Kamati kuu ya CHADEMA yakutana leo kwa dharura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati kuu ya CHADEMA yakutana leo kwa dharura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hamuyu, Mar 19, 2011.

 1. H

  Hamuyu Senior Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamati Kuu ya CDM inakutana leo asubuhi kwa dharura pamoja na mambo mengine itajadili na kutoa na kupanga uchaguzi wa Baraza la Vijana, Wanawake na kutoa ratiba ya awamu ya pili ya Maandamano yatakayoendelea nchi mzima.

  Hakuna kulala mpaka kieleweke,
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Wakombozi kazini
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kiburi na jeuri mliyonayo itaishia pabaya, na hayo yote ndio matokeo ya hizo pesa mnazopewa na ma freemason. Chuki yenu na ccm lisiwe ni daraja la kuhamasisha tusiyohitaji kwa sasa. Kama ni matatizo yaliyopo nadhani mngejikita katika kuleta fikra kwa serikali nini kifanyike. Unajua shetani ni mbaya sana, akisha kuingia kichwani hata uambiwe unakosea unakuwa mzito kuelewa.wala kupata kula siyo mpaka mtumie njia hiyo. Ningewashauri uongozi wa cdm mngeacha kwanza mpaka 2013, there you will have many to say, ccm watakuwa hawana cha kudanganya.mngewaacha kwanza mkaona ahadi zao zitakuwaje kama kweli moo kitaifa zaidi.
  Nyie viongozi wa chadema ivi mnajua kama movement zenu zinapandisha hisia kubwa za udini? Angalieni msije kuruka mkojo mkakanyaga mavi.
   
 4. V

  Vancomycin Senior Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh..! ratiba mbona ilishatolewa kuwa ni nyanda za juu kusini au ile ilikuwa ni nini?
  Ok!kazi njema makamanda nadhani vijana mtakuwa mmeomba nafasi za uongozi kwenye maeneo yenu mbali na hz za kitaifa.
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tunategemea Hoja zingine zenyenguvu kuwapagawisha ccm.Kwani sasa serikali inafanya kazi kwa kutumia hoja za CDM.
   
 6. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwa mtu asiyekuwa mzalenda wazo lako zuri. Hii ndiyo njia waliyotumia thithiem kuwashinda upinzani siku zote. Ni hii hasa ndiyo sababu nchi yetu haiendelei. Yaani katika miaka mitano ya uongozi miaka miwili ni ya kulala halafu mwaka mmoja wa kazi. Hii ni haja isiyokuwa na msingi wowote. Kwa ushauri wangu wapelekee thithiem usiilete kwa watu makini.
  Zaidi sana naendelea kuwaombea viongozi wa CDM wafanikiwe katika mkutano wao. Mungu awabariki na kuwalinda, Mwenyezi Mungu awatangulie na kuwapa heli, mfanikiwe katika mipango yenu.
   
 7. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,758
  Likes Received: 6,063
  Trophy Points: 280
  Bila kuwa na ushabiki au upinzani usiokuwa na msingi kwa chama chochote cha siasa, hivi CHADEMA kama chama cha siasa hawana haki kufanya wanayoyafanya kwa sasa? Kama kuna kosa kisheria basi shuhdia hilo kosa vinginevyo unazungumzia mambo kwa hisia zisizo na msingi wala mashiko yoyote. Hata kama (CHADEMA au chama kingine chochote) wakiamua kufanya vikao au kuandamana kila siku alimradi hawavunji sheria za nchi, waacheni ni haki yao kikatiba. Na kujaribu kuzuia haki ya yeyote kwa sababu yoyote ile huko ndio kuleta machafuko.
   
 8. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  CCM wanataka chadema walale, wakati wao kila siku wako ziara mikoani, Rais, waziri mkuu, makamu, wote wakienda mikoani wanafanya mikutano ya hadhara, wanashambulia upinzani tena kwa gharama za Serikali!
   
 9. H

  Hamuyu Senior Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dudus ni kweli uliyosema na nakubaliana nayo heshima kwako Mkuu tuendelee kuwaombea viongozi wetu wa CDM Mungu awatangulie katika kila wanalolipanga kwa maslahi ya nchi yetu
   
 10. H

  Hamuyu Senior Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Majibu ya Wazalendo wa kweli wa nchi yao wamekupa coments nzuri sana hapo chini, nakushukuru na pia naheshimu sana mawazo yako hata kama hayako sahihi
   
 11. H

  Hamuyu Senior Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu ni kweli mapendekezo ya ratiba yalitolewa hapo kabla, katika kikao hiki tunatarajia wajumbe watapata taarifa na watatathmini kwa kina yote yaliotokea na kushauri juu ya nini kifanyike katika kuleta ufanisi na hapo Kamati Kuu itafanya maamuzi rasmi ya kazi, shughuli na ratiba nzima, coz Kamati Kuu ndio chombo cha juu chenye maamuzi kwa mujibu wa Katiba
   
 12. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Zitto pia si ni mjumbe wa kamati kuu? Natarajia kumuona katika ngwe hii ya pili ya maandamano! Nafikiri excuse aliyokuwa nayo haipo tena labda kama ataenda India!
   
 13. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,514
  Trophy Points: 280
  Kama maandamano ya amani poa tu lakini kama wataendelea kutoa milopoko ya incite watu then wajadili pia watafanya lipi chama kikipigwa stopu na tendwa,vilevile kama viongozi wakuu wakiswekwa lupango anything can happen siku zote simba mwendapole ndo mla nyama.
  VIPI PENGO NAYE KAALIKWA maana nasikia ndo chadema one.
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,862
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Mbona unatapika kabla hata ya kujua nini kinaendelea kwenye mkutano ukisikia neno CDM tu basi mat....o yanalia mbwata mtakonda sana mwaka huu.
   
 15. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Zitto pia si ni mjumbe wa kamati kuu? Natarajia kumuona katika ngwe hii ya pili ya maandamano! Nafikiri excuse aliyokuwa nayo haipo tena labda kama ataenda India!
   
 16. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,514
  Trophy Points: 280
  Kama maandamano ya amani poa tu lakini kama wataendelea kutoa milopoko ya incite watu then wajadili pia watafanya lipi chama kikipigwa stopu na tendwa,vilevile kama viongozi wakuu wakiswekwa lupango anything can happen siku zote simba mwendapole ndo mla nyama.
  VIPI PENGO NAYE KAALIKWA maana nasikia ndo chadema one.
   
 17. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mr Mark tunakufahamu wewe ni kada mzuri sana wa ccm unashikilia nafasi ya uongozi hivyo huwezi kuunga mkono harakati zozote za chadema kwa kuwa zinatishia nafasi yako endapo CDM itashika hatamu. Chadema endeleeni kuamsha wananchi hadi kielewe naami kikao pia kitakuja na majibu mazito dhidi ya waropokaji kama Membe, sophia simba na wassira.
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,862
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Hebu rudia tena kusoma post yako taratibu utuambie ulikuwa unamaanisha nini maana ni mchanganyo kwa kwenda mbele ni kama bata alikuwa anajisaidia.
   
 19. s

  seniorita JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CDM wanafanya kazi nzuri, wanahamasisha watu kujua haki zao...wanamtetea Mtanzania wa kawaida...wanatetea maslahi ya umma...wanafungua macho ya wegi na mengine mengi. Hayo hayawafurahishi mafisadi na their blind supports. Chadema fanyeni kazi, maneno ya mafisadi na wasaidizi wao are all vanity and chasing after wind
   
 20. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,077
  Trophy Points: 280
  mkubwa ulikulupuka ghafla usingizini nin?mbona mzushi hvyo..?ama umetokea masjudullah bwashee?
   
Loading...