RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,273
- 138,738
Kwanza kabisa,ningependa kusema sidharau 'baby walkers' ila sivipendi na nitaweka sababu zangu kwanini sivipendi. Kwa wale wasiojua baby walkers ni zile gari ndogo,maarufu sana miongoni mwa akina dada[wapo wakaka pia wanaendesha].
Gari hizi kama toyota vits,ist,passo...suzuki swift,nissan march na nyinginezo. Nyingi zina cc900-1400 kama pikipiki tu hivyo vinatumia mafuta vizuri sana.
Sababu kuu kwanini sipendi vi-baby walker ni hizi:
1.HAVINA NAFASI YA KUTOSHA NDANI:hivi vigari ni vidogo sana kiasi kwamba nikikaa humo ndani nahisi kuwa nimebanwa! Pia mimi ni mtu wa kubeba beba maboksi sana nikiweka boksi tatu tu kameshajaa!
2.ENGINE HAINA NGUVU:kama nilivyosema hapo juu,engine za vigari hivi ni ndogo kwa hio havina nguvu,maana yake ni kuwa nikitaka kusafiri inabidi nitumie gari ingine kubwa[uwezo wa gari zaidi ya moja sina]. Au ukisafiri nacho inabidi ukubali sana kuonewa barabara kwani speed 120 utaipata kwa shida na umbali mrefu na mimi mwendo wangu highway ni 120-140 kwa gari kubwa mwendo huu inatumia mafuta kidogo sana ila kwa 'baby walker' kitakunywa wese hadi utasema kuna hitilafu!!!!!
3.KITANIFANYA NIJISAHAU:hapa nina maana ukiwa na kigari hiki huna challenge sana kwenye mafuta,10,000 tu utatembea hadi uchoke sasa nikiwa na engine kubwa inanipa changamoto ya kutafuta hela ya mafuta kwa nguvu!
4.DISCIPLINE:gari kubwa inanifanya niwe na discipline kwenye mafuta,safari za kijingajinga huwa sifanyi,nakwenda kwenye ratiba zangu tu....lakini ukiwa na kibaby walker kila sehemu najikuta naenda na gari matokeo yake unatumia mafuta mengi bila sababu.
Ila sio siri kuna time mambo yanabana huwa natamani ningekuwa na ki-babywalker!!!!!!
N.B: Gari kubwa kwangu ni cc1800-2500....yale ya cc3000 au 4000 kwangu ni MAJINI SIO MAGARI
CC: MANI OLESAIDIMU Kaizer

Last edited by a moderator: