Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
9,803
2,000
Sasa kama anakupima kwa kukuomba hela kwanini na wewe usimpime kwa kumnyima hela? Halafu ukampotezea?
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
12,220
2,000
Nyodo zimekua nyingi tangu nimsfie kua ni mzuri, natuma meseji yenye content zaidi ya 50 yeye anakuja ku reply kesho yake na neno moja et "so" Nimepiga chini

Sent using unknown device
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,476
2,000
Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,

Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako.

Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali.

Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.

View attachment 1004632
Ngoja nimuite mtu aje ajibu hapa,
Madame B
 
Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,

Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako.

Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali.

Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.

View attachment 1004632
Tafuta pesa wewe...acha kulialia.
Wenzio wanakuzidi kete kwa pesa.
Afu mwanaume kuja kuanzisha thread kama hii unanikosea heshima mie ujue.
Ina maana mie nakuomba pesa sana au.

Miss Natafuta hebu come kipande hiki kwanza
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,316
2,000
Huyo alioinamisha kichwa na kujishika kichwani hapo kwenye picha ndio wewe?
 
mark girland

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,032
2,000
aisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,**** and forget]
Wee Jamaa uko sahihi sana. Wanawake hawapendi hata Siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom