Hujui na huna weledi na unachokiongea. Mf nenda nchi za wenzetu uone uwiano wa magari makubwa na madogo kwa mjini, utashangaa mf china, india, korea, israel, etc.
Sisi wengi wetu tunaishi kwa kupenda sifa tu lakin hakuna ulazima wewe unatoka posta kwenda mwenge then uhitaje 4x4?
Kwani unahitaji gari yenye nguvu gani kwa town trips?
Issue ya nafasi ni kweli nakjbaliana na wewe, na ulisearch utaona uzi unaoelezea namna ya kununua gari kulingana na mahitaji yako.
Lazima ujiulize unahitaji gari ya aina ipi kutokana na shuguri zako, ukubwa wa familia, kipato chako etc same kwenye simu heheheeee utakuta mtu anamiliki smart phone wakat hata shuguri zake hazihitaji internet wala email hahahaaaa au unakuta mtu anaenda shamban na vits au starlet etc.