miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Dada mbona wewe msanii mie nakusalimia unaitikia kinyume na salamu.?:cool2:
Jaman kaka basi nisamehe
Dada mbona wewe msanii mie nakusalimia unaitikia kinyume na salamu.?:cool2:
Haha! basi sawa dada nimekusamehe bureee.Jaman kaka basi nisamehe
Haha! basi sawa dada nimekusamehe bureee.
Kaka nilimtahadharisha mapemaaa....a
We are just having fun here lakini wengine wanatake a big deal out of it...wengine ndo tunayajua magari kama fundi gereji tu hata hatuyamiliki ila imeshaonekana OLESAIDIMU unataka free K
Kaaz kweli kweli
Cc RRONDO
Kuna gari CC 4650 hapa, speed yake utaipenda.
Gari gani hiyo mkuu??!!
Fuso??!!
Kaka nilimuuliza ili ayataje sababu watu wanasukuma!!!toyota landcruiser amazon ipo ya cc4700.......bmw,vw,lr rr zipo hadi cc5000 mkuu....kuendesha hizo gari ni kama unatembea umebeba 500,000 mfukoni halafu mfuko umetoboka kila hatua moja inadondoka coin ya 500,piga hesabu mwenge posta zimedondoka ngapi????
Haya magari hayana balance kabisa yanatumia leaf spring mbele na nyuma inabidi uwe mwangalifu kwenye kona.
Haya magari hayana balance kabisa yanatumia leaf spring mbele na nyuma inabidi uwe mwangalifu kwenye kona.
Milioni 6 unapata bajaji labda, sio gariMimi sijanunua hata vitz bado... na boda boda yangu ndiyo nampango kinikusanyie kiniletee gari ya milion 6 basi
Rrondo vp naomba maelezo ya kitalaamu ya 2007 VW GOLF MK5 1.6FSI kabla sijajilipuaMkuu umefukua kaburi...kuna mtu ali-hack account yangu....sio mimi nilieandika hii