Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Bandari ya Mombasa inaendeshwa na nani?

Tokea lini mgeni akazingatia maslahi yako kwanza kabla ya kwake?

Watanzania wapo wenye akili kuliko nyie madalali mnaouza nchi
 
Naunga mkono hoja
 
Mmelipwa ngapi? Hibi nyie wapuuzi mnajua nini maana ya mkataba?

Yaani unakuja hapa na hoja nyepesi kuongelea muda eti siku 10? So what? Unajua contents za huo mkataba? Hivi umeusoma au umeshiba kande unakuja kuandika hapa upuuzi?
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Bravo. Ongezea tu na kwamba Operator wa sasa TICS mkataba wake umekwisha kwa hiyo ni sawa kabisa kumbadilisha kwa kutumia hivi viwango vya kumataifa. Anyedai kuwa Uzanzibari ndiyo ulikuwa unafuga siku 10 badala ya 2 akapimwe akili, ni ushahidu tosha kuwa yeye ndiye ni mkabila. Nani asiyejua, si ni hayo hayo ya siku zote? Angepewa kabila lake wangeenda kutoa harambee kwa mchungaji Kimaro.
 
Katika kikao cha Jana cha serikali na wafanya biashara wa bandari kama mtu unauelewa ukiangalia tu walivyokua wakizungumza unaweza kujua kabisa kuwa hata hao viongozi wamepata mashaka makubwa dhidi ya hao DP World na Sasa ni wanafanya tu ilimradi kukamilisha matakwa Yao maovu.

Aliongea yule kiongozi mwanamama muwakilishi wa wafanyabiashara wa bandari lakini hakua anajiamini hata kidogo na hata alipokuja muwakilishi wa sekta binafsi aliongea akiwa anaonekana kabisaa amewekewa maneno.

Tuombe Mungu tu nchi imefika pabaya
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Wanaopinga uwekezaji huo wamemsahau mh.Rais Paul Kagame?!!!

Hivi ni KWANINI mh.Rais Paul Kagame alimuambia kipenzi chetu hayati JPM "amuachie" aiendeshe bandari ?!!!!

Hata kama ni kwa utani tu....

Bandari ya Dar es salaam inaweza kutuletea mapato NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA....hili ni dogo?!!!

Hili ni la kupuuzwa?!!!

Hili tuliache tu lipite?!!!

La hasha , watanzania tunayahitaji maendeleo kwa udi na uvumba....

#SiempreJMT
 
Usitupigie kelele Bwana, mimi naitaji Mungu, Mke wangu na Watoto wangu, sio DP, kama wewe unawaitaji nenda Dubai.
 
Nimejaribu kufuatilia ufanisi wa hao DP WORLD...wako pia MSUMBIJI NA SENEGAL.....

Ifikie mahala tukubaliane kuwa uwekezaji wao unakuja kuondoa URASIMU hapo bandarini....

Inakuwaje tunapoteza mapato kwa kuwa tu MIFUMO YA TEHAMA kati ya TPA NA TRA kutokusomana ?!!

Bora tu turidhie uwekezajj tuondokane na kusuasua huko....

#SiempreJMT
 
Kwahiyo bei ya magari itapungua?
Ndio itapungua. Ukiagiza Gari let say toka Japan, kitu cha kwanza mwenye meli anauliza Tarehe ya kupakua mzigo, akiambiwa atachukua siku 3 za kusubiri anachokifanya anakuongezea bei ya freight, kwenye ngarama ya ushuru wa TRA( wharfage) itapanda
 
Tumesahau kuwa Rais wa nchi jirani mh.Paul Kagame alipata kulalamikia BANDARI YA DAR ES SALAAM kwa muda mrefu wa kupakua mizigo ?!!!

Leo tumesahau hilo ?!!!

Haiwezekani bandari iwe inatumia hadi siku 10 kupakua mizigo ilihali bandari jirani tu ya Mombasa inachukua siku chache zaidi......

Hapa ni pakutafakari kwa upana na marefu.....

Tunaiamini serikali yetu ya awamu ya 6 itazidi kuyatafuta majawabu ya changamoto za watanzania
 
Nimejaribu kufuatilia ufanisi wa hao DP WORLD...wako pia MSUMBIJI NA SENEGAL.....

Ifikie mahala tukubaliane kuwa uwekezaji wao unakuja kuondoa URASIMU hapo bandarini....

Inakuwaje tunapoteza mapato kwa kuwa tu MIFUMO YA TEHAMA kati ya TPA NA TRA kutokusomana ?!!

Bora tu turidhie uwekezajj tuondokane na kusuasua huko....

#SiempreJMT
Mkuu unadhani hao DP world watakuja na mfumo wao wa mapato kama huu uliopo Tanzania Customs Integrated System (Tancis) ambao una link kati ya bandari na TRA?

Huu mfumo wakiingia badi tumejiweka uchi maana unatumika kwenye mipaka,bandari na viwanja vyote vya ndege kukusanya mapato. Huo mfumo unakuwa na tatizo sababu tumetengenezewa uliza Server zake zipo nchi gani na awali ulitumika mfumo gani?
 
Mkuu kuna raia humu wanataka uwaunganishe kweny hii payroll ya kutetea mkataba wa serikali na waarabu!!
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
 
Mm nawaza hilo la ajira itakuaje? Maana hao jamaa DP word watafanya kazi Kwa marobot Sisi majobless tutapata kazi wapi
 
Back
Top Bottom