Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

mim nimesema wamehamia kwingine mbona wew husemi sababu ni nin ya mizigo kupungua? unabaki na ngonjera tu
Mimi sijaclaim sababu sina data. Wewe ndo unajidai uhakika unao.. Sasa kama una uhakika mbona huleti evindence zaidi ya maneo maneno? hii ni debate sio ngonjera.. You have unsupported claim. Mimi kuomba evidence ya hiyo claim yako ndo imekuwa ngonjera? Kwa hiyo unalazimisha niamini unachoamini hata kama hakiwi supported na ushahidi. Nimekubali mizigo imepungua lakini sija claim chochcote maana kuna many factors na zinahitaji utafiti. Ila mwenzangu tayari unayo majibu. Sasa kama unayo majibu kwanini usitonyeshe hizi factor ili wajinga sisi tupate kufungukaaa badala ya blah blah na kuleta hisia...
 
Labda nikuulize tu swali dogo sana hivi kwa mfano kusingekuwepo hiyo nchi ya Congo inamaana Tanzania ingekuwa masikini na isinge songa mbele kimaendeleo? Yaani " Jitu " kabisa kama Wewe unakuja humu kulia lia kwa Rasilimali za nchi za Wenzako wakati Wewe hapa hata tu nusu ya Rasilimali zako ambazo pengine kama ungezitumia vyema na kuwa na usimamizi nazo mzuri leo hii Tanzania ingeshindana na South Africa, Egypt na hata nchi baadhi za huko Ulaya na Wewe kuondokana na kumpa lawama Rais wangu mpendwa Paul Kagame wa nchi yangu ya maziwa na asali ya Rwanda.

Huwa sipendi kuwadharau baadhi yenu humu lakini kwa aina hii ya uwezo wenu mdogo sana wa kufikiri mliona hakika sitoacha kuwadharau na mtanisamehe kwa hili tafadhali. Najua argument yako juu ya hili ni too geographical than strategical. Umeona kuwa pengine Tanzania ingefaidika sana na Congo ya Kabila kwakuwa tu nchi yenyewe ni kubwa na ina Watu wengi lakini ukasahau kwamba inawezekana hawa Rwanda wakawa wadogo Kijiografia na kiidadi ya Watu lakini kimkakati wakawa na faida kubwa sana Kibiashara na Tanzania hata kuliko hao Congo.

Siku nyingine ukija humu na Mada zako jitahidi kwanza kufanya utafiti ili ueleweke vizuri na Watu ambao Mwenyezi Mungu alitubariki upeo mkubwa na akili nyingi tokea tukiwa hatujazaliwa. Kwa kukusaidia tu na nakuomba nenda pale Bandarini au maeneo mengi ambapo kuna Wafanyabiashara wa kutoka Congo ndipo utajua kuwa hawa Watu ni " mikosi ". Wakongo naturally ni Matapeli na Wasanii sana na hupenda mno " kitonga " a.k.a dezo dezo katika mambo yao mengi na hili halina ubishi kwamba katika Wafanyabiashara ambao waliichafua Bandari yetu ya Dar ni hawa wa Congo kutokana na Utapeli na Ujanja Ujanja waliokuwa wakiufanya hadi Mkombozi wetu Rais Dkt. Magufuli alipokuja na kuwadhibiti.

Rwanda inaweza kuwa ndogo na ukaidharau lakini kwa kukusadia tu na hili hata Watu wa TRA watakusaidia ni kwamba hakuna Wafanyabiashara ambao ni wakweli na wana nidhamu ya Kibiashara kama wa kutoka nchini kwetu Rwanda na labda badala ya kutudharau na kutudhihaki hivi kupitia Rais wetu Paul Kagame nadhani ungetuomba radhi na kutushukuru kwani Wanyarwanda hawajawahi kukwepa kulipa Kodi yoyote ile stahili katika Biashara zao wanazozifanya au kuzipitisha hapa Tanzania.

Hivi ni lini mtaishukuru Rwanda nyie? Rwanda tumewakosea nini? Mbona Mataifa mengine yanayowatieni Umasikini na bado mnayakumbatia tu hamuyasemi? Kuna chochote mnatudai Rwanda ili kama vipi tuwaombe Mkopo Wordl Bank na IFM ili tuwalipeni? Hivi ni kweli hakuna jema ambalo Rwanda tunalo na nyie Watanzania mnaweza kuliiga ili nanyi pia liwasaidieni? Rais Dkt. Magufuli kuonekana kumkubali Rais wetu Kagame ni dhambi? Nyie ni nani kumpangia Rais achague Marafiki? Mbona huyo " aliyestaafu " aliwakumbatia INTARAHAMWE na kuwa na ushikaji wa kupitiliza na Nkuruzinza lakini mlikuwa kimya hata pale tu nchi kubwa za Ulaya na Marekani zilipokuwa zinaishutumu Burundi na huyo Rais wake?

Please give us a break and mind your own business.
wamerican na ulaya wote wanakimbilia kufanya biashara na china lakini moja ya factor kubwa ni population ya china ni soko tosha, sasa unataka kutuamisha kwamba rwanda kwetu kiabiashara yaweza kuwa bora kuliko kongo huo ni uongo ila hatukatai kwamba hata rwanda na burundi mnamchango mkubwa kibiashara kwetu
 
Mimi sijaclaim sababu sina data. Wewe ndo unajidai uhakika unao.. Sasa kama una uhakika mbona huleti evindence zaidi ya maneo maneno? hii ni debate sio ngonjera.. You have unsupported claim. Mimi kuomba evidence ya hiyo claim yako ndo imekuwa ngonjera? Kwa hiyo unalazimisha niamini unachoamini hata kama hakiwi supported na ushahidi. Nimekubali mizigo imepungua lakini sija claim chochcote maana kuna many factors na zinahitaji utafiti. Ila mwenzangu tayari unayo majibu. Sasa kama unayo majibu kwanini usitonyeshe hizi factor ili wajinga sisi tupate kufungukaaa badala ya blah blah na kuleta hisia...
Kwanza nikuulize swali Dogo wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara??
Kama wewe ni mfanyabiashara ulishawai kuagiza mzigo naomba unijibu!!
 
Kuna wafanya biashara wameojiwa Jana na Radio France international
Wafanyabiashara wangapi? Hivi kuna nchi inafanya maamuzi kwa kusikiliza maoni ya redioni? Kama ni hivyo kazi ya kitengo cha NBS ni nini? Kunaweza kukawa na changamoto katika uendeshaji wa bandari ya Dar. Lakini wafanyabiashara wachache kusema kwamba wamehamia Beila sio sababu tosha ya kufanya maamuzi kwa decision makers. Lazima wafanye utafiti kujiridhishaaa..
 
Mi nilifikili tunapojenga reli ya kati kwa sgr wateja wetu wakubwa ni Burundi Rwanda na Dr Congo au?
Mtoa mada kajikita kwenye "proposal" ya ujenzi wa rail sg, kwamba imeelekezwa Rwanda na si DRC!
Wakati hata hii reli ya kizamani husafirisha mizigo DRC via bandari ya Kgm.
 
Wafanyabiashara wangapi? Hivi kuna nchi inafanya maamuzi kwa kusikiliza maoni ya redioni? Kama ni hivyo kazi ya kitengo cha NBS ni nini? Kunaweza kukawa na changamoto katika uendeshaji wa bandari ya Dar. Lakini wafanyabiashara wachache kusema kwamba wamehamia Beila sio sababu tosha ya kufanya maamuzi kwa decision makers. Lazima wafanye utafiti kujiridhishaaa..
We vipi we ni Nani usiyeelewa utafiti umeshafanywa na kamati ya bunge TPA wamekiri mizigo imepungua ,wewe unabisha wakati ujafanya utafiti wafanya biashara wenyewe wanakiri wameama wewe bado unasema utafiti !!

Niko na uhakika you don't know what is business !!
Uko hapa kunisumbua na nyie ndio mnalifanya taifa letu lisiendelee Kwa Unafiki wenu
 
kwa hiyo huna uhakika.. teh tehe teh. Maana umesema wameacha kupitisha Dar. Wamehamia kwingine.. Ingekuwa vyema mtu anayeleta claim kama hii mkuu akawa na stats za kuonyesha ni kiasi gani kimehama.. Tatizo hamna hizi data. Suala la wapi upitishie mzigo lina factors nyingi sana za kiuchumi si sulala la kuamua ghafla ghafla. Kwa hiyo mi nadhani tungekuwa tuna argu kwa stats zaidi. Ukweli namba ndo zinaongea ukweli...Tupunguze hisia na tutumie namba zaidi kujenga hoja zetu mkuuu
Alichosema mtoa mada kinaukweli kabisa, Mimi ninauzoefu na baadhi ya miji ya Msumbiji ukiwepo mji wa Beira, na ni miezi 2 imepita nilikua huko, kwa hakika ukiona msongamano wa malori yenye plate namba za Congo, Zambia, Malawi na Zimbabwe yanayo ingia na kutoka bandari ya Beira basi utakubali kwamba Beira Porto wanafanya the Best kwa sasa si sawa na miaka iliyopita, kutoka na hilo selikari ya msumbiji imeingia katika ujenzi wa utanuzi wa Barbara kutoka Beira mpaka njia panda inayokwenda boda ya Zimbabwe na Malawi/ Zambia takribani 600km. Hivyo makosa yetu yanaweza yakawa faida kwa wenzetu. TUJITAFAKARI.
 
Hii analysis sijaielewa na kwanza kwa kuonyesha tu mtoa mada ni mtu asiye makini angalia hiyo population ya Rwanda. Ameshindwa hata kwenda Google kujiridhisha. Hapo tayari una question uwezo wake wa kujenga hoja vizuriii....
Lakini kuna hoja ya msingi, na wewe unaamini kweli kama kagame anaurafiki wa kweli na sisi wakati tulichangia kuwapiga vijana wake?
 
Hoja ya kumhusisha Rais Kagame na kupungua kwa mizigo ya DRC bandarini Dar haina msingi. Waagizaji wa DRC wameikimbia bandari yetu kwa sababu mbili kuu ambazo zimetokana na maamuzi mabovu na yasiyojali maslahi ya taifa yaliyofanywa na watawala wa hii nchi. Moja ni kutoza VAT kwenye huduma za mizigo iendayo nchi jirani (ancillary transit cargo handling services) ambazo ni kupakua, kupakia, storage (bandarini), warehousing (bandari kavu) na kusafirisha mizigo. Hapo awali VAT kwenye hizi huduma haikuwepo. Pili ni makubaliano ya serikali za Tanzania na DRC kuanzisha single customs territory regime ambapo kodi zote zote za bidhaa za DRC bandarini zinakusanywa na TRA badala ya kukusanywa katika kituo cha mpakani DRC. Hii hatua haikuwafurahisha waagizaji wa DRC kwa sababu ina urasimu na usumbufu mkubwa. Sababu zote hizi mbili hazi-apply katika bandari shindani za nchi jirani. Kumbuka biashara ni mashindano na mfanyabiashara atakwenda penye huduma nafuu.
 
Lakini VAT imeanza mwezi wa saba..Upungufu wa mizigo umeanza kuonekana mwezi February.. Mbona sioni correlation hapo?????
 
Hoja hafifu inayojengwa juu ya proposition kwamba kuwa rafiki na Rwanda ni kujenga uadiui na Congo. Naona wote wanaweza kuwa rafiki zetu.
 
Back
Top Bottom