Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

Mimi sijashangaa maana system yao tu ilikuwa mbovu tangu kwenye application.

Kuna watu walishindwa kutuma application kisa gusystem gubovu li IT ni bongee la kilaza na bado lipo ofisini.

Maumivu watu wameanza kuyapata Toka kwenye kuapply.
IT wenyewe ndo hao wanawapata kwa email watafanya nini zaidi ya kwenda ofisini kupiga story na kusubili tareh za kwenda ATM
 
Asilimia 90 ya wanao pata ajira kwa sasa ni kuanzia 34+ hii inatokana na uhaba mkubwa wa ajira nchini lakini hiki halifanyi mchakato wa ajira usiwe wazi
Wawe sasa wanasema mapema tunapoteza muda tu kutumia Gharama nyingine Kwa vitu ambavyo hatunufaiki navyo.
 
lakini mara mia hata wao maana ukifanikiwa kwenda oral unakuwa na kauhakika fulani ka kuwepo kweny database mda wowot unaweza kuitwa, tra utakaa data base ipi??
Database gani Labda unazungumzia maana kuna wengine course zetu ni km hatuna Muhimu kwenye database Yani hata ufaulu Oral mara ngapi ukikosa umekosa
 
IT wenyewe ndo hao wanawapata kwa email watafanya nini zaidi ya kwenda ofisini kupiga story na kusubili tareh za kwenda ATM
Nilishangaa sana wanapigiwa simu kuwa system yao ni mbovu,,hapo bado wiki nzima
Majibu wanayotoa ni kwanini hamkuapply mwanzo.

Anawapa watu hayo majibu na wakati watu bado wapo ndani ya deadline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitazungumzia upande wa Tax Management Officer II.
Mchakati wa usahili wa mahojiano iliendeshwa kwa umakini wa hali ya juu sana, lakini, namna mchakati ulivohitimishwa kwa kupitia hizo e-mails bila kuchapisha majina ya walioshinda usahili huo na kupata kazi umeondoa umakini ulioshuhudiwa katika stage ile.
Namna mchakati ulivotamatika inatia mashaka kwa TRA na Bodi ya wahasibu na wakaguzi (NBAA) waliokua wanaendesha zoezi zima la usahili. Ni jambo la kushangaza na kusikitisha, ajabu wanahimiza uwajibikaji.
 
Kwan tangazo la ajira liliandika vipi kuhusu umri? Ninachojua taaasisi nyingi umri wa mwisho kuajiriwa ni miaka 45.

Na hizo sura sio kwamba ni watu wazima kiivyo Bali kwa muonekano wao inaonyesha walikuwa wameajiriwa sehemu ambapo pesa ya kula na kun'garishia sura sio tatizo.
Kwa hayo maelezo, hao watu sitaki kuamini ni matokeo ya interview ndio yamewafikisha hapo. Inaonekana rushwa imetembea kwelikweli huko. Maana Sisi tuliotoka shule juzijuzi pesa za kutoa rushwa uzitoe wapi.
 
Nitazungumzia upande wa Tax Management Officer II.
Mchakati wa usahili wa mahojiano iliendeshwa kwa umakini wa hali ya juu sana, lakini, namna mchakati ulivohitimishwa kwa kupitia hizo e-mails bila kuchapisha majina ya walioshinda usahili huo na kupata kazi umeondoa umakini ulioshuhudiwa katika stage ile.
Namna mchakati ulivotamatika inatia mashaka kwa TRA na Bodi ya wahasibu na wakaguzi (NBAA) waliokua wanaendesha zoezi zima la usahili. Ni jambo la kushangaza na kusikitisha, ajabu wanahimiza uwajibikaji.
Bado Pia kulikuwa na Utofauti wa Swali baadhi ya Panel kama Non Deductable Expenses & Salary Amount
 
Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?

Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?

Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?

Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
Sijajua kwa sababu gani TRA wamefanya hivi, lakini wote waliofanikiwa kupata kazi hizi walitumiwa Emails kwamba wamefanikiwa so kama hukutumiwa ni automatically haukufanikiwa, the same to kama pdf ya majina ingetoka, kama hukufanikiwa basi hata kwenye majina mtu usingekuwepo. Cha msingi ni kuendelea kupambana tu. Kumbuka tu naunga mkono uwazi na ukweli, lakini pia naheshimu taratibu zao na njia walizotumia.
 
Ni kama waliambiwa wavae tai
Wote wa tai wakawekwa mabenchi ya mbele

Noma sana.
Na wanasisitizwa uadilifu,wakati mchakato tu wa Ajira ulikuwa magumashi.

Hapo ni upigaji kwenda mbele hadi wavimbiwe.
Kwenye orientation huwa wanaambiwa dressing codes kwa wanaume lazima wavae tai …
 
Sijajua kwa sababu gani TRA wamefanya hivi, lakini wote waliofanikiwa kupata kazi hizi walitumiwa Emails kwamba wamefanikiwa so kama hukutumiwa ni automatically haukufanikiwa, the same to kama pdf ya majina ingetoka, kama hukufanikiwa basi hata kwenye majina mtu usingekuwepo. Cha msingi ni kuendelea kupambana tu. Kumbuka tu naunga mkono uwazi na ukweli, lakini pia naheshimu taratibu zao na njia walizotumia.
Lakini kwa ajira za Utumishi wa Umma kuweka wazi watu waliopata ajira huwa ni moja ya hatua ya uwazi kwenye mchakato ! Hivi unafikiri hata utumishi au taasisi zingine za serikali wanashindwa kukutumia email tuu na ukaja? Lazima tujiulize kwanini walio itwa kwenye usaili majina au namba inakuwa wazi na kwanini wanao itwa kazini majina au namba yanawekwa wazi kwa taasisi nyingi za Umma?

Usaili ni kama mtihani wowote ule jambo la uwazi ni muhimu sana hasa kwa ajira za Utumishi wa Umma na hata matokeo ya kidato cha nne au form six watu na umma ujuzwa sio wahusika kutumiwa email tuu…!

Kwanini TRA walivyo waitwa watu kwenyw usaili walichapisha orodha na namba kwenye website yao? Na pia waliwatumia email?Kwanini wameshindwa kuchapisha watu walio itwa kazini? Lazima ujue TRA ni taasisi ya serikali .. uwazi ni muhimu sana…
Hii hatua yao inazua maswali sana
 
Wawe sasa wanasema mapema tunapoteza muda tu kutumia Gharama nyingine Kwa vitu ambavyo hatunufaiki navyo.
Mkuu sidhani kama umenielewa! Hicho sio kigezo cha ajira serikali ! Nilicho maanisha mimi nikuwa kwa sasa ni jambo la kawaida kukutana na watu wazima kwenye kazi kuanza sababu watu wanasota sana mtaani! Mtu anaweza kukaa zaidi ya miaka 10 mtaani ndio anakuja kupata kazi na wakati alimaliza akiwa na miaka 24
 
Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?

Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?

Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?

Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
Wewe endelea kulima
 
Back
Top Bottom