Kwanini sitaki kupata mtoto

Kwanini sitaki kupata mtoto

haya kaka kila la heri katika zoez lako.
mana hilo ndilo chaguo lako na kila mmoja na mtazamo wake katika hilo.
sasa kwanini ulimtukana tena kwakauli Kali ..wakati umeonyesha kutambua Uhuru wake ktk hiyo sentensi yko ya mwisho
 
Afya ya akili ni kuwa na uwezo na maamuzi binafsi na kuwa na tabia za kawaida kama watu wengine na kuweza kujitambua wewe binafsi ni nani.
Ukiwa na akili timamu kabisa swala la kuwa na familia lazima utalitarajia tuu na utapenda iwe hvyo na si vinginevyo,lkn kama ni kinyume chake basi kuna tatizo ktk akili (si tusi) kwa kuwa umewaza yale ambayo katka jamii ya kawaida hayapo.
Huwa inasababishwa na mengi lkn jaribu kaa na kufikiria usahihi wa maamhzi yako.
Kiukweli kabisa unahitaji msaada kusaikolojia kuondokana na hiyo hali.
Nikola Tesla siwamjua mkuu ..!?
hiyo Simu unayoitumia kucomment hapa inatumia Umeme kufanikisha hilo ..na Umeme tunaoutumia ni zao LA akili aliyowahi kuwa nayo Tesla ..huyo gwiji hkuwahi kuwa na familia ..mpka alipokufa ..haya watuambiaje huyo nae alikuwa ni chizi !!?
 
Sidhani kama watanzania watakuelewa, nimekuelewa sana.
mimi mwenyewe nimemuelewa mnooo..
nachukia mnoo kuwa na familia kisha ukashindwa kuipa huduma bora zote ambazo walipaswa kuzipata..mwisho wasiku watoto wanakutana na maisha yenye hali ngumu inayoambatana na majuto yliyopitiliza mpka wanaanza kulaani kwanini wazazi hamkutumia condom
 
huna makosa mkuu ..uko sahihi kabisa ..kwanza wazazi wako wewe ulikuwa huwajui nawala hukuwa nampngo wakuwajua ama kuja duniani. yaani in short hukuwa nashida hiyo...nimipngo yao wenywe binafsi iliyosabbisha kukuzaa kama hvyo ulivyosema
Nashkuru kwa kunielewa mkuu,yes ni mipango yao wala hawakunishirikisha
 
sasa kwanini ulimtukana tena kwakauli Kali ..wakati umeonyesha kutambua Uhuru wake ktk hiyo sentensi yko ya mwisho
Haha mwanzoni alinitukana sababu alitumia hisia zaidi baada ya kuanza kutumia logic nadhani ndio akanielewa ninamaanisha nini
 
Mleta mada hayo maneno kamwambie alokuumba sio sisi...sisi hatujakupa kikojoleo...alokupa mwambie akufanye khanithi sawa mkuu...
 
Iwe uko sahihi au usiwe sahihi,mie nimependa MSIMAMO wako na ulivyoweka wazi jambo lililoko moyoni mwako.

Wewe ni He au she?kuwa mkweli utanisaidia kitu
 
Wenzenu wengi hawajam support, how come you're?, from a man's perspective!..
Nalendwa

Who the cap fit let them wear it

Maamuzi ya kutokuwa na mtoto ni jambo binafsi.

Mleta mada ameona hivyo ndiyo inampendeza....who am I to tell differently?

I have my opinion but I can't tell people what to think.

Hapo unaona nime-support unamuzi wake kwa sababu naheshimu uhuru wa kuchagua.

Yes I'm pro choice.

Kuhusu wachangiaji wengine (me) kumpinga naweza sema hiyo inasababishwa na patriarchal mentality.

Kwamba watu wote wanapaswa waone maisha kwa mtazamo mmoja tu. That is wrong.....I don't support
 
Kila mtu angewaza na kuishi kama unavyonena hii dunia kungebakia mijusi tu
 
Nalendwa

Who the cape fit let them wear it

Nashukuru kwa kuheshimu na kunielewa mawazo yangu.
 
Kwani nilichagua kuja duniani?wao si ndo walikua na malengo na mimi?na mimi kutozaa ndio malengo yangu.
Infact ultokea tu bahati mbaya wazee walkuw na starehe zao.
 
Kila mtu angewaza na kuishi kama unavyonena hii dunia kungebakia mijusi tu
Kwahiyo kila mtu azae hata kama hafit kua mzaz?i?sisi ni wanyama tuliopewa free will(choices)na akili na muumba wetu tofauti na wanyama wengine ambao hawana uwezo.tutumia choices zetu vizuri bila kumuathiri mtu au kumkasirisha muumba wetu.
 
Back
Top Bottom