Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,204
- 7,653
Pamoja na yote siwezi kukuacha mama peke yako ila tu kitachoniondoa nyumbani ni namna unavyokaza sana kiasi kwamba mtoto naogopa hata kuwa huru kwa mama yangu mzazi.Mwenye kutulinda ni Allah tu.
Wanyaturu sisi tunawapenda wazazi wetu ndio mana unatuona tupo nyumban sio kwamba tumekosa pakwenda, ila kwa mama mkali mkali kama ulivyo hata huwezi kutukuta nyumban,tungeshajiondokea mapema tukajipumzkie huko.
Mama huna dogo wala kubwa bwana,muda wote we kauzu mtoto hadi namuogopa mama yangu mzazi