Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,195
- 1,423
Aliyejenga bandari ni mmoja tu ,ndo pekee alkua na akili zenye kuamua lolote jema kwa watanzania million 60Kama tumeweza kujenga Bwawa la nyerere kwa matrillions ya pesa tunashindwa kutengeneza technology ya kisasa Bandarini!!?
Unafikiri Mimi na wewe nani anashida!!?
Bandari ni money gate ya nchi tukitumia mapesa kuboresha tutapungukiwa NINI!!?
Aliejenga bwawa ni moja ya viumbe wenye uwezo mkubwa wa kutumia akili, bahati mbaya hatupo nae tena, tunauzwa huku tukisimangwa, inaumaKama tumeweza kujenga Bwawa la nyerere kwa matrillions ya pesa tunashindwa kutengeneza technology ya kisasa Bandarini!!?
Unafikiri Mimi na wewe nani anashida!!?
Bandari ni money gate ya nchi tukitumia mapesa kuboresha tutapungukiwa NINI!!?