Kwanini UKAWA hawatangazi mgombea wa URAIS mapema?

Kwanini UKAWA hawatangazi mgombea wa URAIS mapema?

hizi bangi, ww uafahamu mipango inayoendelea na nani na muda wa kutoa taarifa???

Nani na nani anajua ! Au ndie yale yale mnataka tuamini ni chama cha familia . Wanaujua nibwale wanakaa Dinner usiku pamoja ... sisi wengine tusubirie tu kumpigia kura . Jitokezene Tuwapime mapema tujue mbivu na mbichi .! Mda umebaki mchache mno .

Tuambieni tunampigia Kura Lowassa Au tungoje Mgombea Kutoma ndani ya CDM mpaka lini.
 
Kampeni za watu wenye uwezekano wa Kupitishwa Uraisi ndani ya CCM tayari wameshaanza harakati za Kujitanga ... kichichini ..

Sisi wa kwetu bado . ! ww unadhanibkama si Knockout ni nn hii . !

Watu wametumia Miaka zaidi ya miwili kueneza Sumu .. ww leo from no where utunulie tu mtu kama Uyoga ,na mda huu ndio hivyo umebaki mchache ... halafu mnataka mseme tutashinda ... tutashinda vip wakati hatujishghulishi ! Inatakiwa tucheze kwendana na aina ya mziki unaupigwa

Mziki ni Rage na wenzetu wanacheza Rege ,sisi tunacheza Taarabu
 
Nyoooooooo unajisalimisha.........huna lolote waliokutuma waambie hiyo knockout wataisubiria mpaka yesu arudi hawatoiona

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)
[/QUOTE]

Ndio Hivyo mmejaa matusi na mipasho. .. kama kawaida
Watu gani nyie msiopenda kukosolewa .
Mkikosolewa mnaanza Fukufukuza .

Utajipima vip kama unataka kila kitu uonekana sahihi
 
Labda wewe mleta mada ni mwanachama wa kufua chupi za rizmoko!!
 
Hakuna mwana chadema anayeandikia habari zake kwenye vibuyu vya Lumumba

Sawa Kamanda , na ndio maana chama chetu kinaitwa cha wenye fujo.
Na hii ni kwa ajili ya wananchama wake kuwa na fikra potovu kua ukiwa upinzani basi ww kila kitu ni kupinga na vurugu ndio kipaumbele . , upinzani si kama wengi mnavyodhani.

Muulize Zitto Kabwe Ni nn maana ya Upinzani .

Endeleeni kutuita Lumumba ,na wengi wenu mtabaki wana chama fuata mkumbo..sure m telling you...

Bora kua Mpinzani unayetambua ,kukikua kugeuzwa Condom. (nadhani unajua matumizi ya Condom baada ya kutumika hutupwa .) wengi wa vijana wa upinzani/wafuasi wanaamini katika kunikomboa kimaisha kupitiia siasa na hiki ndiko kinachowacost wanachama pamoja na chma kila baada ya uchaguzi ... wengi hugeuka na kuona wametupwa ! Upinzani haupo hivyo ndugu yangu .
 
Chadema ni kikundi vha wahuni kinachoendesha maisha yao kupitia siasa lakini hakina sifa ya kuongoza nchi
 
Chadema ni kikundi vha wahuni kinachoendesha maisha yao kupitia siasa lakini hakina sifa ya kuongoza nchi
kuna uhuni zaidi ya huu ?
 

Attachments

  • attachment-10.jpeg
    attachment-10.jpeg
    12.2 KB · Views: 470
Hivi mpaka sasa we hujajua kama Freeman ndiye mgombea uraisi kupitia CDM, pole.
 
Kuna msemo unaosema Dalili ya mvua ni Mawingu .

Mm niite Knockout tu kwa vyama Vyama Upinzani nchi Hususani CHADEMA , kwani pia siaamini sana katika ule muungano wao UKAWA .
Tukiwa tumebakiza mda mchache mno kuelekea uchaguzi mkuu wa Urasi mpaka sasa sijasikia Dalili yeyote ya nani ataipeperusha Bendera ya CDM kwnye kinyang'anyiro hicho . Tafsiri yake ni kuwa mmekubali kupigwa chini mapema .

Naami wapiga kura Kumtambua atayekuja kugombani katika hatua za mapema ,kuna wapa fursa ya kuwapima .

Sasa iwehe mpaka sasa Hakuna Dalili zozote za nani anayekuja Kugombania ,hili pambano mnaonekana kabisaa mmepigwa KNOCKOUT .
Na uchaguzi huwenda ukakosa Upinzani Kuliko waty wengi walivyotarajia .

Au tuseme ndio mmeamua Kumsupport Edward Lowassa .

Wanachama wenu tunapata wasiwasi sasa .

Amkeni Mmelala..mda umeisha .

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)

Umetumwa kuja kuulizia JF kuhusu mgombea wa urais kupitia UKAWA baada ya vyombo vya habari vilivyohongwa na MaCCM kugonga mwamba.

Haya wacha nikupe jibu, mgombe wa Urais kupitia UKAWA atajulikana mwezi wa nane. Kamwambie aliyekutuma.
 
sumbawanga juzi dalili zilionesha nani anapigwa nok out?????:A S 465:
pole sana ndugu gamba gumu
 
Hakuna haja ya UKAWA kukurupuka kama baadhi ya watu wanavyofikiria, Mikakati na ubora wa mgombea anayejua shida za raia wetu wote. Siyo CCM wao hawaangalii mama yetu TANZANIA bali matumbo yao na kugawiana rasmali zetu, UKAWA tuongozwa na MUNGU tuomba Hekima, Busara, Ufahamu, Akiri bora na Ujuzi wa kupata mgombea safi mwenye nia ya dhati na kuwaleta sawa Watanzania wote na kunufaika na rasmali zetu.
 
Kama ujuavyo uchaguzi ni timing Lowassa anapiga sana kampeni na watu mtaani wanamkubali sana na hizi kampeni zimeanza muda mrefu sana na muda ndio unazidi kwenda na jana mtaani kwangu nimebishana watu wengi sana na ni karibu wote ni wa chadema wanasema Lowassa lazima atapita kuwa raisi je watu ambao mnapango wa kuchukua nchi mnalichikuliaje hili na huu ndio muda muanze kampeni za chini chini sio hadi msubilie sijui mwezi wa kumi huo muda ni mchache sana
 
Unaposema ukawa wanachelewa kumchagua mgombe urais sikuelewi maana hadi sasa hakuna chama kilichomtangaza mgombea we nini kinakuwasha?
subiri mambo mazuri hayataki haraka
 
Back
Top Bottom