Kwanini sitaki kupata mtoto

sawa baba tumekusikia naona we mwenzetu ulijileta na unawaona hao waliotumia miaka kadhaa kukufikisha hapo ulipo kama walijipendekeza kwako au wajinga kafunge kabisa baba ili usibebeshe mimba hata kwa bahati mbaya tu
wao walitaka wenyewe
 
Maisha hayatabiriki,wazazi wetu walipotuzaa waliexpect vingi kutoka kwetu mwisho wa siku tumekua ndivyo sivyo,unaweza ukazaa ukapata hasara tu na ukajuta kuzaa..mtoto anatia faraja akiwa mchanga tu sababu kinaonekana cute lakini kadri anavyokua unategemea bahati tu atakuaje.

Kwa mimi najiona siwezi kua baba sahihi nimeamua bora yaishe
 
Kwanini ujipe utegemezi usiotabirika?unaweza ukaicha familia inahangaika wakati ushakufa.mi nakubali sababu hizo ila sio lazima kila mwanadamu awe na mtoto
 
sawa baba tumekusikia naona we mwenzetu ulijileta na unawaona hao waliotumia miaka kadhaa kukufikisha hapo ulipo kama walijipendekeza kwako au wajinga kafunge kabisa baba ili usibebeshe mimba hata kwa bahati mbaya tu
Yes mimi sikutaka kuja,wao na malengo pamoja na mahitaji yao ndo yalifanya mimi nipatikane kwa ajili ya furaha yao.
 
sawa baba tumekusikia naona we mwenzetu ulijileta na unawaona hao waliotumia miaka kadhaa kukufikisha hapo ulipo kama walijipendekeza kwako au wajinga kafunge kabisa baba ili usibebeshe mimba hata kwa bahati mbaya tu
Unaweza kukuta jamaa ni hanithi anajifariji tu hapa...

Shkamoo Blue G
 
Ilipo hazina yako ndipo na moyo wako ulipo.
 
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?

Ungeweka na namba zako kwani twajua wewe ni pungaaaal la Bwabwaaaaall. Mzazi wako naye angelisema uliyosema wadhani ungeliandikia wapi huu upupu?? Halafu wajifanya mdhungu, kumbe ndo hao hao waliokuharibu kwa kukukirimisha
 
Wewe vp?kwani mimi nilimlazimisha anilete duniani?mimi nilitaka anizae?si kwa mapenzi yake na hitajio lake?nachosema kuzaa au kutokuzaa ni uamuzi binafsi lakini sio lazma uzae ndo uishi kwa furaha duniani..tuheshimu na tuzikubali tofauti zetu
 
Hakuna mtoto mbaya wa moja kwa moja hivi hujawahi ona mwizi anaiba anachomwa moto kwa ajiri ya kusaidia wazazi wake.......
 
Kuzaa sio kupata.nimejionea mwenyewe unaweza kuzaa mtoto akawa sivyo ulivotegemea unabaki kuvumilia tu na kumpenda hivo hivo sababu huwezi kumrudisha tena..sikatai watoto wana faida unaweza ukazaa mtoto akawa bora na mwenye msaada kwako na jamaa ila ni bahati nasibu kama kucheza biko hujui utapata au kukosa
 
Wewe vp?kwani mimi nilimlazimisha anilete duniani?mimi nilitaka anizae?si kwa mapenzi yake na hitajio lake?nachosema kuzaa au kutokuzaa ni uamuzi binafsi lakini sio lazma uzae ndo uishi kwa furaha duniani..tuheshimu na tuzikubali tofauti zetu

Ndo maana nkasema; Mleta uzi ni lazima atakuwa bwabwaaaa. Hayo ndio mlienda kuiga hukoo ughaibuni. Kwa kuwa mlipelekwa kwa pesa za kodi yetu kifisadi fisadi, hayo ndo matokeo ya laana. Hata ukimtamani mtoto sasa baasi, weshaunguzwa na mambegu viza
 
Ukizeeka ukaumwa uko peke yako na mimali yako huna wakuwa karibu na wewe hata kukufariji utaziambia hizo mali zikufariji na kukusaidia.

Watu kama nyie wengi huishia kujiua
 
Haha unaweza ukawa na watoto pia na hata mtoto mmoja wa kukufariji ukamkosa pia..trust me vyote vinawezekana kabisaaa
 
Sawa kaka kila mtu na maamuzi yake maishani. Ukishaamua hakuna wakukupangia. All the best. Usije kujuta hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…