SHIVA MAINA
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 293
- 42
Wewe ----- kweli,,, kwan chama gani ambacho kimeteua mgombea??? Hzo bangi usivutie chumbani vuta hadharani tujue
Wakati tukielekea katika Uchaguzi mkuu umoja wa katiba ya wananchi UKAWA unaofanywa na vyama vya upinzani vikiongozwa na vyama vitatu maarufu, (CHADEMA, NCCR na CUF) bado havijaonesha nia ya kuteua safu yao ya wale watakao wawakilisha kwenye uchaguzi katika nafasi ya URAIS.
UKAWA wanafanya haya kwa sababu kuu mbili;
Kwanza wanapima upepo wa yale yanayoendelea katika mchakato wa kutafuta mgombea wa Urais kupitia CCM. Ili wajue wanapambana na nani na nani anaweza kufaa kupambanishwa na mteule wa CCM.
Pili, wanaangalia hatma ya mgombea fulani kupitia CCM kama atapitishwa ama la. Kama mgombea huyo akikosa nafasi kupitia CCM basi wamshawishi kugombea kupitia UKAWA kwani UKAWA wanaamini kua mgombea huyo anakubalika na wengi hata wale wasio CCM lakini kutokana na mwenendo wa swala zima la uteuzi kuna viashiria ambavyo havimpi nafasi mgombea huyo, hivyo kuipa UKAWA kete ya kumshawishi mgombea huyo kugombea kupitia tiketi ya UKAWA kama akikosa nafasi kugombea kupitia chama chake cha CCM.
Sidhani kama kuna sababu nyingine tofauti na hizo ambazo zinaifanya UKAWA kutoteua safu yake ya uongozi katika uchaguzi wa oktoba ukizingatia kwamba wananchi wanayo haki ya kujua mgombea mapema ili kumtathmini kabla ya kupiga kura.
UKAWA hawana mgombea mwenye mvutu so far, wanategemea matokeo ya CCM yatakuwaje.Vijana wa Lowasa mnahangaika sana! Huyo jamaa yenu ajiandae kwenda kulima hoho kule Meru. Propaganda za kwamba akitoswa na ccm atachukuliwa na Ukawa ni upuuzi tena utoto kabisa maana hata akipitishwa na chama chenu, bado hatoboi! Tafuteni kazi ya kufanya, acheni kuishi kwa ndoto! Uliza kwanza kwanini chama chenu hakijatangaza hadi sasa. Mambo ya ukawa waachie wenyewe!
unaharaka kama unatatizo la KUENDESHA... mbona huulizi CCM kwanini hawataji mgombea wao??Wakati tukielekea katika Uchaguzi mkuu umoja wa katiba ya wananchi UKAWA unaofanywa na vyama vya upinzani vikiongozwa na vyama vitatu maarufu, (CHADEMA, NCCR na CUF) bado havijaonesha nia ya kuteua safu yao ya wale watakao wawakilisha kwenye uchaguzi katika nafasi ya URAIS.
UKAWA wanafanya haya kwa sababu kuu mbili;
Kwanza wanapima upepo wa yale yanayoendelea katika mchakato wa kutafuta mgombea wa Urais kupitia CCM. Ili wajue wanapambana na nani na nani anaweza kufaa kupambanishwa na mteule wa CCM.
Pili, wanaangalia hatma ya mgombea fulani kupitia CCM kama atapitishwa ama la. Kama mgombea huyo akikosa nafasi kupitia CCM basi wamshawishi kugombea kupitia UKAWA kwani UKAWA wanaamini kua mgombea huyo anakubalika na wengi hata wale wasio CCM lakini kutokana na mwenendo wa swala zima la uteuzi kuna viashiria ambavyo havimpi nafasi mgombea huyo, hivyo kuipa UKAWA kete ya kumshawishi mgombea huyo kugombea kupitia tiketi ya UKAWA kama akikosa nafasi kugombea kupitia chama chake cha CCM.
Sidhani kama kuna sababu nyingine tofauti na hizo ambazo zinaifanya UKAWA kutoteua safu yake ya uongozi katika uchaguzi wa oktoba ukizingatia kwamba wananchi wanayo haki ya kujua mgombea mapema ili kumtathmini kabla ya kupiga kura.
hata ACT-CCMUkawa hawajiamini na Sera pia hawana zaidi ya kelele
Muda unaenda na naona ukawa hawajiamini maana Muda unaenda wanawategea CCM huko ni kutojiamini kwao na pia kila mtu anataka hiyo nafasi ale Maisha Mazur let's wait
Ukawa hawajiamini na Sera pia hawana zaidi ya kelele
Muda unaenda na naona ukawa hawajiamini maana Muda unaenda wanawategea CCM huko ni kutojiamini kwao na pia kila mtu anataka hiyo nafasi ale Maisha Mazur let's wait
Muda unaenda na naona ukawa hawajiamini maana Muda unaenda wanawategea CCM huko ni kutojiamini kwao na pia kila mtu anataka hiyo nafasi ale Maisha Mazur let's wait
Kuna tetesi zimetolewa na mwenyekiti wa UPDP kwamba UKAWA awatosimamisha kiongozi mmoja wa urais ndio mana kila chama kwa sasa kinafanya operation zake kivyake[/QUOTE
Kwani huyo Mwenyekiti wa UPDP ndiye msemaji wa UKAWA? Kwanza huyo hata Uenyekiti wa serikali za mitaa hawezi kupita hata akigombea