sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,764
Umeongea ukweli mchunguiPhone Hana cha kumzidi Samsung na Sony au LG zaidi ya security.....
Unanunua simu ya ml 2 halafu mipaka ya matumizi wanakupangia ....huo utumwa sikubaliani nao.
Siku hizi simu zinafanya mambo mengi karibia uwezo wa PC, lakini sio za iPhone.