Nilishakueleza hapo juu kwamba havitoshi kuna matumizi kibao ambayo yanahitaji zaidi processor yenye nguvu na ram kubwa, pia kuna vitu kama multitasking vinahitaji as much ram as possible same kwenye emulation.
Kaangalie video za fortinite kote kwenye android na ios game linalag kama halina akili nzuri sababu simu hazina uwezo, then leo hii unasema hizo specs hazihitajiki?
Sababu tu hakuna breakthrough ya technology bado ila nguvu inahitajika zaidi.
Mkuu, opening 2 apps you seriously need 6GB of rams? Seriously kabisa, ukifungua Youtube, halafu na whatsapp, you need 6GB of Rams? 6GB of rams? Hii tecno k8 can do that with 1GB of ram. Kama you need 6GB of rams to multi task between Whatsapp na youtube (Only 2 apps at Once) you need 6GB of rams, then hilo ni tatizo la memory management, its so poor!
Nimecheki game ya fortnite on iphone X na Samsung S9+, guess what, Iphone X outperformed the new samsung s9plus. The game was smooth not like you said it, and the sa9plus was lagging a bit. the graphics nimeona have more detail in X than in something (may be fortnite dev made the graphics in X better sijui) All phones were running without any apps running on the bakcground and were put in higher settings. Just imagine a 3 GB of rams outperfoming those 6GB of rams, how many free rams Fortnite had in S9Plus? Lets be realistic mkuu. I know every company is trying to catch up in terms of perfomance and power, their solution? lets put more processing power than iphone, wanasahau kama they need to work on the management ya hio power. Ndio maana mpaka sasa IOS ni efficient.
Nguvu inahitajika, sijakataa, lakini dont waste resources! hio ni my main point. Kuna mchina jina limenitoka, anakuja na 10GB of rams.... niseme tu, these are used for marketing purpose.
Mbona na nyie pia mnatengeneza useless na gimmick feature? Ipo wapi 3d touch? Imekuja miaka kadhaa sasa hivi imekuwa discontinued kwenye iphone mpya, sasa hivi Apple ndio anamcopy samsung na kununua vifaa kwake, kuanzia misimu yenye kioo kikubwa, lcd hamuitaki tena mnataka oled kama samsung, mnatoa bezel, etc
Usiseme mbona na nyie, sema mbona apple. mimi sio ninaetengeza wala kuchangia kutoa wazo wakalisikia apple. Yes, 3d Touch wamisimamisha, it failed, lakini sijaona a place where they brag about it and bashing Samsung. Unayaona matangazo ya samsung lakini? at the begining unaona samsung are geniuses, at the end, you see how fool they are! cant imagine in the modern day world una brag your S4 can switch on a TV..... really?
Halafu unaniangusha sana wewe Chief kuja kusema kuwa Apple anamcopy samsung na kununua vifaa kwake. My god, unataka tuzungumze kuhusu copying? How much Samsung paid for copying in fine? Yaani going on a big screen now unasema Apple copied Samsung? Samsung amethubutu mpaka kucopy design kabisa ya muonekano wa simu ya iphone,. refer to the first galaxies. They were acting like chinese cheap manufacturers trying to mimicking iPhone and lure customers.
Ndio Apple ananunua vifaa kwa samsung, kwani hujui kama Apple hata hio SoC hatengezi yeye? Apple ana design nini anataka, ARM wanamtengezea, what is the big deal about it? Apple hawanunui ready made SoC, they designed it themselves. Why would samsung go to Qualcomm wakati wao wenyewe pia wanatengeza chips? LCD is available in Iphone xr mkuu. Also, its an option which any company can choose to go for.
Chief kiukweli unanilet down hasa kwenye kioo, yaani unasema Apple anamcopy na hataki tena LCD, wakati still anatumia LCD kwenye Xr. Ni sawa na kusema, aaah, simu za mezani sasa zinacopy simu za mkononi kuwa na display. Sio copying, mahitaji ya kile kitu na uwepo wake. LED ipo zammaaaaaani. Apple sasa ivi akaona ahamie kwenye hizo LED.
Ukiambiwa game linataka 3gb ram haimaanishi simu iwe na 3gb ram bali linamaanisha uwe na free ram 3gb, simu inaweza ikawa na ram 4gb ila free ram ikawa 2gb tu hivyo isirun hilo game.
Na photoshop inategemea unafanya nini inaweza ikahitaji hata 32GB ram ama zaidi si kila kazi ya photoshop inafanana.
Kifupi specs zinahitajika zaidi kuna apps kibao hazifanyi kazi hadi simu zitakavyokuwa na nguvu zaidi.
Sawa, lakini haimaanishi upoteze resources.
Photoshop inaweza ikataka 100 GB rams hasa, lakini ZINATUMIKA. IPO NA FULL FEATURES. Huwezi kunambia kuwa Adobe photoshop kwenye samsung s9 plus inahitaji 3gb of rams free, just to add filters and export the picture! kituko hichi.
Kwanza mkuu usi mistake number of cores na nguvu ya processor, japo Ya Apple ina core 6 ila ina nguvu zaidi ya samsung core 8 atleast kwa benchmark ya geekbench,
On this subject, all i know is Samsung is at 2.8GHZ while X is at 2.5 GHZ, it is my expectation that Samsung/SNapdragon to outperform A11 chip.
Soc zinazotumika kwenye android zinaitumia mfumo wa big little, kunakuwa na core 8, core 4 kubwa zenye nguvu na core 4 ndogo zinazotunza chaji.
Apple anatumia the same, big LITTLE, 2 powerful and 4 high efficiency cores, where as Samsung ana 4 high perfomance and 4 high efficiency.
So simu ya samsung inaporun kitu heavy ni core 4 ndio zinapiga ile kazi.
at same time A11 ina core 6 ambazo zote kwa pamoja zinapiga mzigo. Hivyo Apple anakuwa kwenye advantage simu zikirun kitu heavy
Kwaio unakiri kuwa, IOS/Apple is efficient? Because when it needs the power, it calls all 6 processors to work, while when Samsung needs the power, only 4 cores work and the other 4 are just chilling instead of helping the other ones!!!
Kuhusu Multi tasking kwenye ios, for me personal its not a big deal, i want to watch youtube videos on a nice sized screen, and not to shrink it in a 5.8 inch display because i want to chat in whatsapp or browse at the same time. That thing should be implemented in Tablets! where the display is big.