Hapana kaka.. sina uoga kwenye kutongoza ila sifanikiwi kung'oa
Mkuu ulichoandika ni Ukweli 100%
Wengi wamepitia huko haswa waliosoma seminari na walio na mageti makali!
Pia waliozoea kupiga Punyeto!
Hebu jaribu kutembea mkoa wa mbali katongkze wakikukataa huna nomaa unarudi Dar kama unakaa dar,Jaribu jwenda viwanja vigeni!
Hata mimi niko kama wewe mkuu kuwaogopa hawa viumbe!
Haswa kupigwa chini,Hawa viumbe hawapendi Papara wala haraka!
Cha Msingi we mwambie tuu unampenda ungependa awe rafiki yako,anzia hapo kwanzaomba number then mnakuwa mnawassiliana,
Na katika maingezi yenu ya wali tafiti au jitahidi kujua anapenda story zipi!ili asiwe bored na wewe!
Wengine hawapendi kutoa number kabisa mwanzoni,
Kama kweli umempenda mpe number zako mwambie wewe unapatikana wapi!
Atajua namna ya kukutafuta hata kama amekunyima siku hiyo..
Ila hakikisha siku hiyo kuna kitu amekifurahia cha kuweka alama toka kwako ktk maongezi,
Lazima una kitu unique...Wanawake wengi wanapenda story ila usizidishe!
Mnunulie chochote,kulingana na wakati,
Mwalike kwa Lunch akipata nafasi!
Msifie umependa nini kwake!
Haswa vitu vya nje!