Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 790
- 1,961
- Thread starter
- #41
Hapana kaka tusifike huko.. Naomba ushauri wako kutokana na uzoefu wako!Kha! Hebu tuma picha yako tukuone inawezekana mwenzetu sio binadamu wa kawaida, una mapembe labda
Hapana kaka tusifike huko.. Naomba ushauri wako kutokana na uzoefu wako!Kha! Hebu tuma picha yako tukuone inawezekana mwenzetu sio binadamu wa kawaida, una mapembe labda
Kaka hili jambo nimelifikiria sana.. Yani uko kwenye mawazo yangu!Isije ikawa wamekupiga Juju/ kipapai sali sala ya kuondoa nuksi, rekebisha mavazi unayovaa, jitazame jinsi unavyoongea.
Kaka unataka niendelee kubambia godoro?Ucha uzuzu upande wapili huku ni kubayaa baki special case
Mimi ni dada, hebu njoo unitongoze tuone kama nitakukataaHapana kaka tusifike huko.. Naomba ushauri wako kutokana na uzoefu wako!
Kuvaa unajua lakini? Au still unavaa midosho ya suprana mnyonyo mweupe kama Diamond wa nenda kamwambie..


izi pigo wanavaa sana wasandawe na warangiBasi watakua wameambiza kuwa hauna maajabuHela ninazo lakini mbona hawajitongozeshi?
😀😀😀😀 Miaka 40 !!!!..unajisifu ujingaTafuta mtu mnayrfanana, pengine unaenda kwa high class. Mm nawabadilisha nitakavyo nina 40yrs. Kama huna hela boss kila mwanamke shemejiyo. Mi hadi 18 yrs nakula
Au una sura ngumu kama Mchawi?Navaa kawaida tu!
Mbona kuna washamba hata kuvaa hawajui wanakamata pisi kali..
Baadhi ya nyuzi za kufungia mwaka 2020 zinachekesha sana😀Nina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi".
Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku.
Nikiwa na hamu ya tendo mpaka "ninunue"
Nimekuwa natafuta mwanamke wa kuoa lakini kila msichana ninayemuapproch hunijibu "nina mtu wangu". Sasa najiuliza Mbona hawa wanawake kutwa wanalalamika hawaolewi? Wakati kila mtu ana mtu wake?
Huwa nashangaa ninavyosikia mademu wa kihaya na warangi kuwa warahisi sana.. Mbona mimi nawaona wagumu hasa wahaya kuna mmoja nilitongoza juzi kanichimba mkwara nisimfatefate.
Inaniuma sana wadau kuona "mazwazwa" wanamiliki pisi kali huko mitaani halafu mimi mzee wa kazi a.k.a ngoma ngumu nabaki kubambia mito usiku.
Je, hii ni kawaida au ni mimi tu niko "as a special case".
Naombeni ushauri wadau nifanye nini? Maana wanawake wazuri wote wameshachukuliwa na wajanja na wanawazalisha tu.
Au nijaribu Kenya na Rwanda?
Inaniuma sana!
Nilitaka kumshauri hivi lakini nikaona ww umesema mimi nakupigia makofiKuwa buzzy na mambo mengne, mapenzi kwako sio priority,
Maisha lazima yaendelee.
Mara nyingi wanakuwa na watu wao kweli.
Umri wa kuwa na vijukuu huo....watu bdo wanadanga😅😂😀😀😀😀 Miaka 40 !!!!..unajisifu ujinga