Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

Hapa kuna orodha ya kesi 10 za hivi punde dhidi ya DP World katika mahakama ya kimataifa ya usuluhishi:

1. DP World v. Kenya (2022). Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID) kwa sasa kinasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Kenya. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Kenya.

2. DP World v. Ethiopia (2022). ICSID pia kwa sasa inasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Ethiopia. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Ethiopia.

3. DP World v. Djibouti (2021). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Djibouti. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Djibouti.

4. DP World dhidi ya Pakistan (2020). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Pakistan. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Pakistan.

5. DP World v. India (2019). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya India. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na India.

6. DP World v. Argentina (2018). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Argentina. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Argentina.

7. DP World v. Chile (2017). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Chile. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya ardhi na Chile.

8. DP World v. Uruguay (2016). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Uruguay. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Uruguay.

9. DP World v. Peru (2015). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Peru. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya mali na Peru.

10. DP World v. Brazili (2014). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Brazil. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Brazili.

Ni muhimu kutambua kwamba hizi ni baadhi tu ya kesi nyingi ambazo DP World imehusika nazo. DP World ni mhusika mkuu katika sekta ya bandari ya kimataifa, na imehusika katika migogoro kadhaa na serikali duniani kote. . Mizozo hii mara nyingi imekuwa ngumu na imehusisha wadau muhimu wa kifedha.

Kesi zilizoorodheshwa hapo juu bado zinaendelea, na bado haijabainika jinsi zitakavyotatuliwa. Hata hivyo, yanatoa mwanga wa changamoto ambazo DP World inakabiliana nayo inapofanya kazi.

IMG-20230608-WA0008.jpg
IMG-20230608-WA0007.jpg
 
Ungejua sababu za bandari kuwa na performance nzuri usingeandika sababu moja ya meli kukaa foleni.

Huyo DP World hata akija saizi changes zitakuwa ndogo matatizo ya meli kukaa foleni hata sisi tungeyamaliza. Kuna tatizo la Mtandao kuwa chini na kupelekea Cargo system na Tancis kutofanya kazi gari na mizigo hapo haitoki huyo mwarabu je, ataruhusiwa kuingia mpaka kwenye System ya kodi.

Truck turn around time, barabara za kuingiza roli na kutoa kutoka bandari kuna muda foleni ni kubwa gari zinazotaraji zifanye rotation kupeleka mizigo na kutoa kutoka port/icd kwenda port/icd zinakwama njiani zaidi ya masaa 2 kwenye shipping muda ni mali sana.
 
Africa tumejaliwa rasilimali ila tumelaaniwa akili ya kutumia rasilimali kutunufaisha.

Siye upele umetuota tumekosa kucha, wageni wanakucha wanakuja kutukuna kadri watakavyo
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Do you now Carbon emissions Project TFS?

Transparency?

Oil and GESI kusini Sahel?

Rethink.....
 
Ulivyoporomosha huu Uzi nimekufananisha na muheshimiwa mmoja hivi bila shaka alikua msemaji au bado ni semaji "Cjui *
Alizima cm kwa masaa kadhaa kukwepa mawe ya walala hoi cjui nan alimfurumusha huko akawasha simu🤣

Mkuu kwanza Mwendazake alishawah kusema "Tunaweza"
Ukweli ni Tanzania uwezo wa kuendesha Bandari tunao kwa asilimia 100% . Nakumbuka kuna maboresho yalifanywa kupanua Bandari na Adjustment nyingine na kazi Bandari ilikua na muelekeo mzuri

Hapa katikati picha likachange.

Navyoelewa
Hakuna biashara yeyote duniani inayolaza super profit 90% - 100% per one item/product consistently kama Bandari yetu pendwa then ikawa na loss au faida ndogo. "NEVER !!!

Tatizo kubwa la Bandari kwa sasa ni rushwa iliyotuka & walio nyuma ya bandari ni Papa wenye mizizi yao that's why faida ni ndogo au haionekani,

Kuhusu udogo wa Bandari au kua nyuma kiteknolojia tungeweza kujiongeza kidogo kidogo kama mwendazake alivyo fanya kuliko uamuzi wa hovyo utakao tucost twice karne moja.

Tanzania haiwaitaji DP world . Viongozi wachache na wazembe ndo wanawahitaji DP world tena bila kuwashirikisha wenye nchi yao .

Nakunywa alkasusu apa Mkuu Karibu 😊
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Watabadili kitu kweli?
Na jee waongeza mapato kwa taifa au watakua mzigo kwa taifa?..
All in all tunawatakia kazi njema wakiingia mzigoni
 
Akili ndogo itaendelea kutuendesha waafrica tangu enzi za utumwa, Hivi tunashindwa nn sisi kuendesha Mali yetu kwa faida ,
Hivi nikweli tumekosa maarifa kabisa kusimamia bandari yetu mpk ifikie hatua kwenda kuita watu wengine watutawale na kutuendesha ili hali bandari ipo katika ardhi ya nyumbani kwetu,
Tutalala huu usingizi mpk lini, wapi tunapokosea me naona tuachane na DP world tusiingie nao mkataba huo bali sisi wenyewe tuendeshe bandari yetu na vitendo vya rushwa vizibitiwe kwa nguvu zote tutatoboa tu.
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
DP world alikuwa oman, somalia au Djibouti lakini badala ya kuongeza alipunguza ufanisi. Serikali ya nchi hizi ikawapiga kibuti.
 
Hatimaye Chawa mkuu aanika madudu ya CCM. Si mnajinadi kuwa bandari zimeboreshwa?? Hatutaki ki ufupi. Tufanye wenyewe, technogia inanunlwa usimamizi ni wetu.
 
Kwa elewa wangu

1. Mkataba umeandikwa na Mwekezaji peke yake.

2. Anataka apewe Bandari zote.

3. Anataka azimiliki milele

4. Anataka akikosea ashtakiwe Afrika Kusini tu

5. Anataka akikosea zitumike sheria za Uingereza.

6. Anataka hata asipotimiza malengo yake na kuharibu kwa jambo lolote mali zake zisitaifishwe.

Swali.
1.Tumemwamini vipi kuwa Mwekezaji hata fanya hujuma ?

2. Akifanya hujuma tutamdhibiti vipi wakati kutupa masharti ya kutoshtakiwa kwetu na kwa sheria zetu ?

3. Tunamwamini vipi Mwekezaji asiyethamini sheria na taratibu zetu ?

4. Kwanini tusimpe Bandari moja kwa majaribio cha kipindi hata cha miaka kadhaa ili akifanya vizuri tumpe na nyingine, akifanya vibaya iwe nafuu kwetu ?

NB
Hili jambo lina maslahi ya Kitaifa kwanini tupate mda wa kusikiliza mawazo ya Watanzania wote wakijumishwa vyama vyote na taasisi zote ili kujiridhisha?

Kwa nini jambo kubwa la Kitaifa kama hilo lilazimishwe kuamuliwa na watu wachache tu na kwa muda mchache ?

Kama Mwekezaji kajipambanua kuwa ana uwezo mkubwa basi zingatieni swali langu la (4) hapo juu ili kwanza kujiridhisha naye.

Hata huko Wingereza vyanzo vinasema kapewa mamlaka ya kuiendesha Bandari Mbili (2) tu. Tumpe moja kwa kipindi maalum tujiridhishe kwanza. Tumpe Bandari ya Tanga tuone.

Hata ndoa ambazo watu wanafunga kwa mapenzi ya hali ya juu, nyingi zinaishia na migogoro na kuachana. Vipi kumwamini asilimia 100 mtu baki ?

Kwako Mis
getrude,
 
Kama ni kweli tunawahitaji hao wawekezaji, basi tuwe na mkataba wa muda, siyo mkataba wa milele.
Pia kuwe na uwezekano wa kujadiliana, kurekebisha, kubadilisha na hata kuuvunja mkataba endapo itaonekana mkataba hauna manufaa kwa upande mmoja.
Iwe kwa baadhi ya bandari, siyo bandari zote. Ni hatari kuweka mayai yote kwenye kapu moja!
Mkataba wa milele ni kuuza nchi, kitu ambacho ni uhaini.
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Mmeanza spin doctors,
Haya maneno matamu tuliowahi kuambiwa na kina mkapa,kikwete,kwenye madini na gesi,kila mtu anajua jinsi tulivyopigwa na kitu kizito!
Kutuaminisha kwamba tiba ya ufanisi wa bandari zetu zote ni kuzibinafsisha kwa waarabu!haingii akilini.
HIV upuuzi kama huu upo china,South Africa?
Kwanini bandari zetu zote ziwekwe kwa mtu Mmoja?south Africa bandari zote zipo chini ya kampuni Moja?kama nchi zenye uchumi mkubwa hazifanyi huu upuuzi,kwanini sie tufanye,
Nilimsikiliza boss wa TPA,akihojiwa clouds tv,haki ya Mungu kama yule ndio yupo jikoni,na ameshindwa kuelezea kwa kinagaubaga ili kutuondoa wasi wasi,tumeishaliwa,alikuwa anaongea kwa uoga,anajiuma uma,Richa ya kwamba ana Domo kubwa!
Alikuwa amekaa kama ameficha cm pembeni,kila wakati anachungulia,sijuhi alikuwa anapewa maagizo,yule nickilaza kabisa,nikilinganisha jirani zetu wanavyoongea wakiwa wanatetea hoja zo kule kenya
 
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Author: Jacques Morisset

Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"

Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.

Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.

Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.

Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.

Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Hamuwahitaji DP World bali hitaji lenu ni matumizi mazuri ya akili yawezayo wasaidia kutambua namna gani raslimali zingine kama dhahabu ,tanzanite, almasi nk. Zinavyowez kuwapa pesa ya kutosha ku invest bandarini.

Kama issue ilkua uwekezaji , mna mtaji wa kutosha kufanya kila lililo jema, laki kwakua hamna uwezo wa kufikiri, DP World ndo mmemfanya kua mkombozi wenu
 
Back
Top Bottom