Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Mkuu kwanza unaonekana ww ni mkimya sana na pia unahulka ya uoga.

Kuwa mchangamfu na mcheshi......

Kingine wanawake mbona wengi tu....ona sasa.

Demu ongea nae kwa kujiamini.....
Mfano mimi nina uwezo wa kuonana na demu mpya tukalana siku hiyo hiyo ya kwanza....nikichelewa ni week hiyo hiyo au mwezi kama atakuwa wa mambo mengi.

Demu ukikutana naye mfano tuseme anauza duka au ni mama ntilie yaani hawa wa kawaida, umemuona muite hivi, yeye tuseme ni Fatuma na wewe mfano ni Musa.
Musa: Mambo zako.
Fatuma: poa.
Musa: samahani mi naitwa Musa wewe unaitwa nani (anaweza akajibu au asijibu kweli)
Fatuma: nikusaidie nini??
Musa: Unajua nimeuliza hivo maana nina zawadi special kwako mtoto mzuri ukishanihudumia, kwanza mi mgeni mtaa huu nataka uwe mwenyeji wangu ukizingatia unaonekana mpole na mkarimu.
Fatuma: hahaha umejuaje sasa.
Musa: nitakuambia naomba soda baridi, afu chenchi baki nayo nitahijia siku ingine.

Alafu emu mara andika namba (mpe simu)
Au
Mwite demu mweke zero distance anza kumuongelea sauti ya chini na umshike shike mkono au nywele huku ukimpa stori nzuri na namba aandike.
Au
Mvizie demu mida mibovu akirudi nyumbani alafu mtokee.
 
Back
Top Bottom