flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 595
- 788
- Thread starter
- #21
wao walitaka wenyewesawa baba tumekusikia naona we mwenzetu ulijileta na unawaona hao waliotumia miaka kadhaa kukufikisha hapo ulipo kama walijipendekeza kwako au wajinga kafunge kabisa baba ili usibebeshe mimba hata kwa bahati mbaya tu