Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

Amesema population ya Rwanda ni milioni mbili.. Mimi sijabisha kuhusu suala la population ipi kubwa. Nime question tu uwezo wa mtoa mada kama anashindwa kutafuta information sahihi na hii inapunguza credibility yake. Acha kukurupuka soma nilichoandikaaa.. Usiniwekee maneno mdomoniii..

Mkuu huyo unae bishana naye ndiye mleta mada.
 
Nimemuelewa mtoa kwa mada kwa maana ya kwamba hakuna uhusiano mzuri kati ya Rwanda na Congo kitu ambacho ni kweli na ni kwasababu wanyarwanda wanaifaidi sana nchi ya Congo kwa kigezo cha kuweka wanajeshi wake eti wanalinda amani ya congo kumbe wanaondoka na rasilimali na kufanya biashara kule congo.

Hili litaweza kuharibu uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na mojawapo wa nchi hizi mbili.

Ni bora aidha kuamua nchi 1 au kusort out kwanza tatizo lililopo ktk nchi hizi mbili.
 
Unajifanya " much know " wakati kumbe kiuhalisia ni wa " hovyo hovyo ". Hiyo Bandari haiitwi Beila bali ni " Beira ". Sasa kama kuandika tu majina ya maeneo muhimu hujui tutakuamini kweli na hoja zako " mfu? ".
 
Wewe ni mpuuzi na nimeshakuupuuza hizo taarabu peleka jukwaa lake hili jukwaa sio la makaaba wa fikira kama wewe ni la wasomi
 
Na ieleweke hivyo tafadhali. Safi sana Mkuu kwa kuwaelewesha wasiojua!
Tatizo lako ni wa ovyo na nyie ndio mnaifanya hii nchi isiendelee Kwa sababu ya unafiki wenu kujipendekeza Kwa watawala Kwa taarifa yako Mimi nafanya kazi serikalini lakini sina uo ujinga wa kujipendekeza kama wewe!!!
 
Wewe ni mpuuzi na nimeshakuupuuza hizo taarabu peleka jukwaa lake hili jukwaa sio la makaaba wa fikira kama wewe ni la wasomi

Hivi Msomi anaweza kukosea kutaja Beira na kusema Beila? Tena nimekuchokonoa " makusudi " ili ujae katika frame na umeshajaa. Safi sana Mr. Beila. Kama na Wewe ni mmoja wa Wasomi waliopo Tanzania basi mna safari ndefu!
 
Tatizo lako ni wa ovyo na nyie ndio mnaifanya hii nchi isiendelee Kwa sababu ya unafiki wenu kujipendekeza Kwa watawala Kwa taarifa yako Mimi nafanya kazi serikalini lakini sina uo ujinga wa kujipendekeza kama wewe!!!

Serikali zipo nyingi kwani hata " Wendawazimu " nao wana Serikali yao. Nifafanulie tafadhali unafanya Kazi katika Serikali ipi hiyo ili nianze kuidharau mapema kwa kuajiri Mtu wa " hovyo hovyo " wa aina yako?
 
Hivi Msomi anaweza kukosea kutaja Beira na kusema Beila? Tena nimekuchokonoa " makusudi " ili ujae katika frame na umeshajaa. Safi sana Mr. Beila. Kama na Wewe ni mmoja wa Wasomi waliopo Tanzania basi mna safari ndefu!
Wewe ni mpuuzi na nimesha kupuuza unayefatilia upumbavu ubakuwa mpumbavu hivyo hivyo !!
 
Hivi Msomi anaweza kukosea kutaja Beira na kusema Beila? Tena nimekuchokonoa " makusudi " ili ujae katika frame na umeshajaa. Safi sana Mr. Beila. Kama na Wewe ni mmoja wa Wasomi waliopo Tanzania basi mna safari ndefu!
Endelea na kazi zako kwani lazima uchangie nenda ubebe box uko
 
Endelea na kazi zako kwani lazima uchangie nenda ubebe box uko

Uko sahihi sana kuwa nabeba " box " ila nadhani sasa ni wakati muafaka kabisa kulibeba hilo " libichwa " lako lililojaa " utomvu " ili nikalitupe baharini na Samaki wahangaike nalo.
 
wewe ni bonge la ndezi, nani alikuambia DRC ipo EAC???
Sawa mimi ndezi.....Lakini katika mipango ya baadaye Congo ni nchi ambayo itakuwepo ndo maana nimeirefer kama nchi ya africa mashariki...Member states wapo interested kwa Congo kuwepo
 
machoko haooo wasikusumbue kichwaaa

Si umeona nimeshampa " dozi " yake sasa katulia kimya ikimuingia taratibu! Nina mbinu nyingi sana za kumnyamazisha Mtu anaye jaa katika " frame " au kujipendekeza kwangu sasa huyo Jamaa kaja kwangu " kichwa kichwa ".
 
Back
Top Bottom