Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

"Your feelings of guilt or hesitancy in a desire to explore multiple relationships is a calculated result of a very effective social conditioning with a latent purpose meant to curb a natural impulse." - Book 1, Rationale Male
 
Huwa unavaaje mkuu ? Au unavaa suruali nyekundu/kijani zinazong'aa+4 corner nyeupee? Huenda ndiyo sababu badilisha anza kuvaa Cadets/shirts, jeans kidogo zisibane sanaa+Tshirts utaleta mrejesho mkuu.
Asisahau jeans kali kwa t-shirt au shati makini plus raba fulani amazing na kausafiri simple sio lazima gari mm napendelea baiskeli sports inafanya niwe flexible na nafanya mazoezi
Kutumia gari utapata wale mnaoishi jirani wanaikufahamu tofauti na hapo watakuwa viluka njia au Malaya coz gari inakunyima flexibility hata ukiona demu chocho huwezi fukuzia na gari ndio maana kwangu bic ni my best friend
 

Mkuu baiskeli ni Opportunity cost Mkuu!
Over
 
Tatizo unamuapproach demu kwa aHadi za kuoa....kimsingi hakuna mwanamke matured ambaebhana bwana...huwa tunawaomba tiwagegede Kisha wakikolea wanahamia upande huu....

Pili tafuta pesa
 
Tafuta pesa
Tatizo sio pesa bali mleta mada ni msiri sana, akimtaka demu hataki jamii iliyomzunguka ijue anashindwa kuelewa kuwa wengine uliwa kimasihara tu, vile vile mleta mada yuko serious sana mtaani hataki kashfa yoyote ile, sasa kama kajiweka hivo hata akiwa na pesa hali itaendelea kuwa hiyohiyo.
 
Yeye anatongoza siku 1 na sikuhiyohiyo anataka mzigo, hajui kuwa me wanasotea mpka miaka 2, na kila siku salamu ni maaaambo! na unaishia hapo hauongezi neno jingine.
 
Mkuu naomba hiki kitabu nimekuwa nakitumia kanuni zake bila kukisoma sasa nataka kuki-internalize kabisa kindly email me kwa tunzo8831@gmail.com
 
Kuhusu hili la sumaku [emoji23][emoji23][emoji23] sina uhakika nalo labda wanajamvi wetupe uzoefu kama kweli sumaku hujitokezaa baadàa ya kupita kwa wawili watatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu baiskeli ni Opportunity cost Mkuu!
Over
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] inategemeana aina ya baiskeli na muonekano wako,,mimi binafsi weekend baiskeli sports ndio Kila kitu ,bic ni shida kama una shida maana kifupi kazi ya bic ni kufanyia mazoezi na sio ya kwenda nayo Kila mahali utaumbuka just fanyia shanting ndogo ndogo dizaini ya mazoezi

Pili huyu jamaa kama anataka mke avae casual smart au casual executive hasa maeneo ya kaxini na kanisani ili azoeane na wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…