wee mpk aseme basii huku biashara inaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, kumbe anataka vyote aisee, ila muelekeze vzr, ataelewa ila mtaji kwanza banaAnajua nikishampa ya home theatre baadae akiniomba ya mtaji nitatoa wakati now mambo yamebana kidogo, anajua project nilizokuwa nazo ambazo zinamaliza pesa.
Mtu ana miaka 24 yuko last year ila kama standard five
Vyote ila kaanza ni hilo kwanza, now siwezi kutoa pesa yote hiyo numetaitika.Hahaa, kumbe anataka vyote aisee, ila muelekeze vzr, ataelewa ila mtaji kwanza bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikimueleza haelewiHahaa, kumbe anataka vyote aisee, ila muelekeze vzr, ataelewa ila mtaji kwanza bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni timamu wa akili ujana unamsumbua
Ana safari ndefu sana wenzie tunalilia japo tupate mitaji ya kuendeleza biashara ye analilia vitu vya hovyo kweli duniani tupo tofauti.... Pole kiongoziNi timamu wa akili ujana unamsumbua