Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,886
- 155,869
Kwe kipindi kile hatukuwa na sheria ya haki miliki. Hivyo Basi mmiliki wa hizo kazi ni Radio TanzaniaKwa sababu wao sio wamiliki halali wa hizo nyimbo. Haki zote zinabaki kwa watunzi na waimbaji, wenye hizo nyimbo wana haki ya kuwashtaki hao tbc kwa pesa ndeefu tu endapo watafanya hivo bila makubaliano.
Wataishia kuzicheza tu kwenye media ila kuzisambaza kwenye digital platforms sahau!
Hata ITV wamefanya productions nyingi tu za wasanii ila kuziweka mitandaoni hawathubutu.
Afadhali JamiiForums imetupa jukwaa, tuna sehemu japo kwa kiasi twaweza kuweka kumbukumbu za kaleMpaka leo sielewi kwanini TBC Radio hawarudishi kile kipindi cha Tuimbe Sote ili watu wa Kwaya nao waweze kupata jukwaa na fursa ya kuonyesha vipaji vyao. Sasa hivi kuna mtangazaji anaitwa Mbazigwa Hassan anakipindi cha kama dakika kumi anakiita "Tuimbe pamoja" kisha anaweka kanyimbo kake kamoja basi kipindi kimeisha!!!
Nakumbuka kipindi cha "Tuimbe Sote" kilikua kinarushwa kuanzia Jumatatu hadi Alhamisi kuanzia saa nne na robo asubuhi mara baada ya taarifa ya habari na matangazo ya vifo
Pale ndio watu waliweza kuwajua Kapten John Komba na mwenzie Gasper Mapunda. Wakati huo wakiwa na Kwaya ya JWT. Sauti zao za ujana zilikua zinapanda sana na walitoa nyimbo nzuri mno
Nyimbo zao kama "Tuyahifadhi mazingira", "Mawe ndio msingi wa nyumba," Awamu ya Kwanza na ya Pili, Mabadiliko Ulaya ya Mashariki, Tumpambe Ali Mwinyi na nyingine nyingi
Pia alikuwepo Mwalimu mmoja wa shule ya Msingi Kange kule Tanga kisha baadae akahamia Mkono wa Mara Morogoro jina nimemsahau kidogo. Huyu Mwalimua alirekodi nyimbo na wanafunzi wake zilizobamba na kutamba katika ulimwengu wa kwaya hapa nchini
Nyimbo zake ni kama ile Mtama wa baba waliwa mtama wa baba ni nini, Mtaje mtaje kijana aliyekupa mimba Sakina dada nk
Kuondoa kile kipindi kwa kiasi kikubwa kimepoteza vipaji vya watunzi na waimbaji wa nyimbo za kwaya. Sasa hivi kwaya imebaki kua kama muziki wa dini tu. Hata mashuleni ni kama wameacha kufundisha nyimbo hizi
Kabisa kabisa mkuu. JF ni faraja yetuAfadhali JamiiForums imetupa jukwaa, tuna sehemu japo kwa kiasi twaweza kuweka kumbukumbu za kale
P.Mayala anafaa kuwa mjumbe kulipeleka hili wazo kwa mamlaka husikaRadio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata muziki Ile.
Kipindi Kama Tuimbe Sote cha kwaya, kila asubuhi. Tumbuizo asilia, kipindi cha Michael Karembo cha nyimbo za asili. Kipindi cha mashairi cha Malenga Wetu, kipindi cha Mama na Mwana cha Debora Mwenda, Muziki wa Mwambao na vingine vingi tulivipenda, ila Leo hatuna namna Tena ya kujikumbusha.
Namshauri mkurugenzi wa TBC alifanyie kazi Jambo hili.
Bujibuji Ngosha Jasu
Pascal Mayalla ka r ibuP.Mayala anafaa kuwa mjumbe kulipeleka hili wazo kwa mamlaka husika
Naunga mkono hojaRadio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata muziki Ile.
Kipindi Kama Tuimbe Sote cha kwaya, kila asubuhi. Tumbuizo asilia, kipindi cha Michael Karembo cha nyimbo za asili. Kipindi cha mashairi cha Malenga Wetu, kipindi cha Mama na Mwana cha Debora Mwenda, Muziki wa Mwambao na vingine vingi tulivipenda, ila Leo hatuna namna Tena ya kujikumbusha.
Namshauri mkurugenzi wa TBC alifanyie kazi Jambo hili.
Bujibuji Ngosha Jasu
Tusaidie kumfikishia Ryoba ujumbe huuNaunga mkono hoja
P
Tangu ameondoka Tido Muhando,Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata muziki Ile.
Kipindi Kama Tuimbe Sote cha kwaya, kila asubuhi. Tumbuizo asilia, kipindi cha Michael Karembo cha nyimbo za asili. Kipindi cha mashairi cha Malenga Wetu, kipindi cha Mama na Mwana cha Debora Mwenda, Muziki wa Mwambao na vingine vingi tulivipenda, ila Leo hatuna namna Tena ya kujikumbusha.
Namshauri mkurugenzi wa TBC alifanyie kazi Jambo hili.
Bujibuji Ngosha Jasu
Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata muziki Ile.
Kipindi Kama Tuimbe Sote cha kwaya, kila asubuhi. Tumbuizo asilia, kipindi cha Michael Karembo cha nyimbo za asili. Kipindi cha mashairi cha Malenga Wetu, kipindi cha Mama na Mwana cha Debora Mwenda, Muziki wa Mwambao na vingine vingi tulivipenda, ila Leo hatuna namna Tena ya kujikumbusha.
Namshauri mkurugenzi wa TBC alifanyie kazi Jambo hili.
Bujibuji Ngosha Jasu
Tangu ameondoka Tido Muhando,
Hili shirika limekuwa kama limekufa.
Walimtoa Tido ambaye ana uzoefu kwenye media,wakamuweka Profesa kutoka UD ambaye anauzoefu katika kufundisha,matokeo yake,shirika limeshuka kwa ubora kuliko hata ilivyokuwa TVT,hakuna mada Wala vipindi vya maana,limebaki kama shirika la propaganda za ccm
Wanachofanya ni kuziuza kupitia CD, siku moja nilikwenda kwenye banda lao la maonyesho pale 77, cd yenye nyimbo 10 inauzwa tsh.5000!!!Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata muziki Ile.
Kipindi Kama Tuimbe Sote cha kwaya, kila asubuhi. Tumbuizo asilia, kipindi cha Michael Karembo cha nyimbo za asili. Kipindi cha mashairi cha Malenga Wetu, kipindi cha Mama na Mwana cha Debora Mwenda, Muziki wa Mwambao na vingine vingi tulivipenda, ila Leo hatuna namna Tena ya kujikumbusha.
Namshauri mkurugenzi wa TBC alifanyie kazi Jambo hili.
Bujibuji Ngosha Jasu
Ayubu Sio mbunifu,namfuatilia toka itv na uandishi wake wa makala gazetiniHahaha Ayoub Ryoba analiingiza chaka Shirika la Utangazaji.
Wapo wazee wenye kujua muziki na biashara ya muziki. Masoud Masoud kwa mfano. Huyu jamaa anajua muziki na nahisi TBC wana mu under utilizeIdea nzuri sana ,watapiga pesa sana za Youtube! Sema ndiyo hivyo TBC wamejaa wazee ambao hawajui chochote kuhusu digital labda kina GANGANA wawasaidie.
Kosa la kiufundiTangu ameondoka Tido Muhando,