Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

Mkuu ungeweka wewe hizo facts ili tuone uhalali wa ulicho mkosoa nacho,otherwise kaa kimya..
Vitu vingine sina hata haja ya kupoteza muda wangu kujielezea. Cha msingi kapata ujumbe.
 
-- NIJUAVYO MIMI TANSANIA HATUNA ADUI AU RAFIKI AMBAYE TUNAWEZA KUJIFUNGA NAE,HAWA WOTE NI NDUGU ZETU LAITI TUNGELIKUWA TUME-BASE SANA KWA KAGAME INAMAANISHA TUNGEAMURU MAJESHI YETU YAREJEE TZ,DHANA ILIOPO NI YA HOVYO.
 
View attachment 397504View attachment 397505

Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!

Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+

Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.

Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!

Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!

Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?

Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?

Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?

Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!

Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!

Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?

we unafikiri hiyo reli inajengwa angani hadi rwanda! kuna mizigo ya mwanza, shinyanga, kagera, kahama, simiyu, geita, mara, tabora, kigoma, nk nayo itapita humohumo. population ya kanda ya ziwa tu ni sababu tosha ya kujenga hiyo reli
 
Kwahiyo unakubaliana naye kwamba Population ya Rwanda ni milioni mbili? Na wewe inaonyesha haupo makini..
jikite kwenye hoja. hoja iko wazi. rwanda inawatu takriban mil 12 na kongo takriban mil 84. haya rudi kwenye hoja ya msingi. muambieni magufuli kuwa tunapoteza wateja mil 84 kwa ajili ya watenja mil 12 tu. Kikwete aliona mbali. sio mbaya akafuata nyao za mtangulizi wake maana haongozi hii nchi kwa ajili ya manufaa yake bali ya taifa.
 
Hii analysis sijaielewa na kwanza kwa kuonyesha tu mtoa mada ni mtu asiye makini angalia hiyo population ya Rwanda. Ameshindwa hata kwenda Google kujiridhisha. Hapo tayari una question uwezo wake wa kujenga hoja vizuriii....
Dont be so cheap...anachokisema kinaukweli au lah??maana tatizo letu sisi ni hilo tunakwepa ukwel kwa kosa dogo tu we hata km population ingekuwa sawa but still kujengwa kwa hiyo reli kwenda huko kuna tija gani??
 
Mtoa Mada amekuwa na umakini hasa katika kuonyesha "content" ya kile alichokusudia, Dhamira imeeleweka Sana, na yupo Kizalendo,
 
jikite kwenye hoja. hoja iko wazi. rwanda inawatu takriban mil 12 na kongo takriban mil 84. haya rudi kwenye hoja ya msingi. muambieni magufuli kuwa tunapoteza wateja mil 84 kwa ajili ya watenja mil 12 tu. Kikwete aliona mbali. sio mbaya akafuata nyao za mtangulizi wake maana haongozi hii nchi kwa ajili ya manufaa yake bali ya taifa.
siyo congo yote inatumia bandari ya dar,ni congo mashariki,hoja ya population ya congo haipo
 
Turudi kwenye hoja....Tupunguze hisia na tusupport hoja zetu kwa namba za kueleweka...Bado uchambuzi unahitaji expansion..Pia kuna unsupported claim kwamba tumeidump Congo. Je unaweza ku prove hili? Congo is part of EAC. na kwenye EAC members wameanza initative ndogo ndogo kwa wale walio tayari. Je hii inamaanisha kwamba kwa kujenga reli na Rwanda tunawatupa Congo? Unaweza ku support hii claim kwe more detailed analysis maana ndo implication ya muanzisha thread..
wewe ni bonge la ndezi, nani alikuambia DRC ipo EAC???
 
View attachment 397504View attachment 397505

Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!

Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+

Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.

Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!

Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!

Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?

Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?

Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?

Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!

Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!

Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?
Standard gauge itaishia kigoma pia, halafu pale kuna meli za burundi na congo kupitia lake tanganyika
 
Hii plan ya reli ya kwenda Rwanda ni ya miaka mingi sana na upembuzi yakinifu ulifanyika siku nyingi kabla ya Magu, alafu kuwa na urafiki na Rwanda haimaanishi usiwe rafki na nchi zingine, Plan ni kupeleka reli mpaka huko DRC.
Umeandika kishabiki sana.
 
Soko linaachwa vipi? Chukua muda kidogo uangalie ramani. Kuna njia nne kwenda DRC kutokea Dar

1)SGR itakayojengwa - branch ya Rwanda - DRC
2)SGR itakayojengwa - branch ya Burundi - DRC
3)SGR itakayojemngwa - Kigoma-Ziwani-KalemieDRC
4)Tazara - Zambia pandisha copperbeltDRC

Wanaachwa wapi?
Mtu anakurupuka tu anakuja kuanzisha uzi bila hata kautafiti, alafu anadhani hii reli ni wazo la Kagame, Hii plan ya Reli imekuwepo kwa muda mrefu pengine hata kabla ya JK tatizo ilikuwa utekelezaji tu.
 
Mleta mada amejibiwa vizuri kwamba mpango huu ulikuwepo muda mrefu na upembuzi yakinifu ulifanyika kabla ya Magu, Pili mtandao wa reli utazifikia DRC na Burundi pia lakini hajarizika yeye kwa maoni yake Reli ya Rwanda isiwepo kabisa, nadhani ameingiza hisia na chuki zake kwenye issue hii na watu wengi bila kujua wamemfuata.
 
ni kweli atakuwa amekosea kwenye population lakini ana hoja kwanin tuache soko la watu karibia milion 80 la congo na tukae karibu na watu 10m wa rwanda
Wapi wamesema tumeacha soko la Congo? mbona matanzania mnakuwa majinga hivi sometimes? Is it necessary to criticise mda wote? Umeona hiyo reli ina terminate wapi? Soko la Congo, Rwanda, Burundi, Uganda ndio target ya reli, ndio maana reli inaenda mpaka kigoma ambapo kuna ziwa tanganyika, from there Mizigo itabebwa na meli mpaka DRC, or inaweza bebwa na maroli, sasa unaposema Congo haikuangaliwa una una maanisha nini? as far as know hii reli itasaidia kupitisha mizigo hadi ya South Sudan kupitia Uganda. Jifunzeni kwanza sio kukurupuka tu.
 
Mtu anakurupuka tu anakuja kuanzisha uzi bila hata kautafiti, alafu anadhani hii reli ni wazo la Kagame, Hii plan ya Reli imekuwepo kwa muda mrefu pengine hata kabla ya JK tatizo ilikuwa utekelezaji tu.
Wewe ndiye umekurupuka
 
Kwahiyo unakubaliana naye kwamba Population ya Rwanda ni milioni mbili? Na wewe inaonyesha haupo makini..
1473577374073.png
kasema 10million + sidhani kama amekosea
 
Kwa hiyo kwa kufanya biashara na Rwanda maana yake tunajitenga na Congo? Nilijua kwamba kwamba hizi nchi zote zipo kwenye jumuia ya EAC na lengo ni wote baadaye tuje kufanya biashara pamoja.. Lakini kinachotokea sasa hivi wale members wa hii block walio tayari wanaunganisha nguvu wakati members wengine wanajipanga. Congo ataendelea kuwa mshirika wetu na pia tungependa na wengine wawe washirika wetu. Haya mambo ya kuzodoana zodoana na kutoaminiana ndo yanarudisha nyuma Africa. Congo bado haipo vizuri kimiundo mbinu kwa hiyo ni bora kuanza kushirikiana na wale walio tayari. Congo ni future potential ally bado ni sleeping giant..
Resources za Congo ni nyingi kuliko Rwanda labda ndo alichotaka kumaanisha kufanya trade na Congo is way more strategic kuliko Rwanda.
 
Mleta mada amejibiwa vizuri kwamba mpango huu ulikuwepo muda mrefu na upembuzi yakinifu ulifanyika kabla ya Magu, Pili mtandao wa reli utazifikia DRC na Burundi pia lakini hajarizika yeye kwa maoni yake Reli ya Rwanda isiwepo kabisa, nadhani ameingiza hisia na chuki zake kwenye issue hii na watu wengi bila kujua wamemfuata.
Sijaingiza chuki Mimi wasisi wangu ni kuonekana kuibeba Rwanda kuliko nchi zingine katika hiyo reli na jambo ilo litawafanya Congo wachukie Kwa sababu serikali ya Rwanda nlinafadhiri waasi walioko nchini Congo wakati Congo inapambana na hao waasi
 
Back
Top Bottom