huyu mwamba kuna pahala anafeli sio bure.Wenzako wanawaiba kutoka kwa watu wao. Unafeli sana bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe chizi kweli.Kuvaa unajua lakini? Au still unavaa midosho ya supra[emoji16] na mnyonyo mweupe kama Diamond wa nenda kamwambie..
Ukiwa na hela watajitongozesha
Kaka nawaiba vipi wakati hawanitaki hata namba sipewi?Wenzako wanawaiba kutoka kwa watu wao. Unafeli sana bwana
Acha ubahili kwanza
😁😁😁🙌🙌🙌Inawezekana una swagger za kishamba alafu unataka watoto wa mjini, ndio wale mnatongoza kwa kusema nataka uwe mchumba wangu nikuoe.
Hata namba sipewiwanakukataa bila ya kukuomba hela? kweli hapo kuna tatizo!
Huo ndio ukweli ndugu yangu!Yaani ulivyomalizia Mimi ndio nimechoka
Eti inauma Sana 😀😀
Endelea kujieka wazi kwenye huu uzi wako ,Mungu anaweza kukuona humuhumu JF ukajipatia mwenza[emoji28]Mimi ni mtu wa kutumia man! Sio bahili kabisa!
Unawaita wanaume wenzako washamba?Kaka siendi kwa high class wala nini, ni hawa hawa wa mtaani wanaoliwa na washamba.. ila mimi nabaniwa
Kha! Hebu tuma picha yako tukuone inawezekana mwenzetu sio binadamu wa kawaida, una mapembe labdaKaka nawaiba vipi wakati hawanitaki hata namba sipewi?
Nautafasiri huu Uzi tofauti na wachangiaji wengine Naona Kama unadanganya hiviHuo ndio ukweli ndugu yangu!
Unawaita wanaume wenzako washamba?
Unaonekana una dharau sana na nyodo za kifala
Hapana kaka sina sababu ya kudanganya nimeweka uzi ila nipate ushauri labda nakosea sehemuMimi
Nautafasiri huu Uzi tofauti na wachangiaji wengine Naona Kama unadanganya hivi