C unaagizaa kutokaa na unavyotakaa iwee mkuu c lzm ulee kilichotayar ,unaagizaa unavyotakaa wanakuleteaa hvyo hvyo japo ucpokuwa making wanakupiga,mfn ukiagiza kuku mzma ucpokuwa makin unakuta kuna nyama nyama wanaibaa hvyo kuku anakuwa ajakamilikaa
Mpaka kwa Zena mbezi beach ya chini KFC wanafungua tawi open soonest [emoji3][emoji3]
Nikawaza hawa jamaa na kukuwao walojaa ngano halafu hata utamu ni wa kusikilizia wanajuhudi ya kujieneza bongo mpaka basi [emoji3][emoji3][emoji3]
niache kwenda kwa sele bonge ni kafukuzane na KFC,MAC donald.
Juma kiepe ni wekee vya kushiba
Waache wanenepe ni miili yao na machaguo yao!!Afadhali wasiwepo Tz ipunguze idadi ya watu wanene waliopitiliza watakaopata shida ya magonjwa yasiyoambukizwa.
Hapana nipo kawaida tu boss!!Wewe ni mnene nn mkuu
Na kauli hizi hutolewa pia na mashoga yakitaka ku-justify ushoga wao, yakisema yaachwe yafirwe tu maana mikund.u hua Ni Yao.Waache wanenepe ni miili yao na machaguo yao!!
Mada ni unene mkuu. Hatujazungumzia mikunduNa kauli hizi hutolewa pia na mashoga yakitaka ku-justify ushoga wao, yakisema yaachwe yafirwe tu maana mikund.u hua Ni Yao.
Hatuna sifa hamna wateja wa level zake wa kukidhi uwekezaji, its a slum country with poor per capitalHuwa najiuliza kwanini hamna migahawa ya McDonalds maana kama mtaji mbona kuna fast food restaurants nyingine kibao zilizoanzishwa kama Franchise za nje, hasa Dar es salaam... kuna KFC kibao, Subway, Pizza hut akina Mb na nyingine nyingi
Hivi sabab ya kutokuwa na McDonalds ni ipi? nauliza nataka fahamu
Kwanini hauileti wewe? Ni franchise, upo huru. Usingoje kufanyiwa, umeiona fursa ishughulikie.Huwa najiuliza kwanini hamna migahawa ya McDonalds maana kama mtaji mbona kuna fast food restaurants nyingine kibao zilizoanzishwa kama Franchise za nje, hasa Dar es salaam... kuna KFC kibao, Subway, Pizza hut akina Mb na nyingine nyingi
Hivi sabab ya kutokuwa na McDonalds ni ipi? nauliza nataka fahamu
Kwanza wasiliana nao ujuwe vigezo halafu ujuwe ni nini cha kutafuta. Pesa za biashara hazitafutwi, zinakutafuta. Unafikiri kazi za mabenki ni nini?Sawa Faiza ngoja ntafute 1B