Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

"Your feelings of guilt or hesitancy in a desire to explore multiple relationships is a calculated result of a very effective social conditioning with a latent purpose meant to curb a natural impulse." - Book 1, Rationale Male
 
Huwa unavaaje mkuu ? Au unavaa suruali nyekundu/kijani zinazong'aa+4 corner nyeupee? Huenda ndiyo sababu badilisha anza kuvaa Cadets/shirts, jeans kidogo zisibane sanaa+Tshirts utaleta mrejesho mkuu.
Asisahau jeans kali kwa t-shirt au shati makini plus raba fulani amazing na kausafiri simple sio lazima gari mm napendelea baiskeli sports inafanya niwe flexible na nafanya mazoezi
Kutumia gari utapata wale mnaoishi jirani wanaikufahamu tofauti na hapo watakuwa viluka njia au Malaya coz gari inakunyima flexibility hata ukiona demu chocho huwezi fukuzia na gari ndio maana kwangu bic ni my best friend
 
Asisahau jeans kali kwa t-shirt au shati makini plus raba fulani amazing na kausafiri simple sio lazima gari mm napendelea baiskeli sports inafanya niwe flexible na nafanya mazoezi
Kutumia gari utapata wale mnaoishi jirani wanaikufahamu tofauti na hapo watakuwa viluka njia au Malaya coz gari inakunyima flexibility hata ukiona demu chocho huwezi fukuzia na gari ndio maana kwangu bic ni my best friend

Mkuu baiskeli ni Opportunity cost Mkuu!
Over
 
Nina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi".

Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku.

Nikiwa na hamu ya tendo mpaka "ninunue"

Nimekuwa natafuta mwanamke wa kuoa lakini kila msichana ninayemuapproch hunijibu "nina mtu wangu". Sasa najiuliza Mbona hawa wanawake kutwa wanalalamika hawaolewi? Wakati kila mtu ana mtu wake?

Huwa nashangaa ninavyosikia mademu wa kihaya na warangi kuwa warahisi sana.. Mbona mimi nawaona wagumu hasa wahaya kuna mmoja nilitongoza juzi kanichimba mkwara nisimfatefate.

Inaniuma sana wadau kuona "mazwazwa" wanamiliki pisi kali huko mitaani halafu mimi mzee wa kazi a.k.a ngoma ngumu nabaki kubambia mito usiku.

Je, hii ni kawaida au ni mimi tu niko "as a special case".

Naombeni ushauri wadau nifanye nini? Maana wanawake wazuri wote wameshachukuliwa na wajanja na wanawazalisha tu.

Au nijaribu Kenya na Rwanda?

Inaniuma sana!
Tatizo unamuapproach demu kwa aHadi za kuoa....kimsingi hakuna mwanamke matured ambaebhana bwana...huwa tunawaomba tiwagegede Kisha wakikolea wanahamia upande huu....

Pili tafuta pesa
 
Tafuta pesa
Tatizo sio pesa bali mleta mada ni msiri sana, akimtaka demu hataki jamii iliyomzunguka ijue anashindwa kuelewa kuwa wengine uliwa kimasihara tu, vile vile mleta mada yuko serious sana mtaani hataki kashfa yoyote ile, sasa kama kajiweka hivo hata akiwa na pesa hali itaendelea kuwa hiyohiyo.
 
Ukiwa unatongoza hakuna mwanamke atakaekuamhia yuko peke yake never, Halafu na wewe usimuulize kama una mtu au huna na hata kama akikuambia ana mtu we endelea kufukuzia tu uone kama utachomoa, mtumie vizawadi, mtumie vocha kama unaweza fasta unachukua zigo
Yeye anatongoza siku 1 na sikuhiyohiyo anataka mzigo, hajui kuwa me wanasotea mpka miaka 2, na kila siku salamu ni maaaambo! na unaishia hapo hauongezi neno jingine.
 
Hahahaaa kosa lako kubwa sana unalolifanya unakuwa very desperate around them, women can smell desperation from miles away.

Ever wondered why it is easier to add a fourth girlfriend than a first one? Because at that point you don't care about her response. That don't care attitude gets ladies turned on.

Mwambie manzi yeyote umtakaye mkutane place X for nyama choma and imply that you expect sex soon. In my years as a fisi I have concluded that women like men that other women want. It is 100 times easier to get a third sidechick than a first one.

In my experience, if a woman knows that you have other side chics, hamtasumbuana. She will join that list with minimal resistance because that's how their brains work.
Mkuu naomba hiki kitabu nimekuwa nakitumia kanuni zake bila kukisoma sasa nataka kuki-internalize kabisa kindly email me kwa tunzo8831@gmail.com
 
Mkuu isijekuwa pale ulipokuwa nae zamani Mmoja akakuona una kibamia anakusema anawaambia wenzake kwahiyo kila unaekutana nae anakukimbia mkuu...
Hahaha joking kaka!
Au wale wanawake wa Kulipia huenda wamekuekea kitu ili uwe unarudi Kwao..
Kwa kuanzia inaonekana wewe ni Msomi (Graduate na Una Kazi yako)
Hivyo unataka wa kuendana na wewe...
Sasa anzia wa chini kwanza hata Mfanya usafi
Ukishatafuna utapata mvuto(Sumaku)flani watakuwa wanakuja wenyewe
Kuhusu hili la sumaku sina uhakika nalo labda wanajamvi wetupe uzoefu kama kweli sumaku hujitokezaa baadàa ya kupita kwa wawili watatu
 
Mkuu baiskeli ni Opportunity cost Mkuu!
Over
inategemeana aina ya baiskeli na muonekano wako,,mimi binafsi weekend baiskeli sports ndio Kila kitu ,bic ni shida kama una shida maana kifupi kazi ya bic ni kufanyia mazoezi na sio ya kwenda nayo Kila mahali utaumbuka just fanyia shanting ndogo ndogo dizaini ya mazoezi

Pili huyu jamaa kama anataka mke avae casual smart au casual executive hasa maeneo ya kaxini na kanisani ili azoeane na wadada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom