Kwanini Tanzania hamna migahawa ya McDonalds?

Kwanini Tanzania hamna migahawa ya McDonalds?

Nmekuelewa ila Sasa KFC mbona anaendelea kufungua
its possible the market isnt that much big or promosing for many service providers, or sometimes giving space to one another,i.e wewe fanya huku na wengine wafanye kule, sometimes different brands/companies but brothers or sisters
 
Mwaka 2015 nilikuwa Uingereza nilikuwa nasafiri kutoka Cambridge kwenda Coventry nikiwa nimepewa lift na kijana mmoja wa Kiingereza, basi tulipita sehemu tukaona kibanda cha McDonalds, nikamwambia yule jamaa kuwa kwetu Tanzania hawa jamaa McDonalds hawapo kabisa! Jamaa alifurahi huku aamini kama nasema kweli, nikamuuliza kwanini amefurahi kusikia vile, akanijibu kuwa " aaah hawa jamaa wanaringa sana na kujidai wako kila mahali hadi kwenye mwezi, kumbe Tanzania hawako!
[emoji23][emoji23][emoji23], Kumbe wazungu nao wana roho km zetu Waafrika.
 
Lakini siyo mac tu kuna taco bell, denny's, etc hawapo Tanzania.

Tatizo kubwa ni watanzania wengi ( 96 percent) ni lower class, hawana uwezo wa kununua big Mac kwa tsh 25k.

Middle class nayo iko hoi toka alipoingia jiwe ilipungua kutoka 30% mpaka 2%
Ishu sio uwezo,ishu ni hobby au interest.Kingine ubahili.
 
Huwa najiuliza kwanini hamna migahawa ya McDonalds maana kama mtaji mbona kuna fast food restaurants nyingine kibao zilizoanzishwa kama Franchise za nje, hasa Dar es salaam... kuna KFC kibao, Subway, Pizza hut akina Mb na nyingine nyingi

Hivi sabab ya kutokuwa na McDonalds ni ipi? nauliza nataka fahamu
Generally, you need a minimum of $500,000 of non-borrowed personal resources to be considered to open a McDonald's franchise. Individuals with additional funds may be better prepared for additional or multi-restaurant opportunities, which McDonald's encourages.2


As of 2021, the initial investment varied from $1,008,000 to $2,214,080, with a liquid cash requirement of $500,000. There is also an initial franchise fee of $45,000.3


In most franchise systems, for the opening of a new franchise location, it is the responsibility of the franchisee to locate a site that meets the franchisor’s standards. It is then approved by the franchisor for the franchisee to develop. McDonald’s is different; it acquires the real estate and constructs the location for you.



Other Requirements to Open a McDonald's​

  • Significant Business Experience:Individuals who have demonstrated successful ownership or management of multiple business units or have managed multiple departments.
  • Rapid Growth: Individuals who possess the capability to grow rapidly with McDonald's.
  • Business Plan: The ability to develop and execute a business plan.
  • Manage Finances Well: Ability to manage finances including a thorough understanding of business financial statements.
  • Good Management Skills:Commitment to personally manage the day-to-day operations of the restaurant business.
 
Tena Bora wasilete hiyo biashara huku ili tufanane..
 
Cha ajabu huko nje wanaokula sehemu hizo ni watu wa kawaida,
Bongo kfc, subway ni wakishuwaa

Ova
Watu maskini, ghetto.
Bongo kuna restaurants nzuri na zenye vyakula vizuri kuliko hayo magharasa.
 
zee zima bado upo kwa mama'ko? Ningekufukuza kabla hujaondoka.
Mtoto kwa mama hakui,sasa nisipokulinda mimi mtoto wako wa kiume akulinde nani?

shida ni ukali wako na ukauzu vingeniondoa nyumbani wala nisingejali utabaki peke ako.
 
Waliwai kuja miaka ya 2000 mwanzaoni, marketing Survey yao iliwaambia kuwa Chips Vumbi ni cheap kuliko Chips zao hivyo awatopata faida- so Wakaamua achana na Deal ya kufunguwa hapa Tanzania! Steers walijaribu na Nandos Wakafirisika na kufunga Virago . Labda sasa kutokana na population ya vijana ni kubwa wanaweza kuja tena! Iwapo mtu anataka funguwa Mac Donald Restaurant anatakiwa awe na kati ya 500M to 1B.
Umenikumbusha Steers pale Milleum Towers 2006 kuna manzi nilipeleka pale kilichoendelea au basi!
 
Kuku wa kfc mimi sioni kama ni watamu Kwa kweli!

Zile ngano zao wanazosiliba kwenye kuku sipendezwi nazo hata kidogo.

Na ndio wanazidi kujieneza Dar matawi kama yote [emoji108][emoji108]
Mwanabodi njoo chips [emoji489] vumbi za Sele Bonge kitaa tuendeleze libeneke hizo achia watz wenzetu waliokaa ng'ambo huko
 
Kuku wa kfc mimi sioni kama ni watamu Kwa kweli!

Zile ngano zao wanazosiliba kwenye kuku sipendezwi nazo hata kidogo.

Na ndio wanazidi kujieneza Dar matawi kama yote [emoji108][emoji108]
Nilidhani ni Mimi Peke yangu. Yale makuku sijui yakoje Ila kuna watu huwaambii kitu kuhusu kuku WA KFC [emoji38]
 
Mtoto kwa mama hakui,sasa nisipokulinda mimi mtoto wako wa kiume akulinde nani?

shida ni ukali wako na ukauzu vingeniondoa nyumbani wala nisingejali utabaki peke ako.
Wanyaturu nyinyi nawajuwa, utalikuta zee la miaka 50 bado lipo nyumbani kwa mama linashindana kugombania nyama na wajukuu.

Mwenye kutulinda ni Allah tu.
 
KFC niliwaagiza kuku mzma wakaletaaa hajatimiaa nikawarudishaaa nayeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣watanzania tulivo itakua ulitegemea kale ka nyama ka matakoni mwa kuku ukaone,shingo na vitu kama hivo
kusema ukweli uTanzania wangu huwa naona kama nitausaliti nikienda kula huko,ila siku nikiwa na mtu akanatak kwenda huko unakuta nipo sehemu ambazo hiyo migahawa hakuna
 
Back
Top Bottom