Tutaona mengi zaidi!!Hapo ndipo tulipokosea mahesabu. Wenzetu wamagharibi hutengeneza uhusiano kwa kuangalia maslahi. Lakini sisi tunatupa dhahabu ili kuokota chuma. Haa ni maajabu.
Kuna tatizo mahari na inasemekana waliokuwa wameteka madereva wetu ni waasi wenya asili ya Rwanda uko nchini Congosure hio kitu hata me naiwaza
Ushauri unaweza kupokelewa au kukataliwaKwan rais wetu hana washauri? Wamemshauri hivyo kwa maslahi ya nchi yetu.
ExactlyBaadae tutajua umuhimu wa congo lkn c mbaya kama wote wakawa marafiki zetu