Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
mjinga wewe umebadilisha sasa hivi unajifanya mjanjaa. Soma kwenye attachment aliyo quote watu. Acha ujanja ujanja wa bushNenda uludie kusoma post usikurupuke
mjinga wewe umebadilisha sasa hivi unajifanya mjanjaa. Soma kwenye attachment aliyo quote watu. Acha ujanja ujanja wa bushNenda uludie kusoma post usikurupuke
ni kweli ila kongo tunawezafanya nao biashara hata kwa reli ya Tazara, hao rwanda na burundi kwa ujumla hao hawafikii hata nusu ya mizigo ya kongoMi nilifikili tunapojenga reli ya kati kwa sgr wateja wetu wakubwa ni Burundi Rwanda na Dr Congo au?
Mkuu Congo na Rwanda wana mgogoro wa mda mrefu wa waasi wanafadhiliwa na Rwanda kuwepo Congo sasa unaposhirikiana na Rwanda automatically utakuwa unawafadhiri waasi kuisumbua serikali ya CongoMi nilifikili tunapojenga reli ya kati kwa sgr wateja wetu wakubwa ni Burundi Rwanda na Dr Congo au?
Swali hii mizigo inapitia wapi kama imeacha kupita kwetu?rwanda na kongo wote tulikuwa tunafanya nao biashara lakini kongo ni potential zaidi kibiashara kwa maana ya mizigo yao ni mingi kuliko kongo,sas toka mkuu alipoingia na kuwa karibu sana na rwanda mizigo ya kongo imepungua sana yawezekana sababu ikawa ni hiyo maana kwenye ukanda huu watu hawaaminiani kabisa
MmmhView attachment 397504View attachment 397505
Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!
Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+
Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.
Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!
Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!
Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?
Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?
Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?
Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!
Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!
Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?
kongo wanaweza kupitishia beira or darbun southafrica, watu ambao hawana ujanja ni burundi na rwanda kama si dar es salaam basi mombasaSwali hii mizigo inapitia wapi kama imeacha kupita kwetu?
BeilaSwali hii mizigo inapitia wapi kama imeacha kupita kwetu?
ni kweli kabisa na mim naiona hiyo ndio tatizoMkuu Congo na Rwanda wana mgogoro wa mda mrefu wa waasi wanafadhiliwa na Rwanda kuwepo Congo sasa unaposhirikiana na Rwanda automatically utakuwa unawafadhiri waasi kuisumbua serikali ya Congo
Na Congo haiwezi kukuvumilia kibiashara
Ndio maana yake Kwa sababu na sisi tutakuwa tunausiswa na Waasi wanafadhiriwa na serikali ya congoKwa hiyo kwa kufanya biashara na Rwanda maana yake tunajitenga na Congo? Nilijua kwamba kwamba hizi nchi zote zipo kwenye jumuia ya EAC na lengo ni wote baadaye tuje kufanya biashara pamoja.. Lakini kinachotokea sasa hivi wale members wa hii block walio tayari wanaunganisha nguvu wakati members wengine wanajipanga. Congo ataendelea kuwa mshirika wetu na pia tungependa na wengine wawe washirika wetu. Haya mambo ya kuzodoana zodoana na kutoaminiana ndo yanarudisha nyuma Africa. Congo bado haipo vizuri kimiundo mbinu kwa hiyo ni bora kuanza kushirikiana na wale walio tayari. Congo ni future potential ally bado ni sleeping giant..
kwa hiyo huna uhakika.. teh tehe teh. Maana umesema wameacha kupitisha Dar. Wamehamia kwingine.. Ingekuwa vyema mtu anayeleta claim kama hii mkuu akawa na stats za kuonyesha ni kiasi gani kimehama.. Tatizo hamna hizi data. Suala la wapi upitishie mzigo lina factors nyingi sana za kiuchumi si sulala la kuamua ghafla ghafla. Kwa hiyo mi nadhani tungekuwa tuna argu kwa stats zaidi. Ukweli namba ndo zinaongea ukweli...Tupunguze hisia na tutumie namba zaidi kujenga hoja zetu mkuuukongo wanaweza kupitishia beira or darbun southafrica, watu ambao hawana ujanja ni burundi na rwanda kama si dar es salaam basi mombasa
Achana na habari ya ku question sijui uwezo wa kujenga hoja ,hapo ni kipi ambacho hakijaeleweka ? Ukiachilia mbali hizo takwimu ,Hii analysis sijaielewa na kwanza kwa kuonyesha tu mtoa mada ni mtu asiye makini angalia hiyo population ya Rwanda. Ameshindwa hata kwenda Google kujiridhisha. Hapo tayari una question uwezo wake wa kujenga hoja vizuriii....
Haya tunaomba data kusupport hii claim...Numbers don't lie my friend...Beila
Turudi kwenye hoja....Tupunguze hisia na tusupport hoja zetu kwa namba za kueleweka...Bado uchambuzi unahitaji expansion..Pia kuna unsupported claim kwamba tumeidump Congo. Je unaweza ku prove hili? Congo is part of EAC. na kwenye EAC members wameanza initative ndogo ndogo kwa wale walio tayari. Je hii inamaanisha kwamba kwa kujenga reli na Rwanda tunawatupa Congo? Unaweza ku support hii claim kwe more detailed analysis maana ndo implication ya muanzisha thread..Achana na habari ya question sijui uwezo wa kujenga hoja ,hapo ni kipi ambacho hakijaeleweka ? Ukiachilia mbali hizo takwimu ,
Hata kama Rwanda ingekua na watu milioni 20 na DRC watu milioni 50 bado kuna logic kwenye andiko lake
ukitaka namba nenda pale bandari ukawahoji,kamati ya bunge imekiri...wew bado unataka namba?kwa hiyo huna uhakika.. teh tehe teh. Maana umesema wameacha kupitisha Dar. Wamehamia kwingine.. Ingekuwa vyema mtu anayeleta claim kama hii mkuu akawa na stats za kuonyesha ni kiasi gani kimehama.. Tatizo hamna hizi data. Suala la wapi upitishie mzigo lina factors nyingi sana za kiuchumi si sulala la kuamua ghafla ghafla. Kwa hiyo mi nadhani tungekuwa tuna argu kwa stats zaidi. Ukweli namba ndo zinaongea ukweli...Tupunguze hisia na tutumie namba zaidi kujenga hoja zetu mkuuu
teh teh teh teh....Mama weeeee...kazi ipooo..Kamati ya bunge na bandari wamesema mzigo imepungua.. Hawajasema kwamba mizigo imepungua sababu wamehamia bandari nyingine ambapo wengi wenu ndo mnasema hivyo.. Mimi nakubali mizigo imepungua.. Lakini napata ukakais pale mtu anaposema sababu ni kwamba watu wamehamia bandari nyingie. Ukimuuliza atoe evidence ya kusupport claim yake ndo hivyo anaruka ruka.. Sasa tunajengaje hoja kwa staili hii? Nataka tuingie kwenye debate ya kisomi tuchangamshe ubongo tuache kuongea vitu ki layman...ukitaka namba nenda pale bandari ukawahoji,kamati ya bunge imekiri...wew bado unataka namba?
CoW will never die...
First strategy
Gain trust from your opponent, before you tore them apart.
mim nimesema wamehamia kwingine mbona wew husemi sababu ni nin ya mizigo kupungua? unabaki na ngonjera tuteh teh teh teh....Mama weeeee...kazi ipooo..Kamati ya bunge na bandari wamesema mzigo imepungua.. Hawajasema kwamba mizigo imepungua sababu wamehamia bandari nyingine ambapo wengi wenu ndo mnasema hivyo.. Mimi nakubali mizigo imepungua.. Lakini napata ukakais pale mtu anaposema sababu ni kwamba watu wamehamia bandari nyingie. Ukimuuliza atoe evidence ya kusupport claim yake ndo hivyo anaruka ruka.. Sasa tunajengaje hoja kwa staili hii? Nataka tuingie kwenye debate ya kisomi tuchangamshe ubongo tuache kuongea vitu ki layman...
Wanapitia msumbiji acha kujitoa ufahamu up ndio ukweli Radio France international imewahoji baadhi ya wafanya biashara?kwa hiyo huna uhakika.. teh tehe teh. Maana umesema wameacha kupitisha Dar. Wamehamia kwingine.. Ingekuwa vyema mtu anayeleta claim kama hii mkuu akawa na stats za kuonyesha ni kiasi gani kimehama.. Tatizo hamna hizi data. Suala la wapi upitishie mzigo lina factors nyingi sana za kiuchumi si sulala la kuamua ghafla ghafla. Kwa hiyo mi nadhani tungekuwa tuna argu kwa stats zaidi. Ukweli namba ndo zinaongea ukweli...Tupunguze hisia na tutumie namba zaidi kujenga hoja zetu mkuuu
View attachment 397504View attachment 397505
Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!
Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+
Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.
Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!
Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!
Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?
Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?
Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?
Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!
Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!
Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?
Kuna wafanya biashara wameojiwa Jana na Radio France internationalHaya tunaomba data kusupport hii claim...Numbers don't lie my friend...