Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

We jamaa unahoja ya msingi ila hainizuii kusema umetumwa na wauza na mafundi vioo vya simu
Mimi hajanituma mtu. Na ndio maana nmekuwekea hiyo video uiangalie.
 
Kati ya vitu huwa siwezi kuweka kwenye simu basi ni cover na protector hizo.
Mi simu yang ni simu tuu sio na hayo makolokolo mengi kama jezi ya watani [emoji16][emoji16]
Hahahah watani watakuwashia moto.
 
Wewe ndio umedefine hivyo ila mimi sina maana hiyo.
 
Jitahidi kupunguza vitisho. Watu kama wewe ndio mmefanya watu wanazichukia samsung.

Halafu umekuja na bei zako za ajabu. Dunia ya leo mtu akitaka kupigwa kwa bei kama hizo amejitakia.
 
Ninayo moja ni pambo ndan Samsung kioo 30000 ilikuwa mwaka juz ,nimeenda mwaka huu bei laki mbili na nusu nimeshindwa
Simu gani hiyo. Njoo nikupe 50,000
 
Hapa nahangaika na 350,000 kisa ubishi wa kuweka screen protector. S8+ yangu imekufa kioo
350000 yote hiyo.... Ila wauza spare wanajua kuwanyoosha kwa hizo bei.
 
Pole eeh, halafu bado unashauriwa usiweke protector?
Wewe weka protector. Tena Screen kama hizo za edge. Kajiwe kadogo kakipiga edge biashara imeisha.

Protector inabakia nzima. Kioo kinakuwa kwisha habari yake.
 
Mwenye samsung s10 plus au Note 10 plus iliyokufa kioo aje hapa tufanye biashara.
 
Mi nadhan zinatofautiana ona hii..

Huwa naweka protector ya 10k ambayo all time imenisave sana maana hii ni kama mara ya pili imenisave hapa ninaandika hii text protector ina cracks last week nilibamiza sehem ukiachana na ivyo kuna siku nilisha wai dondosha kabisa protector ndo ilivunjika nikaitoa nakuweka nyingine

Kuna hizi za elfu 2 na elfu 3 hapa siwezi sema chochote maana sina uzoefu nazo. Perhaps ndo unazo ziongelea. Ila za 10k - 15k nina uzoefu nazo zina uimara wake to some extent. Na sitoacha tumia
 
Hizi tecno za siku hizi vioo ni tinted ukiweka li protector simu inakuwa mbaya sana. ..

Tecno yangu haijawekwa kava wala protector, ipo ipo tu na inakoma na hiyo midondoko.
Mtoto mzuri mambo
 
Wabongo kazi kweli

Simu iwe na protector au isiwe nayo ikidondoka itapasuka tu

Siyo kila wakati simu inapodondoka inapasuka! Ni mara ngapi wewe binafsi unadondosha simu bila kuvunjika?
Hata yai linaweza kudondoka na lisipasuke vile vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…