Kwanini Sipendi 'Vi-Baby Walker' !

Kwanini Sipendi 'Vi-Baby Walker' !

wewe vits yako cc950 tu baki nayo hapa hapa posta mwenge.....huko mkoa utapulizwa na abood utumbukie darajani ruvu!!!!!!

mmmh sijaelewa haya maneno? kwa hiyo vitz abood anaruhusiwa kutupuliza haya bwana?.... kwa hiyo cc ndiyo nini sasa?
 
Bhana kunao watu wana roho ngumu niliwahi kukutana na moja jamaa anatoka Kahama anenda Dar!!!

aisee!!! ila ukishazoea unaweza kwenda nacho hata jo'burg!!! usalama mdogo sana
 
Mkuu hilo jini tukisafiri safari na ka baby walker nafikiri mafuta hatupishani sana .

kwa safari huwa majini yako vizuri ila kimara posta jumatatu saa moja na nusu asubuhi!!!!! bado sana
 
aisee!!! ila ukishazoea unaweza kwenda nacho hata jo'burg!!! usalama mdogo sana

Yataka moyo haswaaa!!!!
Pamoja na uoga binafsi ila nadhani umbali kutoka bumper mpaka kwa dash board unaweza saidia kama likitokea la kutokea!!!!
Kuna jamaa marehemu hivi sasa alipata ajali na hii gari alivunjika sana miguu, nikaogopa zaid!!!
 
kwenye SAFETY baby walker ziko nyuma sana....hii ni kwa sababu ya kubana matumizi ili visiwe vizito waweze kupata miles/gallon kubwa....na ukiweka factor hio ya kuwa na pua flat,kikiminywa tu bati zishakufikia tumboni!!!!!!!!!!!
 
Nakikubali ki beemer mini cooper!!!
Sio kwa safari lakini
 
Nakikubali ki beemer mini cooper!!!
Sio kwa safari lakini

kile ki-beast.......ukija na gx110/altezza yako kinakutoa nishai....na kinakamata barabara balaa!!!!
 
na hapo nimetoa angalizo...je nisingetoa angalizo??!! hivi ukisafiri na kivitz zile abood au mohamed trans ukipishana nayo inakuwaje???!!!

Inahitaji ujasiri na dereva mzuri vinginevyo ni mweleka tu.
 
Endeleen kunengeneka tu na magari sijui yanayotumia CC ngapi sijui... saa hvi ninasubiria naa yale yanayotumia maji ya bahari (salt water) ambapo yameithinishwa majuzi kutumika sehemu yote ya Europe yaanze pia kuja Africa
 
Back
Top Bottom