Makamanda wa chadema unawafahamu vizuri Lakini? Mmojawapo huyu hapa.chadema sio kama chama chenu kama mnavyojionesha hapa
View attachment 229826
chadema ni mpango wa mungu
chadema ni mpango wa mungu
Makamanda wa chadema unawafahamu vizuri Lakini? Mmojawapo huyu hapa.
ndugu Alexandra the great, kila kitu ni mpango wa mungu, wewe kuweza kuishi kwa usalama na kujumika hapa jukwani ni mpango wa mungu. Mungu hana chama wala kabila, binadamu wote ni viumbe wake, hata wana ccm/cuf na wanachama wa vyama vingine.
Acheni huu uzembe wa kutaka kuwafanya wasio wanachama wa sio CDM kuwa kama wanafanya hivyo kumpinga mungu. Chadema ni chama cha kitaifa kama vinginevyo.
Makamanda wa chadema unawafahamu vizuri Lakini? Mmojawapo huyu hapa.
wamtaje ili wam******!!
let us be quite coz we know what we are doing
Kwani chadema nacho chama cha maana basi?