Kwanini Tanzania hamna migahawa ya McDonalds?

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,563
Reaction score
5,369
Huwa najiuliza kwanini hamna migahawa ya McDonalds maana kama mtaji mbona kuna fast food restaurants nyingine kibao zilizoanzishwa kama Franchise za nje, hasa Dar es salaam... kuna KFC kibao, Subway, Pizza hut akina Mb na nyingine nyingi

Hivi sabab ya kutokuwa na McDonalds ni ipi? nauliza nataka fahamu
 
Mwaka 2015 nilikuwa Uingereza nilikuwa nasafiri kutoka Cambridge kwenda Coventry nikiwa nimepewa lift na kijana mmoja wa Kiingereza, basi tulipita sehemu tukaona kibanda cha McDonalds, nikamwambia yule jamaa kuwa kwetu Tanzania hawa jamaa McDonalds hawapo kabisa! Jamaa alifurahi huku aamini kama nasema kweli, nikamuuliza kwanini amefurahi kusikia vile, akanijibu kuwa " aaah hawa jamaa wanaringa sana na kujidai wako kila mahali hadi kwenye mwezi, kumbe Tanzania hawako!
 
Hivi sabab ya kutokuwa na McDonalds ni ipi? nauliza nataka

Lakini siyo mac tu kuna taco bell, denny's, etc hawapo Tanzania.

Tatizo kubwa ni watanzania wengi ( 96 percent) ni lower class, hawana uwezo wa kununua big Mac kwa tsh 25k.

Middle class nayo iko hoi toka alipoingia jiwe ilipungua kutoka 30% mpaka 2%
 
McDonald's franchisee applicants must have a minimum of $500,000 available in liquid assets and pay a $45,000 franchise fee. Those looking to launch a new McDonald's franchise can expect to shell out between $1,314,500 and $2,306,500. Existing franchise prices can cost upwards of $1 million or more
 
Huwa najiuliza kwanini hamna migahawa ya McDonalds maana kama mtaji mbona kuna fast food restaurants nyingine kibao zilizoanzishwa kama Franchise za nje, hasa Dar es salaam... kuna KFC kibao, Subway, Pizza hut akina Mb na nyingine nyingi

Hivi sabab ya kutokuwa na McDonalds ni ipi? nauliza nataka fahamu
Waliwai kuja miaka ya 2000 mwanzaoni, marketing Survey yao iliwaambia kuwa Chips Vumbi ni cheap kuliko Chips zao hivyo awatopata faida- so Wakaamua achana na Deal ya kufunguwa hapa Tanzania! Steers walijaribu na Nandos Wakafirisika na kufunga Virago . Labda sasa kutokana na population ya vijana ni kubwa wanaweza kuja tena! Iwapo mtu anataka funguwa Mac Donald Restaurant anatakiwa awe na kati ya 500M to 1B.
 
Mwaka 2015 nilikuwa Uingereza nilikuwa nasafiri kutoka Cambridge kwenda Coventry nikiwa nimepewa lift na kijana mmoja wa Kiingereza, basi tulipita sehemu tukaona kibanda cha McDonalds, nikamwambia yule jamaa kuwa kwetu Tanzania hawa jamaa McDonalds hawapo kabisa! Jamaa alifurahi huku aamini kama nasema kweli, nikamuuliza kwanini amefurahi kusikia vile, akanijibu kuwa " aaah hawa jamaa wanaringa sana na kujidai wako kila mahali hadi kwenye mwezi, kumbe Tanzania hawako!

Hahahah aisee kwao wako sehem nyingi basi
 
Lakini siyo mac tu kuna taco bell, denny's, etc hawapo Tanzania.

Tatizo kubwa ni watanzania wengi ( 96 percent) ni lower class, hawana uwezo wa kununua big Mac kwa tsh 25k.

Middle class nayo iko hoi toka alipoingia jiwe ilipungua kutoka 30% mpaka 2%

Duh hapa umesema kitu
 
Kuku wa kfc mimi sioni kama ni watamu Kwa kweli!

Zile ngano zao wanazosiliba kwenye kuku sipendezwi nazo hata kidogo.

Na ndio wanazidi kujieneza Dar matawi kama yote [emoji108][emoji108]
 
Halafu wanapikaga vibaya zile siku za discount kwa vile sijui wana order nyingi, watakuwa hawafuati masharti ya upikaji sana siku hizo
Wasipofataa masharti shauri zao maana ,wasizan kuna mtu anaibiwa kiboyaa kipnd hchi cha mama ,alafu aikuwa cku ya ofaa ilikuwaa cku ya bei zao zakawaidaa kbs ,
 
McDonald's franchisee applicants must have a minimum of $500,000 available in liquid assets and pay a $45,000 franchise fee. Those looking to launch a new McDonald's franchise can expect to shell out between $1,314,500 and $2,306,500. Existing franchise prices can cost upwards of $1 million or more

Nahis hili sio tatizo sana Tz kuna investors wana pesa tu, labda shida wanahis hawatopata return kama mkuu alivyosema survey ilivyowaonyesha
 
Kuku wa kfc mimi sioni kama ni watamu Kwa kweli!

Zile ngano zao wanazosiliba kwenye kuku sipendezwi nazo hata kidogo.

Na ndio wanazidi kujieneza Dar matawi kama yote [emoji108][emoji108]
C unaagizaa kutokaa na unavyotakaa iwee mkuu c lzm ulee kilichotayar ,unaagizaa unavyotakaa wanakuleteaa hvyo hvyo japo ucpokuwa making wanakupiga,mfn ukiagiza kuku mzma ucpokuwa makin unakuta kuna nyama nyama wanaibaa hvyo kuku anakuwa ajakamilikaa
 
Kuna siku nlikutana na maviungo sijui yalizid spices kibao nkasema siend tena, japo nkaenda tu kwa ajili ya mtoto wa kike... maana wanapenda hiyo kitu
 
C unaagizaa kutokaa na unavyotakaa iwee mkuu c lzm ulee kilichotayar ,unaagizaa unavyotakaa wanakuleteaa hvyo hvyo japo ucpokuwa making wanakupiga,mfn ukiagiza kuku mzma ucpokuwa makin unakuta kuna nyama nyama wanaibaa hvyo kuku anakuwa ajakamilikaa

[emoji23][emoji23][emoji23] wanaiba
 
Back
Top Bottom