Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,656
Reaction score
58,559
1473503066281.jpg
1473503081762.jpg

Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!

Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+

Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.

Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!

Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!

Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?

Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?

Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?

Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!

Na ukizingatia Rwanda imekuwa ikituhumiwa na USA na UN kufadhiri waasi walioko nchini Congo amabao wanapambana na Majeshi yetu pia je huu urafiki wetu na Rwanda amuoni kama unaongeza sintofahamu Kwa uhusiano wetu na Congo?

Na inaweza ikawa sababu moja wapo inayofanya mizigo ya kwenda Congo imepungua bandarini kipindi hiki?

Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!

Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?
 
View attachment 397504View attachment 397505Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!

Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadara ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 2milioni+

Baada tungefufua reli ya Tazara ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia ,Malawi,Zimbabwe na nchi zingine !!.

Ilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy luziudumia nchi zaidi ya 10 kusini mwa jangwa la sahara kuliko sasa!!

Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa uwa anataka ulafiki wa masilai Kwa nchi yake !!

Sasa nikisema kagame anaiujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?

Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa Kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?

Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha kagame nitakuwa nimekosea?

Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!

Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa kongo kuliko kagame !!

Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 50+ na kuikumbatia nchi yenye 2milion+ alafu unategemea biashara?

Kagame kaona mbali, kuliko magu. Rwanda will be major route for cargo to congo once the SGR is in place.
 
Hii analysis sijaielewa na kwanza kwa kuonyesha tu mtoa mada ni mtu asiye makini angalia hiyo population ya Rwanda. Ameshindwa hata kwenda Google kujiridhisha. Hapo tayari una question uwezo wake wa kujenga hoja vizuriii....
 
ni kweli atakuwa amekosea kwenye population lakini ana hoja kwanin tuache soko la watu karibia milion 80 la congo na tukae karibu na watu 10m wa rwanda
 
Kwa hiyo kwa kufanya biashara na Rwanda maana yake tunajitenga na Congo? Nilijua kwamba kwamba hizi nchi zote zipo kwenye jumuia ya EAC na lengo ni wote baadaye tuje kufanya biashara pamoja.. Lakini kinachotokea sasa hivi wale members wa hii block walio tayari wanaunganisha nguvu wakati members wengine wanajipanga. Congo ataendelea kuwa mshirika wetu na pia tungependa na wengine wawe washirika wetu. Haya mambo ya kuzodoana zodoana na kutoaminiana ndo yanarudisha nyuma Africa. Congo bado haipo vizuri kimiundo mbinu kwa hiyo ni bora kuanza kushirikiana na wale walio tayari. Congo ni future potential ally bado ni sleeping giant..
 
Kwahiyo unakubaliana naye kwamba Population ya Rwanda ni milioni mbili? Na wewe inaonyesha haupo makini..
Population ya Rwanda ni million 10 he unalinganisha na milion 80 ya Congo?
 
Sasa mtu Kama ashauriki tumfanyeje ??? Heri ya Jana kuliko ya Leo.
 
Population ya Rwanda ni million 10 he unalinganisha na milion 80 ya Congo?
Amesema population ya Rwanda ni milioni mbili.. Mimi sijabisha kuhusu suala la population ipi kubwa. Nime question tu uwezo wa mtoa mada kama anashindwa kutafuta information sahihi na hii inapunguza credibility yake. Acha kukurupuka soma nilichoandikaaa.. Usiniwekee maneno mdomoniii..
 
View attachment 397504View attachment 397505

Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!

Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+

Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.

Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!

Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!

Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?

Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?

Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?

Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!

Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!

Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?

Mmmmmmmmhhhhh, ngoja ninyamaze kwanza....
 
Kwa hiyo kwa kufanya biashara na Rwanda maana yake tunajitenga na Congo? Nilijua kwamba kwamba hizi nchi zote zipo kwenye jumuia ya EAC na lengo ni wote baadaye tuje kufanya biashara pamoja.. Lakini kinachotokea sasa hivi wale members wa hii block walio tayari wanaunganisha nguvu wakati members wengine wanajipanga. Congo ataendelea kuwa mshirika wetu na pia tungependa na wengine wawe washirika wetu. Haya mambo ya kuzodoana zodoana na kutoaminiana ndo yanarudisha nyuma Africa.
rwanda na kongo wote tulikuwa tunafanya nao biashara lakini kongo ni potential zaidi kibiashara kwa maana ya mizigo yao ni mingi kuliko kongo,sas toka mkuu alipoingia na kuwa karibu sana na rwanda mizigo ya kongo imepungua sana yawezekana sababu ikawa ni hiyo maana kwenye ukanda huu watu hawaaminiani kabisa
 
Amesema population ya Rwanda ni milioni mbili.. Mimi sijabisha kuhusu suala la population ipi kubwa. Nime question tu uwezo wa mtoa mada kama anashindwa kutafuta information sahihi na hii inapunguza credibility yake. Acha kukurupuka soma nilichoandikaaa.. Usiniwekee maneno mdomoniii..
Nenda uludie kusoma post usikurupuke
 
View attachment 397504View attachment 397505

Kama ni kweli Rais wetu anamsikiliza Paul Kagame kama mshauri wa baadhi ya mambo hasa swala la kuifufua ATCL na Bandari naamini Kagame bado ni Tatizo na atakuwa na masilai binafsi na si vinginevyo!!

Kagame pamoja na kushinda kwenye Mijadala ya kimataifa akiongelea maswala ya uchumi kama " Global Economic Forum"
Lakini bado anashauri ushauri wa kizamani kabisa kujenga mfano swala la kujenga Reli (standard gauge) kwenda nchini kwake nchi ambayo ina watu kama 10milioni+

Baada tungefufua reli ya TAZARA ambayo ingeweza kuwafikia watu zaidi ya 150milion+ kutoka Zambia, Malawi, Zimbabwe na nchi zingine !!.

Hilo lingefanya bandari yetu iweze kuwa busy kuzihudumia nchi zaidi ya 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko sasa!!

Ambapo hata Kongo imeanza kututilia shaka kutokana na Urafiki wetu na Kagame Kwa sababu wakongo wanajua kabisa huyu jamaa huwa anataka urafiki wa masilai kwa nchi yake !!

Sasa nikisema Kagame anaihujumu bandari yetu nitakuwa nakosea ? Kwani mkumbuke bandari yetu jamaa alishaitaka toka zamani Kwa kutoa maneno ya kejeli kwa Rais mstaafu?

Nikisema reli itakayojengwa itatumia garama kubwa kwa manufaa ya watu wachache nitakuwa nimekosea?

Nikisema uhusiano wetu na Congo umepungua baada ya kumkaribisha Kagame nitakuwa nimekosea?

Tuache unafiki Kagame anayajua haya yote na alikuwa na wivu sana enzi za Kikwete lakini sasa hivi atakuwa akijifungia anatuchekea sana!!

Kwanini Rafiki yetu asiendelee kuwa Rais wa Kongo kuliko Kagame !!

Yaani unapoteza nchi yenye watu milioni 80+ na kuikumbatia nchi yenye 10milion+ alafu unategemea biashara?
Umeandika kwa hisia na siyo facts.
 
Back
Top Bottom