platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,156
Poa mzee wa Swaziland upo jamani mana nikikuona tu unaniletea habari za kufungwa tusiongee basi hizo mambo jamani si unajua ninavyokupenda mm
Mimi walaa sina tatzo na mambo ya kufungwa. Nakupenda kuliko Meli na bandari! Love youPoa mzee wa Swaziland upo jamani mana nikikuona tu unaniletea habari za kufungwa tusiongee basi hizo mambo jamani si unajua ninavyokupenda mm
mzee wa Swaziland bwanaMimi walaa sina tatzo na mambo ya kufungwa. Nakupenda kuliko Meli na bandari! Love you
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ijayo sijui tutakuwa na kizazi cha aina gani ikiwa hawa ndio wazazi.aisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,**** and forget]
nyie mnazingua sana,mtu akikomaa kuwamaind kwa sana mna vituko sana nyie watu.Miaka ijayo sijui tutakuwa na kizazi cha aina gani ikiwa hawa ndio wazazi.
SMH made em to be soMiaka ijayo sijui tutakuwa na kizazi cha aina gani ikiwa hawa ndio wazazi.
Hivi dogo unanitaka nini lakini na hivi vingreza
Daaah si kwa banzi hiliHivi dogo unanitaka nini lakini na hivi vingreza
asikudanganye mtu, mwanamke ni sasa na mwezi, na sis wanaume ni sawa na jua, mwezi huaksi muangaza kutoka kwa jua, mwanamke yeyote yule anaambukizwa upendo, walio wahi kusugua ndara naamin wataniunga mkono kwa hakika..Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano, sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajwahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali. Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
Nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.
View attachment 1004632
Dooooh! Mwishowe utaanza nipiga faini apa... Tuzoweane tu...
Mwenzio nikisoma kingreza naumwa kichwa ujue.
Hao wenye kutaka kuchota mahela kwako huwa unakutana na wafanyabiashara wa mili yao, mtu mwenye akili timamu na anayejithamini anayetamani penzi la dhati hawezi kukupima kwa kukuomba heraaaSwala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano, sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajwahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali. Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
Nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.
View attachment 1004632
NO MATTER WHATSwala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano, sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajwahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali. Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
Nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.
View attachment 1004632
Jiandae, nataka laki ya panadol.