Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Wapenda selfie utawajua tuu[emoji16][emoji16]
Hahahaha sio shabiki sana wa selfies maana sura yenyewe hairuhusu.. Natumia sana camera ya nyuma kwa ajili ya matukio mbalimbali.
 
Naomba kujibu baadhi ya maswali kama ifuatavyo............

Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo

Maximum RAM 3gb
jibu: Ubora wa RAM sio ukubwa tu!, bali speed yake (Read/Write speed) ndio muhimu zaidi

Maximum Camera 12 Mega Pixels
Jibu: Ubora wa camera sio megapixel tu, bali kuna ubora wa sensor na software inayoprocess image data. (Camera ya 5Mp inaweza kutoa picha bora zaidi ya camera ya 8Mp)

Maximum Battery size </ = 3000 mAh
Jibu: Kutunza chaji sio ukubwa wa MAh tu, bali Battery management inategemeana na ulaji wa umeme wa components za simu i .e Screen, chipsets etc.


1. No interaction with PC without Itunes.
jibu: Sababu za kulinda usalama na kujenga Brand inayojitegemea.

2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
jibu: Sababu za kulinda usalama wa files

4. No downloading on Websites and blogs
jibu: Sababu za kulinda usalama wa files

11. No dual SIM
Jibu: Dual sim ni simu za kimasikini (Msemo wa Iphone) if you need dual sim, then Iphone isnt for you!

13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu
jibu: Kutengeneza brand ya product inayojitegemea
 
Acheni kufananisha iphone na vitu vya kijinga,pia ukiona wimbo hauelewi ujue haujaimbiwa wewe,so vunga tu!
Mshamba tu wewe umejua iphone juzi. Hunahuelewa wa simu hata kidogo. Mtoa mada katoa detai wewe unatapika tu ujinga.
 
Du s3 na tecno za miaka kibao ilivyo pita ungesema umetumia Samsung s8 au hata 7 ndio uka tofautisha na iPhone ningekuelewa
 
Pole sana ndugu ivo vigezo vyako vyote ulivyoorozesha hapo ndo kilichonifanya mm nitumie iphone. Na ctoachana na iphone na kutafuta takataka zengine
 
Umemjibu vizuri sana, nilikuwa sina haja ya ku comment chochote maana nikajiuliza nitakomment nini wakati yeye mwenyewe amakili hajawahi kutumia 📱 iphone.
 
You are enjoying badness, while apple maintain their brand. Pole
 
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser, nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kuitumia mkuu?
 
Asante sana
 
raha ya iphone tunajua watumiaji wenyewe tu, nasitoweza acha miliki ya iphone kamwe, maana simu km tecno zmekuwa kama sare za shule tu, samsung nao wanaboa wakati mwingine wanaruhusu sana copy kuzagaa
 
Nakujibu kama ifuatavyo;

1. Security
2. Security
3. Security
4. Security
5. Sio kweli. Natumia iphone kwenye hizo docs sijawahi pata shida.
6. What GBs do you need while you have a 256 GB phone?
7. Sio kweli. Sijawahi ona fingerprint za magumashi kwenye iphone. Unless hiyo simu yako uwe unaitupatupa.
8. IOS is the best OS in the market. Android is widely used.
9. Which payment systems?
10. Thats how the phone is designed. Where do you want the back button placed?
11. Dual sim? How many need that? Only in Africa.
12. What do you need by that?
13. Sio kweli, natumia Chrome as default in my iphone.

Simu pekee ya android inayo make sense ni ile inayokuja na stock android toka google.

Ila hizi nyingine ni magumashi,
 
Binafsi iphone iliyowahi kunivutiaga ilikuaga iphone 6 plain kwasababu ya umbo lake tu na si vinginevyo.maana binafsi sipendi masimu makubwa nkainunua nkaitumia mwaka ikanishinda nkaiuza nkarudi zangu android
 
Wait so 3gb ni ndogo na pia hio si maximum ya iPhone iko preferred tu na kuhusu apps kama ulikuwa unataka za mtandaoni hama os
 
Mtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
Hahahahaha
Eti wenye nazo wachoyo kweli
 
Apple kinachomfanya akae sokoni ni ile iCloud basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…