Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

aisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,**** and forget]
Hapa kuna point

From profile picture to proper future
 
Hilo ni swali rahisi sana. Hata wewe mdada akikupenda kwanza lazima apate tabu unajua kwanini? Sababu she doesn’t know you, hajui ur values hakujui kabisa but akikupa nafasi and after sometime when she finds out what kinda person you are na kadhalika naye atajifunza kukupenda and wote mtakua sasa kwenye page moja.
 
Umeolewa? Mwanamke wangu yuko radhi nimnunulie home theatre ya laki saba kuliko kumpa laki tisa ya mtaji
Duuh, ataila hiyo home theatre ?au, ndyo atakua anaenjoy good music huku anakuomba hadi hela ya vocha tena aisee, wkt angepata huo mtaji akafanya biashara faida akaja kununua hiyo home theatre, ale magoma wee mpk aseme basii huku biashara inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh, ataila hiyo home theatre ?au, ndyo atakua anaenjoy good music huku anakuomba hadi hela ya vocha tena aisee, wkt angepata huo mtaji akafanya biashara faida akaja kununua hiyo home theatre, ale magoma wee mpk aseme basii huku biashara inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua nikishampa ya home theatre baadae akiniomba ya mtaji nitatoa wakati now mambo yamebana kidogo, anajua project nilizokuwa nazo ambazo zinamaliza pesa.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom