Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

Kuuliza si ujinga:Kwa nini Quran inazungumzia watumwa/utumwa ndani ya jamii kwamba ulikuwepo/walikuwepo?Ukiwa muislam,unautafsiri vipi utumwa?Je,watumwa nao wanaruhusiwa kujinasibisha na kuiona Quran ni yao?
Hakuna dini imeheshima watumwa na kufanya harakati za kuukomboa utumwa kama Uislamu na Qu'ran imewahurumia sana watumwa nenda upande wa pili Bible verses kuhusu utumwa na watumwa utasikitika na kushika kichwa.

Utumwa ni tamaduni ambayo ilikuwepo toka zamani na ilikuwa imeenea na kawaida karibia pande zote Duniani . Watu kabla ya Uislamu Uarabuni watumwa walikuwa wanachukuliwa kama Wanyama hawana nafasi yeyote kwenye Jamii na anayemmiliki anaweza kumuamrusha na kufanya chochote bila Kuzingatia utu na mipaka yake.

Qur'an na Uislamu ukaja kuweka mambo mbalimbali na kuondoa Sheria kandamizi kuhusu watumwa mfano kufanyishwa biashara ya ukahaba
 
Kwaiyo unapinga hadi Qur'an ilivyofundisha kuwa anayejitoa mhanga atakuta mabikra 72 na pombe tamu peponi
Unapinga kuwa al Qaeda ya Osam sio ya waislam, Al shababu na Boko Haram
Hao al shababu waliuwa wasiokuwa waislam huko Garisa Kenya zaidi ya 150
Duh ! Wagalatia shida sana yaani Uislamu unajifunzia Jf !

Ukiweka aya ya Qu'ran specificly and explicitly inayosema yeyote anayejitoa muhanga anapata bikra 72 na pombe peponi .

Wanaweza kuwa Waislamu ambao wameasi dini yao na mafundisho yao
 
Nakupuuza
 
Quran 55 : 56
"Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini."

Quran imetuahidi tutakutana na mabikra peponi
Sasa kosa liko wapi unataka peponi uwe shoga ?

Mtu akifanya kazi si halali yake kupewa ujira na peponi ni sehemu ya maisha ya milele na starehe sasa Kuna starehe gani nzuri na muhimu kwa Wanaume zaidi ya Wanawake ?
 
Shida ni jinsi mnavyo lazimisha kila mtu awe mwislamu:
Wanawashinda hata Wahadzabe:
Wanaoishi kwa Amani na Mila zao:
Mwarabu wazamani kawashikia akili zote:
Wakristo hawajawahi kulazimusha watu wawe Wakristo ukipitia historia ?
 
Eti
Anayetaka Dini isiyokuwa ya kiislamu haitakubalika kwake:

Utasikia
Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake:

Kinajifagilia balaa:
Na Amri ilitolewa:
"Whoever leave the Religion Kill him:"

Dini isiyokuwa na shaka inatumiaje ulaghai na vitisho:
Hata Yesu wa kwenye Bible alitumia lugha Kali pia
 
Sasa kosa liko wapi unataka peponi uwe shoga ?

Mtu akifanya kazi si halali yake kupewa ujira na peponi ni sehemu ya maisha ya milele na starehe sasa Kuna starehe gani nzuri na muhimu kwa Wanaume zaidi ya Wanawake ?

Leo mmeamka upande mzur sana 😁😁😁😁.

Kweli kutomba/kutombwa ni starehe kubwa sana kwa mwanaume/mwanamke na uislam unavutia wengi sana kwasababu ya hii kuwepo kwa pepo ya kutombana.

Kutakuwa na kuzaliana?.
(Nadhan hakuna maana wanawake watakuwa hawana hedhi-quran)

Pepo ya Allah itakuwa kama Channel ya X videos.

Alaf unaruhusiwa kutomba wanawake tofauti tofaut adriz .
Its obvious kule hakuna uasherati. Allah atakuwa anaruhusu. Yeye kaz yake ni kuangalia mauno ya viumbe aliowaumba.
 
Na wewe pia hauna jibu?

Rudi kasome tena vizur hoja yangu.

Nying mmesema uislam kuna usawa.
Na mm nimeonyesha hakuna usawa.

Jibu langu ni kuwa hakuna usawa.

Wanawake watu wazima wanaruhusiwa kupigwa.
 
Hoja ni kuwa Dini unayosema ina usawa kwa watu wote, inaruhusije Kupiga wanawake?. Tena watu wazima.
Kwanza Asante kwa kushiriki kwa hekima na busara kwani kuna wengine wanachojua ni kutukana na matusi tu

Usawa upo kwa watu wote kwa maana watu wote wanastahiiki kupata haki zao,kuheshimiwa na yote yale ambayo hayatwezi utu wa mwanadamu

Uislamu unasimamia maadili,heshima na mambo yote ya kijamii, mke kama sehemu ya jamii ana haki zake kama ambavyo mume nae ana haki Zake

Moja ya wajibu wa mke ni kumtii na kumuheshimu mume wake ambaye ndie kiongozi wa familia,kwahiyo mke anapokosa hayo mambo basi atawajibika kurekebishwa ili arudi kwenye mstari

Lakini kabla ya kufikia hatua ya kupigwa kipigo hafifu ambacho kina masharti yake,hapana ruhusa kumpiga mke usoni,na kipigo kisiwe na madhara

Kuna hatua kadhaa hufuatwa kwanza kama hatua za kumuwajibisha mke

Katika Uislamu, kumuajibisha mke si suala la mabavu bali ni safari ya hekima, subira na haki. Ndoa ni kama jahazi lenye makasia mawili.

Likivutwa kwa nguvu upande mmoja, mwelekeo hupotea. Hizi ndizo hatua za kumuajibisha mke katika Uislamu kama zilivyowekwa kwa mizani ya Qur’an na Sunnah:

1. Nasaha kwa hekima na upole
Hatua ya kwanza kabisa ni kumnasihi mkeo kwa maneno mazuri, kwa faragha, bila dharau wala fedheha. Lengo ni kurekebisha, si kushinda mabishano.
“Na waambieni maneno yenye kufaa.” (Qur’an 4:63)
Nasaha iwe kama mvua laini, si radi.

2. Kumkumbusha wajibu wa dini
Mume anamkumbusha mke wake kuhusu haki za Mwenyezi Mungu na haki za ndoa. Hapa hutumika Qur’an, Hadith na mfano mwema wa Mtume ﷺ, si vitisho wala matusi.

3. Kujitenga kitandani
Iwapo nasaha hazikufua dafu, Uislamu umeruhusu kujizuia kushiriki kitanda kimoja kwa muda. Hii ni ishara ya uzito wa kosa, si adhabu ya kudhalilisha.

“Na waacheni vitandani.” (Qur’an 4:34)
Hii iwe kwa muda na kwa nia ya kurekebisha, si kulipiza kisasi.

4. Hatua ya mwisho kabisa: adhabu nyepesi isiyo ya kuumiza
Ikiwa hatua zote zimefeli, Qur’an imetaja adhabu nyepesi sana, isiyo ya kuumiza, isiyo ya kuacha alama, na isiyo ya kudhalilisha. Wanazuoni wengi wa leo wamesisitiza kuwa katika mazingira ya sasa, ni bora kabisa kuiacha hatua hii kwa sababu madhara yake huzidi faida.
Mtume ﷺ amesema:
“Mbora wenu ni yule aliye bora kwa wake zake.”
Na hakuwahi kumpiga mke wake hata mara moja.

5. Kuhusisha watu wa hekima
Kabla mambo hayajavunjika, Uislamu unapendekeza waamuzi kutoka pande zote mbili za familia ili kusuluhisha.
“Mkitaka suluhu, Mwenyezi Mungu atawapatia maafikiano.” (Qur’an 4:35)

6. Talaka kama suluhisho la mwisho
Ikiwa hakuna tena amani, heshima wala maelewano, talaka ni ruhusa ya mwisho, si chaguo la kwanza. Ni tiba kali pale maradhi yamekataa dawa zote.
 
Rudi kasome tena vizur hoja yangu.

Nying mmesema uislam kuna usawa.
Na mm nimeonyesha hakuna usawa.

Jibu langu ni kuwa hakuna usawa.

Wanawake watu wazima wanaruhusiwa kupigwa.
Na wanawake pia wameambiwa wakae kimya kanisani kwenye Biblia hivyo kwenye Ukristo hakuna usawa
 
Leo mmeamka upande mzur sana 😁😁😁😁.

Kweli kutomba/kutombwa ni starehe kubwa sana kwa mwanaume/mwanamke na uislam unavutia wengi sana kwasababu ya hii kuwepo kwa pepo ya kutombana.

Kutakuwa na kuzaliana?.
(Nadhan hakuna maana wanawake watakuwa hawana hedhi-quran)

Pepo ya Allah itakuwa kama Channel ya X videos.
Tatizo lile Wagalatia are swayed easily ndio maana matapeli wengi wapigaji wanawatumia . Hamsomi wala kujiongeza kwa makini .

Wamevutwa na propaganda , Kuna Aya kibao na na hadith zinazozungumza kuhusu maisha ya peponi sasa watu wamechukua swala la starehe ya Wanawake na kufanya ndio starehe nzima na kitu pekee peponi yaani peponi hakuna kazi na maisha mengine isipokuwa minyukano tu kati ya wenza . Na mkafanya hiyo kuwa ajenda yenu kuu ya kuukejeli Uislamu.

Hapa Duniani Wanawake si wapo je , mtu hana maisha mengine unakaa ndani tu unadinya ? enyi Wagalatia kwa nini mvalie njuga swala la Wanawake kana kwamba Waislamu pekee ndio wenye matamanio huku Duniani nyinyi hamdinyani na hampendi hayo mambo ?

Kwa taarifa tu peponi summary mtu anapata chochote anachokitamani katika ubora ambao hauwezi kufirika katika majumba ya maghorofa , vinywaji , vyakula , mito , bustani nk.

Tena hadi watu watakuwa wanatembeleana na kukutana kupiga stori .

Wagalatia mmekomalia swala la Wanawake wa peponi na kutuzulia kuwa pepo yetu ya ngono tu bila ya Elimu kuhusu pepo , starehe zake na maisha yake kwa ujumla.
 
Unaandika hivi kwa kuwa ni muislam? Kama kuna dini mbovu duniani basi ni uislam. Nani anataka upuuzi huo? Cheki iran na saudia wanavyozidi kuachana na upuuzi huo! Halafu wewe mwafrika mweusi tii unang'ang'ania upuuzi huo wakati si asili yako. Ule ni utamaduni wa kigeni ulioletwa na waarabu wa oman
 
Na wanawake pia wameambiwa wakae kimya kanisani kwenye Biblia hivyo kwenye Ukristo hakuna usawa

Hii iwe hoja ya pili.

Ya kwanza Biblia haijasema tuwapige wanawake Quran imesema.

Ya pili kukaa Kimya iko kote kote kwenye Biblia na Quran.

Na kwa vipind ving huko nyuma wanawake wamepewa nafas za kuongea katika madhabahu ya dini ya Kikristo.
Waislam je? Mmewapa huo usawa Wanawake?.
Wanawake wana nafas gan katika kuhubiri dini ya Kiislamu?.
 
Wanawake wanafundisha Ukristo kwa mamlaka ya nani wakati kwenye Biblia wamekatazwa kufundisha?
 
Unaandika hivi kwa kuwa ni muislam? Kama kuna dini mbovu duniani basi ni uislam. Nani anataka upuuzi huo? Cheki iran na saudia wanavyozidi kuachana na upuuzi huo! Halafu wewe mwafrika mweusi tii unang'ang'ania upuuzi huo wakati si asili yako. Ule ni utamaduni wa kigeni ulioletwa na waarabu wa oman
Kwanza pole sana kwa kupata wrong information,nakushauri uwe unafanya Tafiti kwanza kabla ya Kuja hapa jukwaani na kuchapisha comment,itakusaidia kuepuka aibu ndogo ndogo next time

Kwanza kuna uislamu na kutawaliwa chini ya sheria za kiislamu,,fahamu hili kwanza

Iran sio kwamba hawataki Uislamu ila hawataki kutawaliwa chini ya sheria za kiislamu,kwani wengi wao umagharibi umewaingia sana na wanataka kuwa huru kuishi kama wanyama bila kusimamiwa na misingi yoyote ile

Naona umepata majibu sasa,think big before you post
 
Back
Top Bottom