Kwanini UKAWA hawatangazi mgombea wa URAIS mapema?

Kuna msemo unaosema Dalili ya mvua ni Mawingu .

Mm niite Knockout tu kwa vyama Vyama Upinzani nchi Hususani CHADEMA , kwani pia siaamini sana katika ule muungano wao UKAWA .
Tukiwa tumebakiza mda mchache mno kuelekea uchaguzi mkuu wa Urasi mpaka sasa sijasikia Dalili yeyote ya nani ataipeperusha Bendera ya CDM kwnye kinyang'anyiro hicho . Tafsiri yake ni kuwa mmekubali kupigwa chini mapema .

Naami wapiga kura Kumtambua atayekuja kugombani katika hatua za mapema ,kuna wapa fursa ya kuwapima .

Sasa iwehe mpaka sasa Hakuna Dalili zozote za nani anayekuja Kugombania ,hili pambano mnaonekana kabisaa mmepigwa KNOCKOUT .
Na uchaguzi huwenda ukakosa Upinzani Kuliko waty wengi walivyotarajia .

Au tuseme ndio mmeamua Kumsupport Edward Lowassa .

Wanachama wenu tunapata wasiwasi sasa .

Amkeni Mmelala..mda umeisha .

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)
Hakuna mwana chadema anayeandikia habari zake kwenye vibuyu vya Lumumba
 
ukawa ni wa kuogopwa kama ukoma mimi binafsi nawaona ukawa ni genge la vijana wasio na ajira,kwa kutopenda kuajiriwa badala yake wanatumia siasa kupata maslahi yao
 
Ukawa mimi nawaona ni genge la wahuni tu amabao hawajitambui wanafanya nini lengo lao ni kufanya fujo ili wapate kupora na kuiba.
 
hatuwezi kuwa nchi watu wasiojielewa kina sugu,msigwa,wenje,lema,mbowe nchi inahitaji watu wenye busara za hali ya juu sio wahuni.
 
Taasisi ya urais ni yakuheshimika sana ila mkuu wa kaya ameidharaulisha sana, haijawahi tokea watu zaidi ya kumi was chama tawala kuitaka hiyo nafasi, mbona jk ameweza kumbe hats Mimi naweza.
 
Nimemuuliza anaposema ni mpango wa Mungu anamaanisha Mungu kwa waumini wa dini gani? Maana kila dini wana namna ambavyo wao wanamtambua Mungu wao.

Baniani mungu wao ni Jua, wahindu mungu wao ni ng'ombe cjui mungu gani sasa?
 
Kuna msemo unaosema Dalili ya mvua ni Mawingu .

Mm niite Knockout tu kwa vyama Vyama Upinzani nchi Hususani CHADEMA , kwani pia siaamini sana katika ule muungano wao UKAWA .
Tukiwa tumebakiza mda mchache mno kuelekea uchaguzi mkuu wa Urasi mpaka sasa sijasikia Dalili yeyote ya nani ataipeperusha Bendera ya CDM kwnye kinyang'anyiro hicho . Tafsiri yake ni kuwa mmekubali kupigwa chini mapema .

Naami wapiga kura Kumtambua atayekuja kugombani katika hatua za mapema ,kuna wapa fursa ya kuwapima .

Sasa iwehe mpaka sasa Hakuna Dalili zozote za nani anayekuja Kugombania ,hili pambano mnaonekana kabisaa mmepigwa KNOCKOUT .
Na uchaguzi huwenda ukakosa Upinzani Kuliko waty wengi walivyotarajia .

Au tuseme ndio mmeamua Kumsupport Edward Lowassa .

Wanachama wenu tunapata wasiwasi sasa .

Amkeni Mmelala..mda umeisha .

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)

Wewe ni ndugu yake bunuasi,hivi unafikiri cdm ni chama cha wezi na majambazi?cdm ni tunu toka kwa mungu hivyo kila kitu kinaenda kwa muda.
 
Acha kupanic.
Kumbuka kutangulia si kufika.
 
Kwani CCM wamemtangaza? Mbona haeleweki!! Amesema knockout halafu anasema mimi mwanachama hai wa CDM, sijamuelewa. CDM wabafuatilia mchakato wa uandikidhaji daftari la wapiga kura na upigwaji wa kura ya maoni.
We mgeni humu? Mleta mada ni gamba la nyoka mwenye kengeza na ndio maana watu wengi wamempuuza kujifanya CDM
 
Kuna msemo unaosema Dalili ya mvua ni Mawingu .

Mm niite Knockout tu kwa vyama Vyama Upinzani nchi Hususani CHADEMA , kwani pia siaamini sana katika ule muungano wao UKAWA .
Tukiwa tumebakiza mda mchache mno kuelekea uchaguzi mkuu wa Urasi mpaka sasa sijasikia Dalili yeyote ya nani ataipeperusha Bendera ya CDM kwnye kinyang'anyiro hicho . Tafsiri yake ni kuwa mmekubali kupigwa chini mapema .

Naami wapiga kura Kumtambua atayekuja kugombani katika hatua za mapema ,kuna wapa fursa ya kuwapima .

Sasa iwehe mpaka sasa Hakuna Dalili zozote za nani anayekuja Kugombania ,hili pambano mnaonekana kabisaa mmepigwa KNOCKOUT .
Na uchaguzi huwenda ukakosa Upinzani Kuliko waty wengi walivyotarajia .

Au tuseme ndio mmeamua Kumsupport Edward Lowassa .

Wanachama wenu tunapata wasiwasi sasa .

Amkeni Mmelala..mda umeisha .

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)

Nyie huko ikulu si mmepafanya pango la wanyang'anyi, so kila mtu wenu anataka kukimbilia huko.
Kwa Ukawa ikulu ni sehemu takatifu
 
Kwani 2010 ilikuwaje? Si Dr. Slaa aliinigia mwishoni kabisa na akampa J.K kashkash.
 
Kuna msemo unaosema Dalili ya mvua ni Mawingu .

Mm niite Knockout tu kwa vyama Vyama Upinzani nchi Hususani CHADEMA , kwani pia siaamini sana katika ule muungano wao UKAWA .
Tukiwa tumebakiza mda mchache mno kuelekea uchaguzi mkuu wa Urasi mpaka sasa sijasikia Dalili yeyote ya nani ataipeperusha Bendera ya CDM kwnye kinyang'anyiro hicho . Tafsiri yake ni kuwa mmekubali kupigwa chini mapema .

Naami wapiga kura Kumtambua atayekuja kugombani katika hatua za mapema ,kuna wapa fursa ya kuwapima .

Sasa iwehe mpaka sasa Hakuna Dalili zozote za nani anayekuja Kugombania ,hili pambano mnaonekana kabisaa mmepigwa KNOCKOUT .
Na uchaguzi huwenda ukakosa Upinzani Kuliko waty wengi walivyotarajia .

Au tuseme ndio mmeamua Kumsupport Edward Lowassa .

Wanachama wenu tunapata wasiwasi sasa .

Amkeni Mmelala..mda umeisha .

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)
Haraka haraka haina mbaraka, mna kiwewe na CHADEMA kwa sababu mnasubiri kuona mbaya wenu aliyewasurubu 2010 kama ataingia ulingoni tena mwaka huu,muanze maushirikina yenu kama mlivyofanya mwaka huo kule Mwanza.
Ninyi subirini kibondo kikali saba octoba CCM mtapigwa nockout raundi ya kwanza sekunde ya tano, nakupongeza kwa kubashiri yatakayowakuta
 
hatuwezi kuwa nchi watu wasiojielewa kina sugu,msigwa,wenje,lema,mbowe nchi inahitaji watu wenye busara za hali ya juu sio wahuni.

Hao unaowa dharau ndio wamemfanya JK keshabadili mawaziri zaidi ya 60 tangu aingie madarakani. Hao hao wahuni kama unavyowaita wamesababisha Maprofesa wenu kibao waaibike na kuufyata na mpaka leo hata kutoka ndani hawatoki wanachungulia madirishani.
Kiufupi ni kuwa kwa kiasi kikubwa watawala wameshika adabu sasa kuliko wakati mwingine wowote, na wanaonyesha unyenyekevu kwa Wabunge hao muwaitao wahuni mkiwa nyuma ya keyboard zenu. Poleni sana kwa kujiveka upofu na kutoona ni nini kinaendelea hapa nchini.
 
Kuna msemo unaosema Dalili ya mvua ni Mawingu .

Mm niite Knockout tu kwa vyama Vyama Upinzani nchi Hususani CHADEMA , kwani pia siaamini sana katika ule muungano wao UKAWA .
Tukiwa tumebakiza mda mchache mno kuelekea uchaguzi mkuu wa Urasi mpaka sasa sijasikia Dalili yeyote ya nani ataipeperusha Bendera ya CDM kwnye kinyang'anyiro hicho . Tafsiri yake ni kuwa mmekubali kupigwa chini mapema .

Naami wapiga kura Kumtambua atayekuja kugombani katika hatua za mapema ,kuna wapa fursa ya kuwapima .

Sasa iwehe mpaka sasa Hakuna Dalili zozote za nani anayekuja Kugombania ,hili pambano mnaonekana kabisaa mmepigwa KNOCKOUT .
Na uchaguzi huwenda ukakosa Upinzani Kuliko waty wengi walivyotarajia .

Au tuseme ndio mmeamua Kumsupport Edward Lowassa .

Wanachama wenu tunapata wasiwasi sasa .

Amkeni Mmelala..mda umeisha .

Na Declare Interest.....mm ni Mwanachama Hai Wa CHADEMA.( Tukubali kukosoana)

hizi bangi, ww uafahamu mipango inayoendelea na nani na muda wa kutoa taarifa???
 
Kwani CCM wamemtangaza? Mbona haeleweki!! Amesema knockout halafu anasema mimi mwanachama hai wa CDM, sijamuelewa. CDM wabafuatilia mchakato wa uandikidhaji daftari la wapiga kura na upigwaji wa kura ya maoni.

Hakuna Mahali nimesema neno "Wamtangaze " wala sijasema CCM wametangaza ..soma tena maelezo yangu. ..

Nilichouliza hapo ni dalili za nani kua mgombea .
 
Back
Top Bottom