Ukikua utabadili mawazo yako pale utakapoona nyumba yote uko mpweke.Habari
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo.
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20,kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee,kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa.ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi,shoga,muuwaji,gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma.watanicost pesa yangu,mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu,sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?
Maasallam.
Nalendwa
Who the cap fit let them wear it
Maamuzi ya kutokuwa na mtoto ni jambo binafsi.
Mleta mada ameona hivyo ndiyo inampendeza....who am I to tell differently?
I have my opinion but I can't tell people what to think.
Hapo unaona nime-support unamuzi wake kwa sababu naheshimu uhuru wa kuchagua.
Yes I'm pro choice.
Kuhusu wachangiaji wengine (me) kumpinga naweza sema hiyo inasababishwa na patriarchal mentality.
Kwamba watu wote wanapaswa waone maisha kwa mtazamo mmoja tu. That is wrong.....I don't support
Mimi ningekuwa wewe basi ningekunywa sumu nife tu, ya nini kuhangaika na maisha, hiyo productivity unayoitaka is for what? Ukipata hizo mali mwisho wa siku ziende wapi? Kwa nini ujihangaishe?
Huo sasa ndo ujinga wenyewe yaani upoteze nguvu zako kwa ajili ya wengine wenye mahitaji.Mali lazima ziende kwa watoto ama ndugu tu?!, anaweza kusaidia wengine pia wenye Mahitaji.
Huo sasa ndo ujinga wenyewe yaani upoteze nguvu zako kwa ajili ya wengine wenye mahitaji.
Mwanaume hazai jombaa!Kwani nilichagua kuja duniani?wao si ndo walikua na malengo na mimi?na mimi kutozaa ndio malengo yangu.
Nimependa hapo umesema "I thought you were a little conservative especially when it comes to traditional values"That's good Mwelewa, nimependa sana hapo pa Pro-choice.
Kwa kweli hili ni ISSUE kwenye jamii yetu kama ulivyosema, ambayo mostly jamii inakuwa controlled by a certain group or a certain Idea. Ni tatizo haswa cos wakitokea watu kama flamini wanaonekana wana kasoro, wakati ni kawaida kwa mwanadamu kuwa na desire.
Kitu kingine.
From some 'reads' I thought you were a little conservative, especially when it comes to traditional values. That's why I wanted to hear more about this from you, but you're mixed, which is good.

Nimependa hapo umesema "I thought you were a little conservative especially when it comes to traditional values"
That line made me smile
Yes baadhi ya maoni yangu ni "conservative" kuhusu mambo mengi tu ya kijamii. Nashikilia msimamo huu nikiwa na lengo moja kutetea maslahi ya watu wangu. African people.
Nafahamu siwezi kuwa sawa wakati wote.....so I'm always open to new ideas, opinions.
Lakini inapokuja uhuru wa mtu kuchagua mambo binafsi kamwe sitajaribu kumzuia as long as no harm is done
Habari
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo.
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20,kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
MAMA AKO ANGESEMA HIVYO UNGEKUWA HAI LEO?
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee,kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa.ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi,shoga,muuwaji,gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
BABA AKO ANGESEMA HIVYO UNGEKUWA HAI LEO
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma.watanicost pesa yangu,mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu
MBWA WEWE
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu,sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?
Maasallam.
Nimependa hiiBaada ya kutafuta muda mrefuuu na kukosa umeamua kujifariji.
Mzazi wako angefanya hivyo ungekuwepo wewe? Huo ni ubinafsi na uoga wa maisha.Habari
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo.
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20,kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee,kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa.ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi,shoga,muuwaji,gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma.watanicost pesa yangu,mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu,sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?
Maasallam.
Mzazi wangu yeye ndio alikua ana shida na malengo na mimi ndio maana akanileta,mimi sina malengo na mtoto kuna haja ya kumleta?Mzazi wako angefanya hivyo ungekuwepo wewe? Huo ni ubinafsi na uoga wa maisha.
Vv
sawaHabari